Recent content by olengai

  1. O

    Maovu ya ccm yazidi kujulikana na watz

    Yale yaliyokuwa yakifanywa na serikali ya ccm ya kukamata,kuteka na hatimae kuua wananchi kupitia kwa jeshi la polisi yamezidi kuitia doa serikal ya chama hicho hasa baada ya kamati ya mh lembeli kuanika uovu katka operation ya tokomeza ujangili, baadh ya wabunge wa ccm walidai kuwa lembeli...
  2. O

    Ccm watapeli wananchi

    Chama cha mizigo (ccm),tangu waibe kura na kuingia madarakan,waliahid maisha bora kwa kila mtanzania.kinyume chake,chama hichi kimegeuka cha kukamata watu na kuwatesa,hata kuwaua,kimekua cha wizi na kukamua watz hasa kupitia kodi tunayolipa. Hapo jana tu,bunge la maccm limepitisha kuwa...
  3. O

    Waziri afariki dunia

    Ndg wdau,kuna tetes mitaan kuwa waziri m1 katika serikal ya kikwete ambae alikuwa amelazwa Afrika kusini kwa matibabu,hatimae katangulia mbele za haki. Mwenye taarifa kamili atupe.
  4. O

    Waziri afariki dunia

    Ndg wakuu,kuna taarifa mtaani kuwa waziri mmoja katika serikali ya kikwete aliekuwa amelazwa kwa ugonjwa Afrika kusini,hatimae ametangulia mbele za haki. Naomba mwenye habar kamili atujuze.
  5. O

    Ccm wachanganyikiwa Arusha

    Ccm mkoa wa arusha hasa jimbo la arusha mjini, wanahaha kutafuta cha kufanya hasa kipindi cha uchaguz mdogo.katika uchaguz uliotangazwa wa madiwan kwa kata zilizowazi kote nchini mwakanin,ccm mkoa wa Arusha wanahaha kutafuta mgombea wa kushindana na upinzan hasa chadema katika kata ya sombetini...
  6. O

    Mbunge na diwani wako kafanya nini jimboni mpaka sasa?

    Ndg wadau,nawasalim nyote. Naleta mada ya kuanika yote aliyoyafanya mbunge wako au diwan mpk sasa. Kwanza naanza kwa kueleaza kwa majimbo 3 ya karib kwangu kama jimbo la ole medeye, johua nasari,na god lema. Kwanza naanza na jimbo la arusha vijijin kwa gudluck ole medeye.hyu jamaa...
  7. O

    Peoples Power: Wananchi Wagoma Kutozwa Tsh 2000 Kilindi Tanga

    Safi sana...ccm ni wezi watupu,wamefikir wamasai wanatoa tu ela hovyo...hv serikal haina ela? Kaz ya serkal ni nin???
  8. O

    Mwenyekiti wa halmashauri ya rombo anton tesha ccm;awapongeza mwenyekiti wa chadema na katibu wake

    chadema wanapiga kaz si mchezo..maccm wameshatambua hilo.
  9. O

    Picha: Wafuasi wa CHADEMA zaid ya 500 Singida warudisha kadi kwa Prof. Lipumba

    Mmm!!! Kweli mwigulu unahangaika na chadema...kwanza huo uongo mtupu...tangu lini wafuasi wawe na kadi??? Wanachama ndo wanakadi,mfuasi hana kadi,anashabikia tu lakin si mwanachama...upo we kilaza wa mada?????????
  10. O

    Albert Msando apotoka tena

    ni kweli hakuna alichokiongea yule
  11. O

    Albert Msando apotoka tena

    ni kwel uliyoyasema..yule si mwanasheria...kwanza ni mwanachama wa ccm..jambo lingine inakuaje kwenye kikao zito na wenzake wakubali kuwa wamekosea halafu et huku nje anakana?? Kwan sis watoto??? Na iweje badala ya kujibu tuhuma anatafuta mwanasheria na kukata rufaa? Kwan alifukuzwa uanachama...
  12. O

    Tamko la Mwigamba la uchakachuaji wa katiba ya CHADEMA na ombi kwa msajili wa vyama kuchukua hatua

    We mwigamba nakujua tangu ulipokuwa mwalim wew,ulikuwa ukiwasema walim wenzako kwa wanafunzi eti ni form 4 levers,ulikiwa ukijiona ww ndo ww tu,hatimae ulifukuzwa... Leo unatudanganya hapa..et ukomo wa uongoz haupo kwenye katiba,siku zote ulikuwa wapi? Na kwann mjiite waasi wa MM? Hiv kama we...
  13. O

    Dr Slaa atingisha Kigoma Kaskazini

    Mpiga picha ni mwongo wa mchana..ukiangalia picha ya pili hapo juu yenye kamba, watu ni wengi sana,ila aliepiga picha kakata robo tatu ya watu..angalia mwisho wa kamba haionekan kushoto,ardhi haionekan,badala yake inaonesha watu wamekatwa....usitudanganye ndg. Pili, mlileta habar hapa jion...
  14. O

    Albert Msando, Mwanasheria wa Zitto, Kitila na Mwigamba Kuunguruma kesho Serena 4.30 asbh

    Haaah!!! Hiv ukisimamishwa uongoz ndo unatafuta mwanasheria???? Na je waandishi wa habari ndo waliowasimamisha??? Yaan mfano ukataliwe na mwanamke we unatafuta wakili??? Hapa Kweli kuna kitu hawa majamaa kweli walitumwa kuiangamiza chadema,kwan chama cha siasa ni moja? usomi wao wa kuokota..mi...
  15. O

    Ludovick iache chadema yetu

    Ndg wana jf,nimesoma thred hapa ya ludovick anayolalamika kufanyiwa fujo na vijana anaodai ni wanachadema,nmechukizwa na hyu ludovick kuendelea kuifatafata cdm kama vile yale waliofanya na mwigulu hayatoshi,sasa we ludovick unataka kuipaka tena cdm matope kuwa ulipigwa. Ishu ya ugaid...
Back
Top Bottom