Mbunge na diwani wako kafanya nini jimboni mpaka sasa?

O

olengai

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2013
Messages
308
Likes
0
Points
0
Age
37
O

olengai

JF-Expert Member
Joined Jul 17, 2013
308 0 0
Ndg wadau,nawasalim nyote.
Naleta mada ya kuanika yote aliyoyafanya mbunge wako au diwan mpk sasa.
Kwanza naanza kwa kueleaza kwa majimbo 3 ya karib kwangu kama jimbo la ole medeye, johua nasari,na god lema.
Kwanza naanza na jimbo la arusha vijijin kwa gudluck ole medeye.hyu jamaa alichofanya cha zaid ni kuipa tu jina shule ya sec jina lake iliyopo marurani kata ya nduruma, kaipa jina lake la medeye sec school.baada ya hapo hakuna cha maana alichofanya huyu bwana zaid ya kukimbilia dar na kuacha jimbo,huku akiibuka kwenye chaguz ndogo kwa kuwagombanisha makabila.
Barabara ya kwenda kwake ni vumbi hujawah ona..hakuna huduma muhim kama maji hasa kwa kata kama za nduruma,bwawani,ngaramtoni juu etc.kuna shule inaitwa ngiresi aliahid maabara,ameshindwa kuitekeleza..mh fanya kaz uliyotumwa acha ukabila.
Joshua Nasar kajitahid sana japo muda mfupi,amegawa vitabu mashuleni,kajenga shule ya sec,kawasomesha watoto yatima,ametetea wanachi kuhusu mashamba yao.,amechimba visima baadhi ya vijiji kama ngabobo,isipokuwa kata ya madiwan wa ccm walioweka pingamiz kuzuia kuchimbwa visima etc..
Arusha mjini pamoja na kusumbuliwa na serikali asifanye kazi kwa muda mrefu,mh lema alijitahid kununua trekta la wakulima,ambulace la wagonjwa,kusomesha watoto yatima zaid ya elfu 3,kusimamia wizi na ubadhirifu wa pesa za uma kupitia vikao vya halmashaur kwa kusaidiwa na madiwan wa cdm..lema amewajengea ujasir wananchi wa arusha na kuondoa woga...na mengine mengi tu..
Jimbon kwa edward lowasa.kwa kias barabara ni nzur tu monduli mjhini lakin kwa undan hakuna kitu...watu wanashangaa pesa za makanisan vp wakat jimbon bado haijawa kama marekani.
Napenda kuwaasa wabunge na madiwani ambao hawafany kaz wakumbuke kuwa,mwaka wa 2015 hawatarudi hata wakitumia njia za mkato.
Nawe pia waweza kuchangia kwa kueleza aliyoyafanya mbunge wako,kama hakuna eleza pia.pengine watajirekebisha kwa muda uliobaki.kumbuka sisi ndo walipa kodi na wapga kura,huna sabab ya kuogopa. Asanteni
 
M

mob

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2009
Messages
2,219
Likes
766
Points
280
M

mob

JF-Expert Member
Joined Dec 4, 2009
2,219 766 280
mimi wabunge wangu ni mnyika kwa hapa town na mrema kwa vijijni. kimsingi wameniwakilisha vyema bungeni kwa kuwa wao ni wawakilishi wa wananchi ila kero nyingine zimebaki kama zilivyo kwa kuwa hawakusanyi kodi hivyo hawana fedha za kutekeleza miradi.
 
B

bizmak

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2013
Messages
390
Likes
0
Points
0
B

bizmak

JF-Expert Member
Joined Jun 29, 2013
390 0 0
mimi wabunge wangu ni mnyika kwa hapa town na mrema kwa vijijni. kimsingi wameniwakilisha vyema bungeni kwa kuwa wao ni wawakilishi wa wananchi ila kero nyingine zimebaki kama zilivyo kwa kuwa hawakusanyi kodi hivyo hawana fedha za kutekeleza miradi.
Mm namshukuru Manyika ubungo, Nauza sana maji dumu la 20lts nauza mpaka 500 tsh.nimejiandaa kumchangia gharama za ubunge 2015.
 
Mag3

Mag3

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2008
Messages
10,195
Likes
8,961
Points
280
Mag3

Mag3

JF-Expert Member
Joined May 31, 2008
10,195 8,961 280
olengai, naomba ufafanuzi ndugu yangu, wabunge na madiwani wanatakiwa wafanye nini na kwa kutumia vyombo na rasilimali zipi?
 
WENYELE

WENYELE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Messages
1,227
Likes
830
Points
280
WENYELE

WENYELE

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2012
1,227 830 280
Ndg wadau,nawasalim nyote.
Naleta mada ya kuanika yote aliyoyafanya mbunge wako au diwan mpk sasa.
Kwanza naanza kwa kueleaza kwa majimbo 3 ya karib kwangu kama jimbo la ole medeye, johua nasari,na god lema.
Kwanza naanza na jimbo la arusha vijijin kwa gudluck ole medeye.hyu jamaa alichofanya cha zaid ni kuipa tu jina shule ya sec jina lake iliyopo marurani kata ya nduruma, kaipa jina lake la medeye sec school.baada ya hapo hakuna cha maana alichofanya huyu bwana zaid ya kukimbilia dar na kuacha jimbo,huku akiibuka kwenye chaguz ndogo kwa kuwagombanisha makabila.
Barabara ya kwenda kwake ni vumbi hujawah ona..hakuna huduma muhim kama maji hasa kwa kata kama za nduruma,bwawani,ngaramtoni juu etc.kuna shule inaitwa ngiresi aliahid maabara,ameshindwa kuitekeleza..mh fanya kaz uliyotumwa acha ukabila.
Joshua Nasar kajitahid sana japo muda mfupi,amegawa vitabu mashuleni,kajenga shule ya sec,kawasomesha watoto yatima,ametetea wanachi kuhusu mashamba yao.,amechimba visima baadhi ya vijiji kama ngabobo,isipokuwa kata ya madiwan wa ccm walioweka pingamiz kuzuia kuchimbwa visima etc..
Arusha mjini pamoja na kusumbuliwa na serikali asifanye kazi kwa muda mrefu,mh lema alijitahid kununua trekta la wakulima,ambulace la wagonjwa,kusomesha watoto yatima zaid ya elfu 3,kusimamia wizi na ubadhirifu wa pesa za uma kupitia vikao vya halmashaur kwa kusaidiwa na madiwan wa cdm..lema amewajengea ujasir wananchi wa arusha na kuondoa woga...na mengine mengi tu..
Jimbon kwa edward lowasa.kwa kias barabara ni nzur tu monduli mjhini lakin kwa undan hakuna kitu...watu wanashangaa pesa za makanisan vp wakat jimbon bado haijawa kama marekani.
Napenda kuwaasa wabunge na madiwani ambao hawafany kaz wakumbuke kuwa,mwaka wa 2015 hawatarudi hata wakitumia njia za mkato.
Nawe pia waweza kuchangia kwa kueleza aliyoyafanya mbunge wako,kama hakuna eleza pia.pengine watajirekebisha kwa muda uliobaki.kumbuka sisi ndo walipa kodi na wapga kura,huna sabab ya kuogopa. Asanteni
Ukiacha kuvuta bangi,utajitambua! ulichosema yote ni uongo kuhusu wabunge wako uliowasema,bosi nko arusha hapa,kuna shule lukuki hali ni mbaya af zko kwa lema afu unamsifia!
Nenda korona secondary then uje urekebshe maneno yako hali mbaya
 
2

2pad

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2013
Messages
327
Likes
18
Points
35
2

2pad

JF-Expert Member
Joined May 10, 2013
327 18 35
kwa mimi alichofanya Mbunge wangu ambaye ni Adeni Rage wa Tabora mjini nadhani ni kununua gali aina ya Hama kwa thamani ya Dora milioni 60 huko Marekani japo bado anasita kuiingiza nchini c jui ni kwa nini ila ataileta watu wataiona.
 
N

nkongu ndasu

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2013
Messages
22,502
Likes
3,776
Points
280
N

nkongu ndasu

JF-Expert Member
Joined Jan 19, 2013
22,502 3,776 280
Kwa mbunge wangu gaudensi kayombo huku mbinga, amegawa simu na vitenge kwa makada wa maccm basi! Barabara za vijijini hali ni mbaya sana, bei ya kahawa imekuwa ya kutupwa sana mwaka huu, mbunge haonekani jimboni yeye ni dar tu, wakulima wanalia na minjingu yeye yuko tu anakula maisha huko dar. Ufisadi katika halmashauri ni mkubwa sana, huku maafisa utumishi na maafisa wengine wakijineemesha bure wilayani! Ukija mbinga unaweza ukadhani jimbo halina mbunge, bungeni dodoma mbunge wetu yuko kimya kama hayuko vile!
 
J

jobless tycoon

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Messages
676
Likes
245
Points
60
J

jobless tycoon

JF-Expert Member
Joined Oct 13, 2012
676 245 60
diwan wang wananchi wenye hasira wamempopoa kwa mawe had mauti.
 
theki

theki

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2013
Messages
2,726
Likes
11
Points
135
theki

theki

JF-Expert Member
Joined Nov 1, 2013
2,726 11 135
Ukiacha kuvuta bangi,utajitambua! ulichosema yote ni uongo kuhusu wabunge wako uliowasema,bosi nko arusha hapa,kuna shule lukuki hali ni mbaya af zko kwa lema afu unamsifia!
Nenda korona secondary then uje urekebshe maneno yako hali mbaya
Wewe kasema useme ubunge na diwani wako alichofanya ajasema ujibu alichofanya Lema.Kwanza kazi yakujenga shule sio ya mbunge ni ya serekali tunapolipa kodi so hayo mashule mabovu ni serekali ndiyo inawajibika.
Na wewe mara ya mwisho kuchangia hata nguvu kazi kwenye mtaa wako au shule zilizo jirani na wewe ni ushafanya kweli au ndiyo wale wale unasubiri serekali mpk ikupe ajira.Come on wake up acha kuwa mzigo.Kuna rais mmoja wa marekani alisema ''JIULIZE UMEIFANYIA NCHI YAKO NINI SIO NCHI YAKO IMEKUFANYIA NINI''
Na usipoangalia utalalamika hivyo hivyo mpk siku unakufa...............................?
 
MUSSA ALLAN

MUSSA ALLAN

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2013
Messages
18,948
Likes
7,599
Points
280
MUSSA ALLAN

MUSSA ALLAN

JF-Expert Member
Joined Oct 13, 2013
18,948 7,599 280
Wakwetu hapa arusha mjini. Amefanikiwa kuzima biashara ya utalii pamoja na kufanya amani kuwa bidhaa hadimu hapa mjini. Kwa hilo tutamuhukumu.
 
J

Jobalo josiah

Member
Joined
Feb 5, 2013
Messages
69
Likes
0
Points
0
J

Jobalo josiah

Member
Joined Feb 5, 2013
69 0 0
Mleta mada hebu tuambie hayo matrekta yapo wapi hapa mjini,na vikao gani vya h'shauri amehudhuria kabla ya uchaguzi wa juzi, je wtt anaowasomesha si anatumia fedha za mfuko wa jimbo. Arusha mjini hakuna mbunge.
 
MUSSA ALLAN

MUSSA ALLAN

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2013
Messages
18,948
Likes
7,599
Points
280
MUSSA ALLAN

MUSSA ALLAN

JF-Expert Member
Joined Oct 13, 2013
18,948 7,599 280
Mleta mada hebu tuambie hayo matrekta yapo wapi hapa mjini,na vikao gani vya h'shauri amehudhuria kabla ya uchaguzi wa juzi, je wtt anaowasomesha si anatumia fedha za mfuko wa jimbo. Arusha mjini hakuna mbunge.
Mini Kabang hajawahi kuwa serious na majukumu ya kibunge.
 
K

Kidogo chetu

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2009
Messages
1,428
Likes
803
Points
280
K

Kidogo chetu

JF-Expert Member
Joined Nov 27, 2009
1,428 803 280
Mimi wangu ni LEMA arusha mjini kwa kweli kanifundisha kutokufanya kazi kwa bidii kama iliokuwa mazoea yangu na nimekuwa kinara wa kuandamana kila mara hata kama sina sababu ya kufanya hivo.

Minu za ukwapuaj alizokuwa akitumia naona zmekuwa maada kwa vijana wengi wanaomznguka jimboni
 
madibira kwetu

madibira kwetu

Member
Joined
Apr 30, 2013
Messages
33
Likes
0
Points
0
madibira kwetu

madibira kwetu

Member
Joined Apr 30, 2013
33 0 0
Jimboni kwangu, toka tulivyo vimbiwa pilau hatujamuona tena. Aliwahi kuonekana siku moja tu! bungeni akitetea foleni za jiji la Dar kana kwamba anaishi huko.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Z

zamlock

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2010
Messages
3,846
Likes
57
Points
145
Z

zamlock

JF-Expert Member
Joined Dec 25, 2010
3,846 57 145
Wakwangu wa Tarime hapa toka alivyo bwaga atujamuona
 
M

Mokoyo

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2010
Messages
15,208
Likes
2,353
Points
280
M

Mokoyo

JF-Expert Member
Joined Mar 2, 2010
15,208 2,353 280
hata simfahamu mbunge wala diwani wangu maana very rarely they come to us
 
Eddo Sambai

Eddo Sambai

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2013
Messages
1,816
Likes
7
Points
0
Eddo Sambai

Eddo Sambai

JF-Expert Member
Joined Aug 1, 2013
1,816 7 0
Wakwetu hapa arusha mjini. Amefanikiwa kuzima biashara ya utalii pamoja na kufanya amani kuwa bidhaa hadimu hapa mjini. Kwa hilo tutamuhukumu.
Acha umbea wewe,
Unaijua Arusha au unaisikia tu neno Arusha?
Kwa taarifa yako Arusha wanaishi wanaume kamili na sio wabanapua kama wewe.

Arusha ina wenyewe na wenyewe ndio sisi na Mb wetu lema, tuna maisha yetu, lugha yetu, life stly zetu,mapigo yetu,pozi zetu,mambo yetu. Hivyo wakuja akileta za kuleta anajulikana mapema.

Alafu hiyo biashara ya utalii unayoilalamikia unaijua?
Ebu tueleze utalii ni nini?
Orodhesha angalau kampuni 10 tu zinazojiusisha na biashara ya utalii hapa Arusha?
 
Devil's Driver

Devil's Driver

Member
Joined
Aug 14, 2013
Messages
64
Likes
3
Points
15
Age
45
Devil's Driver

Devil's Driver

Member
Joined Aug 14, 2013
64 3 15
Mi wangu ni Highness Kiwia (CDM) Ilemela Mwanza. Alichofanya alileta ambulance moja Bugogwa basi!!! Kinachoendelea sahiv ckujui kwn hakuna la maana linalofanyika. Cjui hata huo mfuko wa jimbo pesa zake zinafanya nini!! Kuna upimaji viwanja ulifanyika 2011 eneo la Mhonze,wananchi waliugomea baada ya kugundua udanganyifu ktk hilo,lkn yeye km mbunge aliwashawishi wananchi mpaka wakaupokea mradi huo. Hadii leo hii hakuna cha fidia wala nini,na hata haonekani kabisa kushughulikia suala hilo,na nyumba zinazidi kuanguka hasa kipindi hiki cha mvua!! Kazi yake ni maandamano tu!!! Sioni kabisa faida ya kuwa na mbunge!!
 
S

SautiYaWatanzania

Member
Joined
Sep 11, 2013
Messages
32
Likes
0
Points
0
S

SautiYaWatanzania

Member
Joined Sep 11, 2013
32 0 0
Mbunge wangu anaranda na helicopter nchi nzima. Thats all. Pia amewahi kumsifia JK alipokuja jimboni
 
Kikombe1

Kikombe1

Member
Joined
Feb 4, 2013
Messages
65
Likes
14
Points
15
Kikombe1

Kikombe1

Member
Joined Feb 4, 2013
65 14 15
Utalii na maandamano na uporaji wapi na wapi braza. Mimi niko hapa town Arusha nakula kuateo. Naona vijana walivyopauka wanasubiri ukombozi wa Lema
 
Forum statistics

Threads 1,272,335
Members 489,924
Posts 30,448,060