Mzee jk tumekumisi sana , mzee tumepata mafanikio ukiwa madarakani, tunataka badilisha katiba ili ugombee tena , we are missing u dady
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona mlivyo anza kwichikwichi hujaomba ushauri? Mbona unaenda kigoma hujaomba ushauri? Mbona unampa mimba hujaomba ushauri? Shame on u guy
Sent using Jamii Forums mobile app
Inauma sana lazima tumuinge mkono raisi magufuli katika hili ili tunusuru watanzania wenzetu wanaouwawa bila sababu , mungu ulisema ya kwamba madui watakopo inuka watateleza na kuanguka ,sasa mungu hawa watu wachache wanao uwa watu kibiti waangamize
Safari ndefu haili mafuta hata kidogo Mimi natoka nalo arusha mpaka dar mpaka mbeya utaipenda mwenyewe barabarani ,Mimi ninalo nauza mil nne keshi kama unataka nivue au tuwasiliane
Kiukweli s/Sudan sehemu zingine haipo stable kwa upande wa security ila biashara no nzuri sana mtu asikudanganye ,chakula, nguo, electronics, na zingine ni nzuri kuliko hata hapo kariakoo huku tunatumia dola tu
Huyu anadanganya kwa mahaba yake, kama wanachukua watu cream basi tusingekuwa huku na Mimi ningekuwa shushu, kuwa shushu ni majaliwa ya mwenyenzi mungu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.