Biashara zangu 5 za wakati wote kwa hapa Dar es Salaam

Dar ni sehemu ninayowambia watu wengi sana kuwa kama atashindwa kutafuta maisha eneo hili basi ana safari ndefu sana ya kufanikiwa, ni sehemu ambayo biashara nyingi zinakubali na zinakutoa kwa kipindi kifupi kama ukiamua kujitoa Afe kipa Afe beki.

Nimeona biashara nyingi sana ila hizi ni biashara zangu 5 ambazo mtu mwenye mtaji wa Laki 5 kushuka chini anaweza akazifanya zikamtoa haraka kuliko mategemeo yake yeye.

1.Kuuza Majiko ya Mkaa

Majiko ya mkaa ni biashara ambayo wengi hawaifikirii, sijui ni kukosa elimu ya kutosha jinsi ya kuifanya hii biashara au vipi huwa sielewi kwanini hawaifanyi wakati ni biashara inayoweza kukurudisha nyumbani jioni na faida isiyopungua 15,000 na wakati mwingine mauzo kufika mpaka 100,000.

Biashara hii haitaki mtaji mkubwa maana majiko bei ya jumla yanauzwa 1500, 2000, 3000 nk ambapo unaweza ukachanganya kuweka na vinu, mitwangio, mifuniko ya sufuria ile ya kawaida ya aluminium, mabanio ya mkaa, ungo(nyungo)nk biashara hii kuyumba ujiyumbishe mwenyewe ila sio wateja.

2.Vinywaji

Uuzaji wa vinywaji Dar ni biashara inayotoa watu wengi sana, hapa hatuchanganyi biashara nyingine yeyote ni vinywaji TU maana yake ni kwamba dukani friji lako unalijaza juice zote zinazouzwa chini ya 1000, maji yote yanayotengenezwa Dar,(bila kusahau super kandoro) soda zote nk

Matokeo ya hii biashara ni kwamba wakati wenzako wanalia hali mbaya wewe utalia nao ila utalia si kwamba utakua mfukoni huna kabisa hela au umefungua biashara hujafanya kabisa ila utalia kwasababu ulikua umezoea faida kubwa ila sasa imepungua, ni biashara bora sana kwangu hii.

3.Viungo Vya chakula/Chai

Biashara hii ni biashara nzuri na bora kwangu na naipenda sana kwa sababu ni biashara ambayo viungo unatengeneza mwenyewe, unapaki mwenyewe, unaweka taste unazotaka wewe na kizuri kupita yote Bei unapanga mwenyewe, ukitaka elewa kwanini nimeipa hii biashara heshima IFANYE.

4. Gesi

Hapa naongelea gesi za kupikia majumbani kama oryx, mihan, lake, taifa nk hii. Biashara mimi naiita BABA LAO ni biashara flani ya kibabe sana inayoweza kukufanya uwe na jeuri mjini Japo ili ufaidi hii ni lazima mtaji atleast usiwe chini ya 800,000 na ujue nini unafanya ktk biashara, maana gesi zipo kila kona ila kufanya watu waje kwako yahitaji ujue unachokifanya.

5.Chakula
Hii biashara haihitaji promo kukwambia kama inaweza kukutoa au haiwezi, najua wapo mliofanya hii biashara ikawapiga amba kati (poleni) leo naongelea kwa upande wangu mimi, nionavyo mimi si lazima iwe sawa kwako ila Biashara ya chakula ni biashara bora kwa wakati wote.

Hizi ndio TOP 5 zangu ukitaka kujua kwanini nimezipa TOP 5 ingia zifanye hizi biashara then tuleteane mrejesho, vigezo na masharti ili biashara yoyote iende vizuri lazima vizingatiwe.
Kama kawaida yako mkuu...Kwa kweli wewe ni master wa kuona yasiyoonekana Kwa wengi na kuyageuza kuwa fursa bomba! Ubarikiwe Kwa moyo wako mkuu wa kushare...ninaanza na Viungo.

Kama kuna aliyewahi fanya ABC tafadhali...au kama mkuu CONTROLA unaweza share nami uzoefu kidogo nitakushukuru saana mkuu.
 
Unataka kufahamu nini mkuu? kwanza ABC zote utazipata kwa muhussika anaefanya biashara husika ukiwa nae face to face yani namaanisha ukitaka fanya hii biashara nenda sokoni ukimkuta mtu anauza viungo Kaa chini nunua viungo kwake hata vya 5000,lengo lako si vile viungo lengo lako ni kumchimba akupe A B C.

elimu haitolewi bure kwahyo ile 5000 uliyomungisha itamfanya awe huru kukusimulia kila utakachohitaji,usipende na wala usikubali kupewa A B C na mtu ambae alishafanya biashara kama yako au hayupo eneo la biashara husika unayohitaji kupata A B C ukiwa pale ukiwa unaona vitu utamuuliza maswali atakujibu kwa theory na vitendo.

Nimekuandikia jibu refu hivi ili uinuke hapo ulipo na uende sokoni ukutane na mfanyabiashara wa hiyo biashara unayoitaka kaa nae mpge story kisha mwisho njooo Finalize hapa.
 
Shukrani mkuu nimekuelewa vema.
 
Dar ni sehemu ninayowambia watu wengi sana kuwa kama atashindwa kutafuta maisha eneo hili basi ana safari ndefu sana ya kufanikiwa, ni sehemu ambayo biashara nyingi zinakubali na zinakutoa kwa kipindi kifupi kama ukiamua kujitoa Afe kipa Afe beki.

Nimeona biashara nyingi sana ila hizi ni biashara zangu 5 ambazo mtu mwenye mtaji wa Laki 5 kushuka chini anaweza akazifanya zikamtoa haraka kuliko mategemeo yake yeye.

1. Kuuza Majiko ya Mkaa

Majiko ya mkaa ni biashara ambayo wengi hawaifikirii, sijui ni kukosa elimu ya kutosha jinsi ya kuifanya hii biashara au vipi huwa sielewi kwanini hawaifanyi wakati ni biashara inayoweza kukurudisha nyumbani jioni na faida isiyopungua 15,000 na wakati mwingine mauzo kufika mpaka 100,000.

Biashara hii haitaki mtaji mkubwa maana majiko bei ya jumla yanauzwa 1500, 2000, 3000 nk ambapo unaweza ukachanganya kuweka na vinu, mitwangio, mifuniko ya sufuria ile ya kawaida ya aluminium, mabanio ya mkaa, ungo(nyungo)nk biashara hii kuyumba ujiyumbishe mwenyewe ila sio wateja.

2. Vinywaji

Uuzaji wa vinywaji Dar ni biashara inayotoa watu wengi sana, hapa hatuchanganyi biashara nyingine yeyote ni vinywaji TU maana yake ni kwamba dukani friji lako unalijaza juice zote zinazouzwa chini ya 1000, maji yote yanayotengenezwa Dar,(bila kusahau super kandoro) soda zote nk

Matokeo ya hii biashara ni kwamba wakati wenzako wanalia hali mbaya wewe utalia nao ila utalia si kwamba utakua mfukoni huna kabisa hela au umefungua biashara hujafanya kabisa ila utalia kwasababu ulikua umezoea faida kubwa ila sasa imepungua, ni biashara bora sana kwangu hii.

3. Viungo Vya chakula/Chai

Biashara hii ni biashara nzuri na bora kwangu na naipenda sana kwa sababu ni biashara ambayo viungo unatengeneza mwenyewe, unapaki mwenyewe, unaweka taste unazotaka wewe na kizuri kupita yote Bei unapanga mwenyewe, ukitaka elewa kwanini nimeipa hii biashara heshima IFANYE.

4. Gesi

Hapa naongelea gesi za kupikia majumbani kama oryx, mihan, lake, taifa nk hii. Biashara mimi naiita BABA LAO ni biashara flani ya kibabe sana inayoweza kukufanya uwe na jeuri mjini Japo ili ufaidi hii ni lazima mtaji atleast usiwe chini ya 800,000 na ujue nini unafanya ktk biashara, maana gesi zipo kila kona ila kufanya watu waje kwako yahitaji ujue unachokifanya.

5. Chakula
Hii biashara haihitaji promo kukwambia kama inaweza kukutoa au haiwezi, najua wapo mliofanya hii biashara ikawapiga amba kati (poleni) leo naongelea kwa upande wangu mimi, nionavyo mimi si lazima iwe sawa kwako ila Biashara ya chakula ni biashara bora kwa wakati wote.

Hizi ndio TOP 5 zangu ukitaka kujua kwanini nimezipa TOP 5 ingia zifanye hizi biashara then tuleteane mrejesho, vigezo na masharti ili biashara yoyote iende vizuri lazima vizingatiwe.
Unaw

Mkuu vipi kuhusu usimamizi, unawezaje kuhakikisha zote zinaenda vizuri ikiwa zipo sehem tofaut tofaut
 
Controla...ipo siku ntakurushia kibunda ki1 cha asante..sabab kupitia mabandiko yako nmefanikiwa kufungua biashara 3 tofaut tofaut na zinaendelea vzur kiukwel

Moja ni ile ya kukodisha mabanda ya biashara..nilitengeneza mabanda ma 4 tho yalinicost tofaut na nilivokadiria.banda moja lilikula kama 1.2 hiv..ila nilifanikiwa yote kuyakodisha na kula kodi ..

Nili fight kuyaweka sehem nzur sana tofaut tofaut..nakula kodi now..kodi ndogo kabisa kwa mwez nakula 100k..mengne nakula 150k...kwa moja

Asante mkuu..ntakutafta......kuna biashara moja nyingne nataka iongeza ila nna mashaka nayo...
Naweza kupata namm la kukodi??
 
Dar ni sehemu ninayowambia watu wengi sana kuwa kama atashindwa kutafuta maisha eneo hili basi ana safari ndefu sana ya kufanikiwa, ni sehemu ambayo biashara nyingi zinakubali na zinakutoa kwa kipindi kifupi kama ukiamua kujitoa Afe kipa Afe beki.

Nimeona biashara nyingi sana ila hizi ni biashara zangu 5 ambazo mtu mwenye mtaji wa Laki 5 kushuka chini anaweza akazifanya zikamtoa haraka kuliko mategemeo yake yeye.

1. Kuuza Majiko ya Mkaa

Majiko ya mkaa ni biashara ambayo wengi hawaifikirii, sijui ni kukosa elimu ya kutosha jinsi ya kuifanya hii biashara au vipi huwa sielewi kwanini hawaifanyi wakati ni biashara inayoweza kukurudisha nyumbani jioni na faida isiyopungua 15,000 na wakati mwingine mauzo kufika mpaka 100,000.

Biashara hii haitaki mtaji mkubwa maana majiko bei ya jumla yanauzwa 1500, 2000, 3000 nk ambapo unaweza ukachanganya kuweka na vinu, mitwangio, mifuniko ya sufuria ile ya kawaida ya aluminium, mabanio ya mkaa, ungo(nyungo)nk biashara hii kuyumba ujiyumbishe mwenyewe ila sio wateja.

2. Vinywaji

Uuzaji wa vinywaji Dar ni biashara inayotoa watu wengi sana, hapa hatuchanganyi biashara nyingine yeyote ni vinywaji TU maana yake ni kwamba dukani friji lako unalijaza juice zote zinazouzwa chini ya 1000, maji yote yanayotengenezwa Dar,(bila kusahau super kandoro) soda zote nk

Matokeo ya hii biashara ni kwamba wakati wenzako wanalia hali mbaya wewe utalia nao ila utalia si kwamba utakua mfukoni huna kabisa hela au umefungua biashara hujafanya kabisa ila utalia kwasababu ulikua umezoea faida kubwa ila sasa imepungua, ni biashara bora sana kwangu hii.

3. Viungo Vya chakula/Chai

Biashara hii ni biashara nzuri na bora kwangu na naipenda sana kwa sababu ni biashara ambayo viungo unatengeneza mwenyewe, unapaki mwenyewe, unaweka taste unazotaka wewe na kizuri kupita yote Bei unapanga mwenyewe, ukitaka elewa kwanini nimeipa hii biashara heshima IFANYE.

4. Gesi

Hapa naongelea gesi za kupikia majumbani kama oryx, mihan, lake, taifa nk hii. Biashara mimi naiita BABA LAO ni biashara flani ya kibabe sana inayoweza kukufanya uwe na jeuri mjini Japo ili ufaidi hii ni lazima mtaji atleast usiwe chini ya 800,000 na ujue nini unafanya ktk biashara, maana gesi zipo kila kona ila kufanya watu waje kwako yahitaji ujue unachokifanya.

5. Chakula

Hii biashara haihitaji promo kukwambia kama inaweza kukutoa au haiwezi, najua wapo mliofanya hii biashara ikawapiga amba kati (poleni) leo naongelea kwa upande wangu mimi, nionavyo mimi si lazima iwe sawa kwako ila Biashara ya chakula ni biashara bora kwa wakati wote.

Hizi ndio TOP 5 zangu ukitaka kujua kwanini nimezipa TOP 5 ingia zifanye hizi biashara then tuleteane mrejesho, vigezo na masharti ili biashara yoyote iende vizuri lazima vizingatiwe.
Ni sahihi kabisa mkuu umechanganua vema biashara hizo kwa dar ni zenye tija lakini changamoto ni upatikanaji wa eneo sahihi mahali penye movement ili uweke ofisi
 
Back
Top Bottom