Maovu ya ccm yazidi kujulikana na watz


O

olengai

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2013
Messages
308
Likes
0
Points
0
Age
37
O

olengai

JF-Expert Member
Joined Jul 17, 2013
308 0 0
Yale yaliyokuwa yakifanywa na serikali ya ccm ya kukamata,kuteka na hatimae kuua wananchi kupitia kwa jeshi la polisi yamezidi kuitia doa serikal ya chama hicho hasa baada ya kamati ya mh lembeli kuanika uovu katka operation ya tokomeza ujangili,
baadh ya wabunge wa ccm walidai kuwa lembeli amewaumbua na kuanika maovu ya ccm hvo kuatarisha zaid chama chao kuchukiwa na wananch,kwan operation hyo ilihusisha polis,wanajesh,mahakimu,wakuu wa wilaya,baadh ya wabunge wa ccm na vigogo wengi wa serikali.akichangia hoja bungen mbunge wa nccr mageuz Moses Machali alisema ccm wanasutana kwa kitendo kile..
Hali ni mbaya zaidi baada ya mshirika wa mwigulu kuenguliwa uwazir kwan hatua za kuibomoa chadema zimeanza kufifia...
Ccm sasa wamebakiwa na karata moja tu,ya kuhakikisha zito anarudishiwa uongoz au agombee nafas za juu na wenzake ili iwe rahisi kuiua chadema.
Chadema haitakufa,ccm ndo inakufa..
 
Mshangai

Mshangai

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2008
Messages
336
Likes
322
Points
80
Mshangai

Mshangai

JF-Expert Member
Joined Feb 16, 2008
336 322 80

Mateso kama haya yalikuwa yanafanywa na Makaburu kule South pekee sasa nchi inayojisifia amani na utulivu ndio inafanyia Raia zake hivi. Tena kumesemwa mambo mengine machafu kwelikweli na bado kuna watu na akili zao timamu wanaitetea Serikali ya CCM KILA KUKICHA.
Kuna vitendo kama ubakaji wa hadharani na kuwekewa chupa sehemu za siri wamefanyiwa wakina mama huko vijijini,niwaulize waunga mkono serikali kama mzazi wako katendewa hivyo jee waweza unga mkono ujinga na ukatili huo?
 

Forum statistics

Threads 1,238,903
Members 476,226
Posts 29,336,253