Ccm wachanganyikiwa Arusha

olengai

JF-Expert Member
Jul 17, 2013
308
0
Ccm mkoa wa arusha hasa jimbo la arusha mjini, wanahaha kutafuta cha kufanya hasa kipindi cha uchaguz mdogo.katika uchaguz uliotangazwa wa madiwan kwa kata zilizowazi kote nchini mwakanin,ccm mkoa wa Arusha wanahaha kutafuta mgombea wa kushindana na upinzan hasa chadema katika kata ya sombetini kwan wengi wanaogopa kuaibika kama ile 4 bila.
Nmebahatika kutembelea kata hyo ya sombetin nakubain kuwa asilimia kubwa ya wananchi hawatak kusikia ccm,huku wagombea wengi wakitaka kujinad chadema.ofisi za ccm nyngi zmefungw.,mfn kule ngusero nje kdg na jiji bendera za chadema zipo kwa wingi na kila vikund vya watu 10 ukiwauliuza vp siasa huku, 9 wanakuambia siasa ni chadema tu huku mmjoa akiitaja ccm..
Ccm mnajiaribia wenyew kadr manavowafanyia vituko zaid upinzn na kukaa muda mrefu kwa kuiba pesa za wananchi
 

Ranks

JF-Expert Member
Oct 21, 2012
2,592
2,000
Hiyo Kata wasahau kwani raia hawajasahau 'mauaji ya soweto' ambapo walimpoteza Kamanda Mama mpambanaji wa ukweli na kiukweli ni muda mrefu sasa wanasubiri kwa hamu kuyashikisha magambalism adabu na pia kutuma salam kwa marehem Kamanda wao.
 

Mboko

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
1,095
1,500
Maccm hayana chao Arusha hata atakaye simama kama mgombea ataogopa hata kupiga kampein.kwa ufupi hata kama Ikulu nzima ihamie Arusha hawawezi kushinda hiyo kata
 

lupe

JF-Expert Member
Apr 1, 2013
5,657
0
Maccm hayana chao Arusha hata atakaye simama kama mgombea ataogopa hata kupiga kampein.kwa ufupi hata kama Ikulu nzima ihamie Arusha hawawezi kushinda hiyo kata

Je magamba yakimwaga pesa itakuwaje?
 

usungilo

JF-Expert Member
Aug 9, 2012
527
500
Uzuri wa arusha sio sawa na tabora au songea au makete. Kule ukimwaga hela vijana wanazichangamkia, wanakula na kura hawakupi! Hawanaga cha huyu ametupa hela au sijui kanga! Tena wale wanaokuzunguka ndio watakao kufanyia hivyo. Napenda sana siasa za arusha. Hakuna uoga wala ujinga ujinga.
 

KISHINDO

JF-Expert Member
Jun 23, 2013
1,749
2,000
ccm inakufa polepole lakini kwa uhakika.*
Arusha watu wengi wao wamesoma na wanaona mbali hasa kwa watoto na wajukuu wao.*
Mikoa mingine HASA DAR ina majuha kibao ambayo yanaangalia maisha ya leo tu,KESHO ITAJIJUA YENYEWE.
 

tumaini obedi

JF-Expert Member
Jun 17, 2013
340
250
uchaguzi utafanyika lini?, na tanzania nzima kutakuwa na kata ngapi? za kufanya uchanguzi sambamba na hiyo kata ya Arusha, mwenye kujua nisaidia
 

MARCKO

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
2,261
0
".........in the Deaths of SOWETO
........MANY YEARS HAS GONE BY NOW...... Still no sign of you,,,,,,, etc" by Lucky Dube.
 

Sir oby

JF-Expert Member
Jan 20, 2012
332
225
kamanda mawazo atawashika tena kupitia CDM, ccm walishakufa siku nyingi arusha, ngoja muone 2015 namna ambavyo yale yaliyotokea moshi yatatokea arusha cozi asilimia 85 itakuwa madiwani wa CDM
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom