Peoples Power: Wananchi Wagoma Kutozwa Tsh 2000 Kilindi Tanga

Moscow

Member
Nov 24, 2013
51
0
Wafugaji wa kimasai katika wilaya ya Kilindi Tanga, wameigomea serikali kutozwa Tsh.2000 kwa kila ngombe ili kujenga mahabara. Wananchi hao wamegoma wakisema kwamba, serikali ya CCM ni ya kifisadi na haiaminiki kukusanya fedha. Bora wajenge mahabara yao kuliko kitegemea serikali ya CCM

M Take: Naona wananchi wameanza kuamka

Source ITV 8pm
 

olengai

JF-Expert Member
Jul 17, 2013
308
0
Safi sana...ccm ni wezi watupu,wamefikir wamasai wanatoa tu ela hovyo...hv serikal haina ela? Kaz ya serkal ni nin???
 

jogi

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
25,615
2,000
Safari moja ya jk nje ya nchi hugharimu bei gani?
yeye binafsi masurufu na posho zake huainishwa vipi ili tujue, manake naona kama katuibia sana kwa staili hiyo hapo.
halafu maabara wananchi wachange, bambaufu kabisa hili lichama.
 

mangatara

JF-Expert Member
Jul 6, 2012
14,542
2,000
Sii Sii Eem! Inajimaliza yenyewe jamani, kila kitu ni majangaaa. Wataponyesha lipi watose lipi?
 

Lokissa

JF-Expert Member
Nov 20, 2010
7,447
2,000
kweli ccm ni janga la taifa
kwa nini rais asiamuru hela zetu zikarudishwa huko Swiss na kwingineko zikafanya hivi vitu
Kweli hela yaani hela za Swiss zimeengezeka zaidi ila hakuna kiongozi hata mmoja wa ccm anakemeahili jambo
Wananchi tuamke tusikubali kamwe kudanganywa na hawa mafisadi tena
 

Ikengya

JF-Expert Member
Oct 18, 2013
615
225
Hivi kodi zetu kazi yake nini jamani kama hata huduma za jamii inabidi tuzichangie. Alafu wakija kwenye kampaini wanajisifia tumefanya tumefanya! Wapumbavu kweli.

Enzi za chama na serikali tulifanya vingi ila cha kushangaza wakati wanatenga serikali na chama vizuri vyote waliweka ccm na serikali kubakia na vibaya tu. Ntaidai CCM kirumba mpaka niishiwe damu na nina uhakika itarudi tu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom