Maswali magumu shambulizi dhidi ya Mbunge Nassari

Sijui mleta mada unataka kujua nini na ili iweje? Umeuliza maswali ambayo polisi wanafanyia kazi na kama ukifanyacho so kuingilia kazi ya polisi ni nini! Isije ikawa una tatizo katikati ya masikio yako!
 
Igwe wanaJF!

Baada ya Mbunge wa Arumeru Mashariki kuvamiwa nimefuatilia maelezo kwa Nassary mwenyewe na baadhi ya wadau mtandaoni. Baada ya kuchambua nimebakiwa na maswali magumu hususani ukizingatia kwa mujibu wa Nassary na wachambuzi ulikuwa ni mpango wa mauaji, haya ndio maswali yangu:

  1. Nyumba ya Nassary ina mlinzi? kama yupo je aliwaona wavamizi?
  2. Nassary alifanikiwa vipi kuwatoroka 'wauaji' wenye silaha ambao wameteketeza mbwa kwa risasi? Alijuaje 'wauaji' wameondoka?
  3. Iweje akimbilie polisi angali amekuwa akituhumu vyombo vya dola ni adui zake?
Naomba wenye angalau majibu yenye kufikirisha wachangie bila jazba.

Nawaalika.
Hakuna shambulizi wala nini hiyo ni movie nyingine inaitwa chadema series 2 director Lema sijui utoto wataacha lini?
 
Chahali anaweza kutufanyia utafiti wa kitaalamu lakini nami kama social and security analyst nina mambo mawili makubwa.
Kwanza,hili shambulio halina uhusiano na vyombo vya dola (katika utekelezaji).Kwa bunduki za kijeshi wala asingeitafuta rifle ilipo.Inawezekana kuna chembe chembe za siasa na mipango ya wana siasa lakini ni si vyombo halali vya dola!!
Jambo la pili ni kuwa hivi ni vitisho dhahiri kwa mtu wa umri mdogo kama Nasari, wakati mwingine ni bora kuacha hizi siasa na kuendelea na shughuli zingine hadi hapo hili wimbi la sasa litakapopita.Upepo unakwenda ovyo na maisha ni muhimu.Wpinzani wajiulize hasa "Tunampigania nani?".
Watanzania watakapojua umuhimu wa upinzani watashiriki hata kuwalinda wapinzani wasidhurike lakini kwa sasa ni wachache mno wanaojua umuhimu wa upinzani.
Mkuu nimekuelewa sana watanzania waliowengi bado hawajaamka kabisa
 
Igwe wanaJF!

Baada ya Mbunge wa Arumeru Mashariki kuvamiwa nimefuatilia maelezo kwa Nassary mwenyewe na baadhi ya wadau mtandaoni. Baada ya kuchambua nimebakiwa na maswali magumu hususani ukizingatia kwa mujibu wa Nassary na wachambuzi ulikuwa ni mpango wa mauaji, haya ndio maswali yangu:

  1. Nyumba ya Nassary ina mlinzi? kama yupo je aliwaona wavamizi?
  2. Nassary alifanikiwa vipi kuwatoroka 'wauaji' wenye silaha ambao wameteketeza mbwa kwa risasi? Alijuaje 'wauaji' wameondoka?
  3. Iweje akimbilie polisi angali amekuwa akituhumu vyombo vya dola ni adui zake?
Naomba wenye angalau majibu yenye kufikirisha wachangie bila jazba.

Nawaalika.
Wewe acha maswali ya kipuuzi wewe ulitaka akimbilie wapi,kanisani eti
 
Haya sio maswali muhimu yakujiuliza wewe swali maswali ya muhimu kujiuliza ni haya:-
1). Kwenye tweet yake kasema alifanikiwa kukimbia na mkewe lakini kwenye clip ambayo amehojiwa na millard ayo amesema alikuwa ndani peke yake maana mkewe amesafiri... Tafuta jibu sahihi hapa.
2). Kwenye tweet ambayo imerushwa na mbunge kwenye account yake ya tweeter inaonesha imetuma saa 2:08 usiku. Lakin kwenye hyo tweet pia amesema alifanikiwa kutoroka na mkewe na kuriport police.. Kwenye clip kasema aliriport kituo cha police asubuhi.
Jiulize maswali haya mkuu hayo yako mepesi sana
 
kudeal na makuwadi wa kipara kama bashite na mnyeti
huwezi kubaki salama.
Nape ataniunga mkono.
 
Aiseee MBNA wajkuta mwana intelejensia???? au na wewe tukuvamie na Marisas mkuu haf tuone utakavyojitetea
 
kwangu naamini kwelj wavamizi walilenga kumuua nassari. kinachonishangaza nasari kukimbilia polis....
 
Igwe wanaJF!

Baada ya Mbunge wa Arumeru Mashariki kuvamiwa nimefuatilia maelezo kwa Nassary mwenyewe na baadhi ya wadau mtandaoni. Baada ya kuchambua nimebakiwa na maswali magumu hususani ukizingatia kwa mujibu wa Nassary na wachambuzi ulikuwa ni mpango wa mauaji, haya ndio maswali yangu:

  1. Nyumba ya Nassary ina mlinzi? kama yupo je aliwaona wavamizi?
  2. Nassary alifanikiwa vipi kuwatoroka 'wauaji' wenye silaha ambao wameteketeza mbwa kwa risasi? Alijuaje 'wauaji' wameondoka?
  3. Iweje akimbilie polisi angali amekuwa akituhumu vyombo vya dola ni adui zake?
Naomba wenye angalau majibu yenye kufikirisha wachangie bila jazba.

Nawaalika.
Mkuu hizo ni sinema zinakusumbua bure. Watanzania wameshawashtukia zamani.
 
Back
Top Bottom