‘Watanzania changamkieni biashara Sudani Kusini’

"...na bado soko linanishinda satisfaction is beyond my capacity... "

Mkuu nadhani hapo ulimaanisha 'demand' is beyond your capacity. Not 'satisfaction'.

BTW... tupeane hiyo michongo mkuu.

-Kaveli-
The word has a wide range of meanings

Satisfaction

[sat-is-fak-shuh n]
noun
  1. an act of satisfying; fulfillment; gratification.

  2. the state of being satisfied; contentment
II have failed to satisfy the market in terms of quantity,

I have failed to fulfill the requirements in terms of quantity.

Ninafikiria wazo lako nitakujulisha Asante.
 
In context of Marketing and/or Service provision, semantically I thought kwamba 'satisfaction' aligns with 'quality'. And 'demand' aligns with 'quantity'.

Ndo maana kwenye big business entities or supply chain, kuna kitu kinaitwa 'Customer/Client Satisfactory Form'... Hii ni form anayopewa mteja atoe maoni yake fairly kuhusu ubora wa huduma aliyopewa. Hii ni miongoni mwa tactics za Quality Assurance, kwamba supplier au service provider anagundua quality gaps zake kutoka kwenye maoni ya customers/clients, ili ajue namna ya kuboresha.

Ukimeet satisfaction levels za customers wako, ni miongoni wa key drivers za kuongezeka kwa customers/demand zaidi kwenye bidhaa/supply yako.
So kimantiki na muktadha wa kibiashara au utoaji huduma, terminologies hizo zote tatu (supply, demand, satisfaction) zinatumika bila kuingiliana kimaana.

But thanks pia mkuu kwa kunielimisha. Elimu haina mwisho. Tunaongeza knowledge mpya kila mara.
Na ktk lugha yeyote ile baadhi ya maneno hutumika interchangeably. This is why a language entails synonyms.

Cheers...

You are so brilliant
 
Good, kufanya biashara Juba ni good idea kuendana na aina ya biashara, capability ya mfanya biashara, experience maeneo hatarishi kama Juba etc

ila hata hapa Tanzania mtu unapiga pesa ukiwa makini regarding type of business me napiga pesa za kutosha daily na bado soko linanishinda satisfaction is beyond my capacity so inategemea.

Ni biashara gani hiyo unayofanya?
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Good, kufanya biashara Juba ni good idea kuendana na aina ya biashara, capability ya mfanya biashara, experience maeneo hatarishi kama Juba etc

ila hata hapa Tanzania mtu unapiga pesa ukiwa makini regarding type of business me napiga pesa za kutosha daily na bado soko linanishinda satisfaction is beyond my capacity so inategemea.
Kama unantamanisha hivi. Life lilivyogumu halafu unasema soko huliridhishi!!
 
Good, kufanya biashara Juba ni good idea kuendana na aina ya biashara, capability ya mfanya biashara, experience maeneo hatarishi kama Juba etc

ila hata hapa Tanzania mtu unapiga pesa ukiwa makini regarding type of business me napiga pesa za kutosha daily na bado soko linanishinda satisfaction is beyond my capacity so inategemea.

Ni biashara gani unafanya?
 
Tupambane tu popote pale kwenye fursa

Ni kweli mkuu. Popote pale penye fursa ni kufukuzia. Ila changamoto kubwa kwa sisi vijana ni mtaji.

Mfano sasahivi nimefanya karesearch locally kwenye masoko ya Dar, MIHOGO saaivi ni dili. Hiyo bidhaa saaivi inatoka sana, na itakuwa dili zaidi mfungo wa Ramadhani ukianza. Yani mtaji tu ndo shida. Daamn!

So wenye uwezo kimtaji changamkieni hizo fursa jamani.

-Kaveli-
 
Kiukweli s/Sudan sehemu zingine haipo stable kwa upande wa security ila biashara no nzuri sana mtu asikudanganye ,chakula, nguo, electronics, na zingine ni nzuri kuliko hata hapo kariakoo huku tunatumia dola tu
 
Haya ndugu zetu. Endeleeni kupiga hela huko.
Securitywise, zetu dua tu Mungu awalinde dhidi ya mabalaa ya wajuba.

-Kaveli-
 
aCHA UONGO na ubishi.
ni ujima kuweka thread kutetea kitu bila kuweka Grobal accepted statistics.

Takwimu za WB zinaonyesha S/Sudan ni ya 186 wakati Tanzania ni ya 132.
Kuona mtu anauza maembe S/Sudan bei rahisi isikupe uharaka wa kuleta ubishi.
Hizo takwimu huwa ni za makaratasi na si za hali halisi,na simple sio kigezo cha uhalisia wa population nzima,kujua mzunguko wa kipesa wa eneo husika kiuhalisia sio kimakaratasi angalia ubize wa bandari na mipaka angalia idadi ya meli, idadi ya malori,mabasi,idadi ya wageni toka nchi za jirani,idadi ya maduka yaliyo wazi nk.
 
3b5293569b0465a9feba0e974dca2e4f.jpg

mie nipo juba wakuu
hali ya usalama sio shwari sana ndio tatizo kubwa la huku
Kwa sura hii nakubaliana Na wewe mkuu
 
Ni kweli mkuu. Popote pale penye fursa ni kufukuzia. Ila changamoto kubwa kwa sisi vijana ni mtaji.

Mfano sasahivi nimefanya karesearch locally kwenye masoko ya Dar, MIHOGO saaivi ni dili. Hiyo bidhaa saaivi inatoka sana, na itakuwa dili zaidi mfungo wa Ramadhani ukianza. Yani mtaji tu ndo shida. Daamn!

So wenye uwezo kimtaji changamkieni hizo fursa jamani.

-Kaveli-
Mkuu mtaji kama kiasi gani kianzio
 
aCHA UONGO na ubishi.
ni ujima kuweka thread kutetea kitu bila kuweka Grobal accepted statistics.

Takwimu za WB zinaonyesha S/Sudan ni ya 186 wakati Tanzania ni ya 132.
Kuona mtu anauza maembe S/Sudan bei rahisi isikupe uharaka wa kuleta ubishi.
fact
 
Hizo takwimu huwa ni za makaratasi na si za hali halisi,na simple sio kigezo cha uhalisia wa population nzima,kujua mzunguko wa kipesa wa eneo husika kiuhalisia sio kimakaratasi angalia ubize wa bandari na mipaka angalia idadi ya meli, idadi ya malori,mabasi,idadi ya wageni toka nchi za jirani,idadi ya maduka yaliyo wazi nk.
Jamaa anashindwa Kuelewa kuwa hao jamaa wanatoa ripoti kwa kipindi flani na Mara nyingi huwa hata haziendani na uhalisia, wakati huo mfanyabiashara anaangalia Market trend katika vipindi vifupi vifupi ili kuweza kubaini mianya ya kupiga pesa fasta.
 
Ni kweli mkuu. Popote pale penye fursa ni kufukuzia. Ila changamoto kubwa kwa sisi vijana ni mtaji.

Mfano sasahivi nimefanya karesearch locally kwenye masoko ya Dar, MIHOGO saaivi ni dili. Hiyo bidhaa saaivi inatoka sana, na itakuwa dili zaidi mfungo wa Ramadhani ukianza. Yani mtaji tu ndo shida. Daamn!

So wenye uwezo kimtaji changamkieni hizo fursa jamani.

-Kaveli-
Sure, mie kabiashara kangu kanahusiana na mihogo naona the way wakulima wanavyomake money.Nanunua mihogo ile mikubwa natengeneza Kripsi....Kamtaji kadogo ila kanakua taratibu na najifunza changamoto humohumo
 
Mi nafikiri tushirikishane2 fursa...huyu Jamaa atuambie huko ni biashara gani ukienda nayo unapiga hela..hapa bongo ukweli mzunguko hamna na mpk mikoani hali ni hivyo...
Labda anapeleka bangi biashara za waziwazi sudana hata kama sijawahi enda sina ufafanuzi
Wanabodi,

Jana nimeandika kuhusu misaada ambayo Rais huiomba nje hasa kwa waafrika wenzetu ambapo ukipitia forum za mitandao ya hayo mataifa tunadharaulika na kunangwa sana, kwa wale wafanyabiashara au wawekezaji huwezi kuilinganisha biashara ya Juba, Bor, Yei, Rombek na miji mingine, huko kumekucha Tanzania kumedorora kibiashara na mzunguko haupo huo ndio ukweli.
 
Back
Top Bottom