Albert Msando apotoka tena

Albert Msando apotoka tena

Hizo mbona mbona nyingi ni dalili ya kukosa umakini, kama kawaida yako hujifanya una point na uko makini kumbe zero!
Ni wewe na wenzako mara nyingi mnalaumu CDM eti kama CCM wanafanya kosa fulani sio passport ya CDM nayo kufanya, inatakiwa ijipambanue na iwe mfano. Sasa kwa huyu Bwana Msando kumtetea umeweka misururu ya mbona nyingi tu mara baadhi ya viongozi wa CHADEMA wanatumia majukwaa ya kisiasa, mbona baadhi ya viongozi na wanachama wanaofahamika wa CHADEMA n.k. Toa hoja madhubuti ya kumtetea sio mbona, mbona.
Albert ni Diwani kwa nini asijiuzulu kwanza ndio apambane na Kamati Kuu, sasa tuanzie hapo acha longolongo!
Sasa unataka kuanza kujenga hoja na mtu ambaye ni zero!. Hufahamu kama wewe utaonekana ndiyo zero kabisa kwa watu wenye fikra pevu kuanza kujenga hoja na mtu ambaye ni zero!.

Mtafute mtu ambaye siyo zero na hana longo longo ili uanze kujenga hoja naye!

Niache tu niendelee na zero yangu yenye longolongo.

Thanks.
 
Mwaikenda,

1. Kutetea utawala wa Sheria na tafsiri sahihi ya Katiba yetu ni kubomoa chama? Ndio mimi ni Diwani lakini itakuwa ajabu sana kusema kwamba kumtetea Zitto lazima nijiuzulu kwanza. Mimi sio mjumbe wa Kamati Kuu, Baraza Kuu wala Mkutano Mkuu. Mgongano wa maslahi unatoka wapi? Naweza vipi kuathiri maamuzi ya vikao hivyo?

2. Je marekebisho ya Kanuni ya 2013 yalijumuisha kwamba kukiwa na dharura utaratibu uliotajwa kwenye kipengele (a) usifuatwe? Kwa nini kipengele kilichoongezwa cha (d) kilitaja utaratibu ambao hautafuatwa ni ule wa (b) na (c) peke yake? Hilo unalielezeaje?

3. Kikao cha Kamati Kuu kilikuwa kikao cha dharura? Waraka husika ulikamatwa siku hiyo hiyo ya kikao au jana yake kwa hiyo ikabidi maamuzi ya dharura yafanyike?

Kama ilikuwa ghafla hivyo kwa nini asingesimamishwa uongozi, apewe mashtaka kama Kanuni inavyosema halafu asikilizwe kwa dharura na adhabu itolewe ya kumvua uongozi? Dharura sio haraka kaka.

4. Kupewa taarifa rasmi kwa maandishi na mwenendo kupelekwa Baraza Kuu ni taratibu ambazo lazima zikamilike ili muadhibiwa aweze kukata Rufaa. Ndio maana taarifa ya nia imetolewa ili taratibu hizo zikamilike. Hakuna niliposema nataka mwenendo wa shauri. Tunachotaka ni taarifa rasmi ya maamuzi.

5. Mwenendo unatakiwa umefika Baraza Kuu ndani ya siku 14 toka tarehe 22/11/2013. Je umefikishwa?

Tusijadili kwa jazba na hasira. Mimi kueleweshwa kwa hoja ni mwepesi sana. Fanya hivyo na kama uko sahihi nitaconcede. Lakini sitaconcede kisa tu utasema akili au uelewa wangu mdogo.

Ahsante.

Msando,

1. Hujajibu hoja zangu zote nilizojenga toka ulete haya majibu yako mepesi.

2. Mashtaka 11 majibu yake ndiyo haya ya kukata rufaa? Au ndio kusema hujui kuwa taarifa zote za Baraza Kuu lazima kwanza zipite kwenye Kamati Kuu kama Chombo cha Utendaji cha Baraza hilo?

3. Vipi kuhusu Kanuni za Madiwani kama nilivyorejea zinavyokutaka kuwa mwaminifu kwa Chama nje na ndani ya Halmashauri?

4. Vipi kuhusu Kanuni ya 10.1 (xi) ambayo inatamka dhahiri kuwa Kiongozi anatakiwa kuheshimu maamuzi ya vikao vya Chama kama hajaridhirika apinge kwa kupitia vikao?

5. Kuhusu kuwatetea mafisadi kama ambavyo Marando amefanya, naomba urejee "Cab Rank Rule" lakini kwa hili wewe una dhamira mbaya dhidi ya Chama.

Naomba kuwasilisha.
 
Mwaikenda,

1. Kutetea utawala wa Sheria na tafsiri sahihi ya Katiba yetu ni kubomoa chama? Ndio mimi ni Diwani lakini itakuwa ajabu sana kusema kwamba kumtetea Zitto lazima nijiuzulu kwanza. Mimi sio mjumbe wa Kamati Kuu, Baraza Kuu wala Mkutano Mkuu. Mgongano wa maslahi unatoka wapi? Naweza vipi kuathiri maamuzi ya vikao hivyo?

2. Je marekebisho ya Kanuni ya 2013 yalijumuisha kwamba kukiwa na dharura utaratibu uliotajwa kwenye kipengele (a) usifuatwe? Kwa nini kipengele kilichoongezwa cha (d) kilitaja utaratibu ambao hautafuatwa ni ule wa (b) na (c) peke yake? Hilo unalielezeaje?

3. Kikao cha Kamati Kuu kilikuwa kikao cha dharura? Waraka husika ulikamatwa siku hiyo hiyo ya kikao au jana yake kwa hiyo ikabidi maamuzi ya dharura yafanyike?

Kama ilikuwa ghafla hivyo kwa nini asingesimamishwa uongozi, apewe mashtaka kama Kanuni inavyosema halafu asikilizwe kwa dharura na adhabu itolewe ya kumvua uongozi? Dharura sio haraka kaka.

4. Kupewa taarifa rasmi kwa maandishi na mwenendo kupelekwa Baraza Kuu ni taratibu ambazo lazima zikamilike ili muadhibiwa aweze kukata Rufaa. Ndio maana taarifa ya nia imetolewa ili taratibu hizo zikamilike. Hakuna niliposema nataka mwenendo wa shauri. Tunachotaka ni taarifa rasmi ya maamuzi.

5. Mwenendo unatakiwa umefika Baraza Kuu ndani ya siku 14 toka tarehe 22/11/2013. Je umefikishwa?

Tusijadili kwa jazba na hasira. Mimi kueleweshwa kwa hoja ni mwepesi sana. Fanya hivyo na kama uko sahihi nitaconcede. Lakini sitaconcede kisa tu utasema akili au uelewa wangu mdogo.

Ahsante.

Msando,
Naomba nitajie kifungu chochote cha kikatiba kinacho ruhusu representation kwenye Maamuzi ya Chama. Kama hairuhusu basi na wewe ni mmoja wapo wa Mhaini. Kwa kuwa katiba haisemi sehemu yoyote kukusu mtuhumiwa ndani ya Chama kutumia Wakili kwenye maamuzi ya Vikao halali vya Chama.
 
Tatizo lenu ndio hilo mnaamini kuwa mtu akikusaidia wakati fulani basi ni lazima ugeuke kuwa ndondocha wake hata pale anapofanya mambo ya kishenzi kabisa. Wote ni victims wa fikra za siasa za matumbo ndani ya CHADEMA halafu mnajifanya kuwa mnapambana na siasa za matumbo za CCM. Bila ya Zitto Mbowe angeweza kufanya mabadiliko ya CHADEMA kuanzia miaka ya 2004 hadi 2006 yaliyopelekea rejuvination ya chama hicho baada ya miaka mitano ya kumsusia chama Mzee Mtei ambaye alikuwa chaguo la wanachama dhidi ya chaguo la wenye chama Mzee Ndsamburo. Bila ya Zitto huyo mbowe anayejitapa kumsaidia, which is true in a way, angekuwa anamiliki mali yoyote hivi sasa kama angefilisiwa na NSSF kwa deni analokataa kulilipa kwa zaidi ya miaka 10 sasa. Na mangapi Zitto amemsaidia kisiasa na hata kijamii ikiwemo kuokoa ndoa yake ambayo sasa ndio inaelekea kaburini? Jikomboeni na hili janga la fikra za siasa za matumbo (patronage) ndani ya chama kwanza ndio mjinadi upambanaji wa kitaifa.

Kwa hiyo Nyaga kawa tajiri kwa sababu ya Albedo!? Kwa hiyo Mbowe kawa tajiri kwasababu ya Zitto kweli wewe mana kitu kichwani, Kama Albedo anaishi kwenye nyumba ya Nyaga miaka zaidi ya tano bila kulipa hata sent bili ya maji na umeme kwa Nyaga bado kamwimbia mil 60 bado unatwambia tumwamini huyu mwinzi....
Je unajua utajiri wa Mbowe ulianza lini, kwa akili yako inayokutosha kwendea haja kubwa unaamini Ndesa na Mbowe utajiri wameupata Chadema wameupata chadema....kama kuna utajiri ndani ya hivi vyama kwanini msimshauri Zitto akasajiri chama chake cha chauma ili atajirike kuliko kukihujumu eti anamajina ya walioficha mabilion uswiss ------- kabisa....Tuwekee hapa tuyaone siyo blah blah za kishenzi halafu wapumbavu wana jitokeza kumtetea muuwaji...
Yoyote anae mtetea Zitto maana anaunga mkono mauwaji ya Soweto kwani bila Zitto kusingekuwa na uchaguzi...
 
Siasa za Tanzania zilizojaa personal Hatred zimejengwa na watawala na chama tawala kwa kutoandaa mazingira ya kisasa kwa siasa za upinzani.

Hii siyo an excuse kuendelea na hatred hata kama zilianzishwa na chama tawala.Binadamu tupo duniani kubadilisha mazingira for better na siyo kuendeleza mabaya for worst.

Vijana mnajenga na kuendeleza kujenga mazingira ya siasa za chuki binafsi kwa ujira wa muda mfupi lakini kwa gharama kubwa katika jamii iliyopo na ijayo.

Kila siku mnasema ninyi ni kizazi kipya lakini upya wenu hauleti mabadiliko endelevu zaidi ya kuchochea mifarakano katika jamii iliyowazunguka.

Siasa mmezibadilisha kuwa kisima cha kuchota chuki na kuieneza kwa kuimwagilia katika jamii kwa sababu mnajishikiza kwenye nguzo watu/viongozi badala ya nguzo taasisi.

Funny enough waliotufikisha hapa wanawatumia baadhi ya watu miongoni mwetu kuendeleza mfumo huu wa kinafiki.CHADEMA na wanachama wake hawapaswi kulaumiwa!Bali wale wanaotumiwa na mfumo uliotufikisha hapa na wewe unayeelekeza lawama sehemu isiyo sahihi
Nani ameilaumumCHADEMA?. Usitake kuingiza CHADEMA kama taasisi katika malengo ya chuki kwa baadhi ya wanaojiita wanachama wa CHADEMA.

Mimi ninawalaumu baadhi ya vijana wanaojinasibisha kuwa ni wanachama wa vyama vya siasa wakati wengi wao wanasimamia falsafa za baadhi ya viongozi wa vyama kama "survival of the fittest" badala ya survival of the party as an institute.

Hatred ni dhambi kubwa ambayo ina tabia ya kuwatafuna hata waanzilishi. Msije mkaanza kushangaa itakapoanza kuwatafuna ninyi mnaojiita vijana wa CHADEMA.

Yangu macho na masikio.
 
Msando,
Naomba nitajie kifungu chochote cha kikatiba kinacho ruhusu representation kwenye Maamuzi ya Chama. Kama hairuhusu basi na wewe ni mmoja wapo wa Mhaini. Kwa kuwa katiba haisemi sehemu yoyote kukusu mtuhumiwa ndani ya Chama kutumia Wakili kwenye maamuzi ya Vikao halali vya Chama.

I rest my Case.You nailed it....!
 
Hii siyo an excuse kuendelea na hatred hata kama zilianzishwa na chama tawala.Binadamu tupo duniani kubadilisha mazingira for better na siyo kuendeleza mabaya for worst.

Vijana mnajenga na kuendeleza kujenga mazingira ya siasa za chuki binafsi kwa ujira wa muda mfupi lakini kwa gharama kubwa katika jamii iliyopo na ijayo.

Kila siku mnasema ninyi ni kizazi kipya lakini upya wenu hauleti mabadiliko endelevu zaidi ya kuchochea mifarakano katika jamii iliyowazunguka.

Siasa mmezibadilisha kuwa kisima cha kuchota chuki na kuieneza kwa kuimwagilia katika jamii kwa sababu mnajishikiza kwenye nguzo watu/viongozi badala ya nguzo taasisi.

Nani ameilaumumCHADEMA?. Usitake kuingiza CHADEMA kama taasisi katika malengo ya chuki kwa baadhi ya wanaojiita wanachama wa CHADEMA.

Mimi ninawalaumu baadhi ya vijana wanaojinasibisha kuwa ni wanachama wa vyama vya siasa wakati wengi wao wanasimamia falsafa za baadhi ya viongozi wa vyama kama "survival of the fittest" badala ya survival of the party as an institute.

Hatred ni dhambi kubwa ambayo ina tabia ya kuwatafuna hata waanzilishi. Msije mkaanza kushangaa itakapoanza kuwatafuna ninyi mnaojiita vijana wa CHADEMA.

Yangu macho na masikio.

Sasa kama unakiri hatred politics zilianzishwa na chama tawala na mfumo wake nilitegemea kwa mtu mwenye weledi na msomi ujadili source na the way forward badala ya kulaumu matendo ya victims.Something must be wrong
 
hizo mbona mbona nyingi ni dalili ya kukosa umakini, kama kawaida yako hujifanya una point na uko makini kumbe zero!
Ni wewe na wenzako mara nyingi mnalaumu cdm eti kama ccm wanafanya kosa fulani sio passport ya cdm nayo kufanya, inatakiwa ijipambanue na iwe mfano. Sasa kwa huyu bwana msando kumtetea umeweka misururu ya mbona nyingi tu mara baadhi ya viongozi wa chadema wanatumia majukwaa ya kisiasa, mbona baadhi ya viongozi na wanachama wanaofahamika wa chadema n.k. Toa hoja madhubuti ya kumtetea sio mbona, mbona.
Albert ni diwani kwa nini asijiuzulu kwanza ndio apambane na kamati kuu, sasa tuanzie hapo acha longolongo!

hivi kwanini mnafikiri MsandoAlberto hana haki ya kuongea? Hivi kusema ukweli ni kupambana na kamati kuu?
 
Last edited by a moderator:
Ulikosea sana kuchukua mwanasheria ambae hajui hata katiba ya chadema inasema nini kuhusu maadili ya viongozi.Taarifa yake kwenye vyombo vya habari ni utata mtupu.Kama kweli Zito alikuwa na nia njema ya kujitetea ingekuwa bora angeenda pale shule ya sheria udsm wakamsaidia.Yule jamaa kama alichokisema kwa waandishi ndicho alichoandika kama majibu ya zito kwa barua aliyopewa na kamati kuu ya chadema, basi Zito asije kulaumu yatakayomkuta katika maisha yake ya siasa.
 
ni kweli hakuna alichokiongea yule
 
Kipengele cha Ukomo wa Uongozi kiling'olewa 2006 ili Mbowe apate kugombea tena.Amekwaa kisiki hivi sasa MPIGANIA DEMOKRASIA NDUGU SAMSON MWIGAMBA amepeleka Katiba ya 2004 kabla ya marekebisho ikionesha Kipengele cha Ukomo wa Uemyekiti then Minutes za Marekebisho ambazo hakuna sehem kuna mabadiliko ya Ukomo wa Uongozi mara Ghafla katiba mpya inachapwa 2006 wameng'oa kienyeji. sasa Jukumu lenu ni kutoa sababu za kung'oa kienyeji baadhi ya Ibara za Katiba SIO ISHU YA ZITTO TENA!
 
Hakuna chochote alichojibu Msando zaidi ya expression of ignorance kwenye Katiba ya Chama.
Kawaambie deal limebuna kaka
 
Sawa wewe mwenye ambition ya kubeba majungu ya Mama Josephine Mushumbuzi aka Mwenza wa Dr Slaa na kujikweza kwako kujifanya unjua siasa huku utaalamu pekee ulio nao ni kubeba majungu na kuyasambaza kwa ajili ya nafasi. Mwenzio najua umuhimu wa kujifunza na kujishusha na pia sina ulimbukeni wa nafasi kwani maisha yangu yamekuwa ya nafasi nyingi tu ambazo sina haja ya kujigamba nazo lakini niko tayari kujigamba na nafasi za kubeba mafaili na kuelimika kwa wenye elimu, uzoefu na heshima na sio kwa ajili ya nafasi tu kama wewe. Naona udini na mkabila unakuwa mbaya tu pale ambapo unatuhumiwa lakini ni assent pale unapotumika kujijenga... hilo sio tatizo lako pekee, ni tatizo la kibinadamu ambalo kwa wenye akili fupi wanaweza kudhani ni ukawaida wa binadamu lakini ukijengeka kwa fikra ambazo zinapatikana kwa kuwabebea mafail wenye upeo wa juu, huwezi kukubaliana na ukawaida huo na utakuwa tayari kuupiga vita hata pale ambapo unakusaidia wewe. Mdogo wangu Ben ambaye sikujui hata kwa sura, jifunze kujishusha kunalipa, yawezekana sio kimaslahi lakini kifikra... ukombozi wa kifikra ndio hatua muhimu ya ukombozi wa kimaisha. Hata hivyo sikushangai sana maana trait yako ni ya kawaida kwa wenye kugubigwa na ulimbukeni uwe wa kimali au kinafasi, kunakufanya ujione ni muhimu sana ndani ya CHADEMA wakati umuhimu wako unaishia katika kutumika tu tena na watu wasio na chembe ya integrity... Mimi sina ndoto za kuwa fulani, nina ndoto za kuchangia kubadili nchi yangu kufanikisha ujenzi wa Tanzanianjema. Natambua kwako ni vigumu kuelewa hilo.

Kuniona kwa sura?Sijawahi kutamani hata kufahamiana na wewe kwa fikra hizi za kijima ulizoonyesha.Kuna haja gani ya kufahamiana na mtu mwenye fikra za kale karne hii ya sayansi na teknolojia wakati kama ni mambo ya kale tunaweza kuyapata kwenye Museums au archives.I dont wish to meet a primitive chap like you.Nimeshasema ungekua kaka yangu wa damu niliyezaliwa naye ungekua umeniweka katika wakati mgumu sana mimi kama "mdogo wako" (Kama unavyopenda kujinadi) hapa jukwaani

Unaona fahari sana kuniita mdogo wako lakini kwangu ni fedheha kuitwa mdogo wako kwa mtu mwenye fikra duni kama ulizoonyesha hapa hasa fikra za ubaguzi wa kidini na kikabila ndani ya karne hii.

Omar,Ukaka sio vitisho bali ni upevu wa fikra.

Pili,Unasema Utaalamu pekee nilio nao ni wa majungu na blah blah blah ulizoongeza.Sina utaalamu huo labda wewe mwenye uwezo wa kutambua taaluma hiyo na vipaji hivyo

Waalimu wangu wanajua profession yangu.Sijawahi kutafuta namna yoyote ya kubebwa popote.Ninajiamini na nina broad knowledge and experience.Huyo Rafiki yako kipenzi anajua.

Tatu,Kujishusha:Sipo tayari kujishusha na kurudi karne na enzi za ujima.Sipo tayari kupiga magoti kwa wanafiki na wasaliti .Hata mitume na manabii hawajawahi kujishusha mbele ya shetani pamoja na wema wao wote

Nne,Fikra:Huwezi kuwa na moral authority ya kujadili dhana ya mabadiliko ya kifikra au ukombozi ikiwa bado unakaza minyororo ya ubaguzi wa kidini na kikabila.Acha unafiki.

Ndoto za kubadili nchi unatumia njia zipi?Huu ukabila na udini ambao kila mtu anauona hapa?Ndio tunabadili nchi hivyo?

Guys,You need to grow up.You are just a tall guy.Komaa kifikra ili ujikweze na kupata haki ya kuniita 'Mdogo Wangu Ben'.

Kwa umri ulio nao bado unaingia kwenye mitego ya kumjadili Josephine na status yake kama ''Mwenza".Hii ndio strateggy ya kubadili nchi hivi?

Dr.Salim anaheshimika sana.Please,Stop this nonesense.Behave maturely and professionally.

Yaani wewe ndio mbeba mafaili unayejisifu hapa wakati huna chochote unacho-gain kifikra kwa unayembebea mafaili?Hata ikishindikana basi ungesoma hata paper alizotupa kwenye dust bin upate ABCD.

Ungekua illiterate usiyejua hata kusoma ungeeleweka lakini mtu unayemudu hata kuingia JF unanyesha kabisa you're out of touch with reality.

By the way,Siwezi kuwa limbukeni kama unavyodhani maana hujui background yangu.You're so paranoid! Getta fresh air bro!
 
Hii ndio shida ya kuwa kanjanja.Chadema ina watu wasomi wazuri,wachambuzi wazuri na wengine wengi tu.Mbowe ni nani abadilishe katiba bila ridhaa ya baraza kuu la chama?Usipende kutumiwa.Pambana jasho likutoke ule kwa baraka toka kwa Mungu.
Kipengele cha Ukomo wa Uongozi kiling'olewa 2006 ili Mbowe apate kugombea tena.Amekwaa kisiki hivi sasa MPIGANIA DEMOKRASIA NDUGU SAMSON MWIGAMBA amepeleka Katiba ya 2004 kabla ya marekebisho ikionesha Kipengele cha Ukomo wa Uemyekiti then Minutes za Marekebisho ambazo hakuna sehem kuna mabadiliko ya Ukomo wa Uongozi mara Ghafla katiba mpya inachapwa 2006 wameng'oa kienyeji. sasa Jukumu lenu ni kutoa sababu za kung'oa kienyeji baadhi ya Ibara za Katiba SIO ISHU YA ZITTO TENA!
 
Kipengele cha Ukomo wa Uongozi kiling'olewa 2006 ili Mbowe apate kugombea tena.Amekwaa kisiki hivi sasa MPIGANIA DEMOKRASIA NDUGU SAMSON MWIGAMBA amepeleka Katiba ya 2004 kabla ya marekebisho ikionesha Kipengele cha Ukomo wa Uemyekiti then Minutes za Marekebisho ambazo hakuna sehem kuna mabadiliko ya Ukomo wa Uongozi mara Ghafla katiba mpya inachapwa 2006 wameng'oa kienyeji. sasa Jukumu lenu ni kutoa sababu za kung'oa kienyeji baadhi ya Ibara za Katiba SIO ISHU YA ZITTO TENA!

Kama huu ndio utetezi wao naona kufukuzwa kwao kupo karibu sana! kama katiba ilichakachuliwa,nadhani wao hao ma-MM walikuwa wajumbe wa kamati kuu.swali la kujiuliza je,hawakuwahi kukiona hicho kipengele toka 2006 hadi hadi majuzi? je,hilo swala la katiba wameshawahi kulitolea hoja ndani ya vikao vya CC na kutaka marekebisho? huu utetezi wao ni wa kitoto na upo nje ya mashitaka yao na naliona anguko lao!
 
Kipengele cha Ukomo wa Uongozi kiling'olewa 2006 ili Mbowe apate kugombea tena.Amekwaa kisiki hivi sasa MPIGANIA DEMOKRASIA NDUGU SAMSON MWIGAMBA amepeleka Katiba ya 2004 kabla ya marekebisho ikionesha Kipengele cha Ukomo wa Uemyekiti then Minutes za Marekebisho ambazo hakuna sehem kuna mabadiliko ya Ukomo wa Uongozi mara Ghafla katiba mpya inachapwa 2006 wameng'oa kienyeji. sasa Jukumu lenu ni kutoa sababu za kung'oa kienyeji baadhi ya Ibara za Katiba SIO ISHU YA ZITTO TENA!

Unadhani Mh.Mbowe asipogombea ndo chama kinaweza kupewa hawa kalumekenge's wakiongoze? Yaani hawa wasaliti? hata kama kingekuwa chama cha mazuzu nina hakika wasingekubali kuongozwa na hawa mamluki wachumia matumbo.
 
We know what is good for us!Kama tunatakiwa kujivunia vijana hao si ndio ungekasirika kabisa maana misingi ya kilaghai unayoisema kila siku inakua imevunjwa ndani ya CHADEMA na hivyo CCM mngekosa hoja?

Acha unafiki

Chadema ni chama kinachoendeshwa katika misingi ya kilaghai. Vijana kama Msando wamebaini hilo na wanajitahidi kuweka misingi ya siasa safi ndani ya Chadema.

Mida Eight, kwanini unakumbatia misingi ya kilaghai? Kwanini kama umeshindwa kushirikiana na Msando kuweka misingi ya siasa safi angalau usikae kimya tu?
 
Mdogo wangu kwanza wewe unapaswa kujitibia hiyo identity crisis uliyonayo. Pili sijawahi kuficha ukaribu wangu na Zitto. Ni wewe ndiye unayeshindwa kujitambulisha kama mfuasi mkubwa wa genge la Mbowe na mdau wake wa mud Dr Slaa na kuwa wewe CHADEMA ni chama cha nyumbani ambacho kinapaswa kulindwa kuingia mikononi mwa wakuja ambao kwenu ninyi wao wapo kwa ajili ya kutumika tu na sio kuongoza chama. Tatu, nadhani kama unafiki wewe ndiye sura ya unafiki katika siasa za CHADEMA na ndizo unazitegemea kujenga nafasi yako ndani ya chama pamoja na uchaga wako ukiamini kuwa CHADEMA ambao unaamini ndio asset kubwa kwako kisiasa ndani ya CHADEMA. Angalao mimi ni msaidizi wa Dr Salim kama unavyosema lakini wewe ni mpambe wa Mama Josephine aka mwenza wa Dr Slaa. Angalao hata ungekuwa Msaidizi wa Dr Slaa mwenyewe ungeweza kuwa na uhalali wa kuhoji kazi yangu ambayo wengi wenu mnaiotea ndoto. Kama mlizoea kutengeneza uongo na watu wakawaangalia tu huku wakiamini busara ya kukaa kimya ingeliweza kuokoa chama, hapa mlipofika mmepoteza nguvu hiyo. Ni tit for tat inakuja soon....

Hapa umemaliza. Mimi sina cha kuongezea.

Cc Josephine
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom