omary khamis
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 402
- 77
Habar wanajf naomba kujua namna ya kujibu maswali ya law case kama hili niliotuma hapa, nijue vitu vya kuzingatia walat wa kujibu na hua yanajibiwa kwa utaratibu ganii, naamini nitapata majibu sahihi kwani hapa ndio sehem sahihi kwa ma-advocate