Ccm watapeli wananchi

olengai

JF-Expert Member
Jul 17, 2013
308
65
Chama cha mizigo (ccm),tangu waibe kura na kuingia madarakan,waliahid maisha bora kwa kila mtanzania.kinyume chake,chama hichi kimegeuka cha kukamata watu na kuwatesa,hata kuwaua,kimekua cha wizi na kukamua watz hasa kupitia kodi tunayolipa. Hapo jana tu,bunge la maccm limepitisha kuwa watanzania wataanza kukatwa kodi ya line za cm kwa madai kuwa ni kusambaza maji vijijini na umeme.huu ni uongo na ulaghai mkubwa kwa kuwa yamedhihirika kutoka kwenye wizara nyingine kuwa pesa zilizoidhinishwa mwez wa 7 mpk leo hazijafika halmashaur au kunakostahili.
Mfano,wizara ya chakula walilalamika kuwa kati ya bilion 168 zilizoidhinishwa ni bil 38 pekee ndizo zilizotoka.
Habar zilizopo ni kuwa ccm wanahaha kukusanya pesa kwa ajili ya kampeni za mwaka ujao na 2015.
Watz tunakamuliwa sana,tunalipa kodi kupitia umeme,maji,nyumba,vyakula,vinywaj,biashara,nguo,lakin pesa zote hizi hakuna kinachofanyiwa zaidi ya kupewa kina ,mwigulu kutesea watu na kuua watu
wakat wa benjamin mkapa hali ya uchumi na living standard ya watz ilikuwa afadhali ukilinganisha na sasa,bado maccm wanatutesa tu.
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom