Ludovick iache chadema yetu

olengai

JF-Expert Member
Jul 17, 2013
308
0
Ndg wana jf,nimesoma thred hapa ya ludovick anayolalamika kufanyiwa fujo na vijana anaodai ni wanachadema,nmechukizwa na hyu ludovick kuendelea kuifatafata cdm kama vile yale waliofanya na mwigulu hayatoshi,sasa we ludovick unataka kuipaka tena cdm matope kuwa ulipigwa.
Ishu ya ugaid umeshindwa ww na mwenzako, na sasa unataka kuleta ujinga wako tena hapa..mm nadhan hata hustahil kuwa mwanachama wa chadema tena..unastahili kupewa adhabu kubwa na Mungu...
Namshukur Mungu kuwa hujapigwa,ingekuwa ni kweli nadhan wangekupga kabisa.hatukuhitaj chadema nenda ccm kwa wauaj,watekaj na watesaj wa binadan,wapambikiza watu kesi za uongo.
Chadema hatuna hizo hila..hiv sasa baada ya kuona ishu ya zito kuivuruga cdm inashindikana, mnaanza kutafuta njia zingine.tena nasikia na ww ni mmojawapo wa anaepost habar za kuponda uongoz wa cdm,mkishirikiana na kina mwigulu na waliofukuzwa cdm.
Safar hii,hatukubali tena kuona mnaleta vurug chadema,chadema itazid kuwa imara,hatutalegea,hatutarudi nyuma,tutasonga mbele huku tukiimba nyimbo za ujasiri,kwa kuwa Mungu yupo upande wetu..
Mungu anajua fitina zenu,dhambi zenu,na hatutalipa kisasi kwa kuwa yupo atakaelipa kisasi ambae ni Mungu pekee.
 

Suzie

JF-Expert Member
May 7, 2010
1,259
1,195
Huyu kijana ana lake jingine si bure na atalipata tu kama sio kupatwa. Tatizo ukishakunywa damu ya mtu hutaishi kwa amani kabisa nasasa ndo anatapatapa
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom