Wewe unaendelea kuwa mweupe kabisa kichwani mwako na hutaki kuliona tatizo kwa mtukufu wako!!mikataba ina vunjwa kwa kufwata sheria sio kwa kuropoka hii ndo dhambi kuu inayoendelea kuntafuna mtukufu na matamko ya jukwani bila kufwata utaratibu wa kuvunja mikataba!! Angefanikiwa kwenda kwa...
Haaa haa khaaa embu apeleke uko kama familia yangu ipo njee ya dar nisisafiri kisa nini sasa sinasafiri kwa mipunga yangu nloitolea jasho embu atuwachee uko kila weeekend fastjet ipo
Sent using Jamii Forums mobile app
I dont think it is right kwasababu hujawahi kuprove embu endelea kufanya utafiti mengine ni maneno ya watu tuu kila siku yapo..binafsi namfahamu kidogo huyu jamaaa na sinawasisi kama siyo riziki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Akili yako ni finyu mnooo nenda katafute profile ya Tausi ndo uje na huu upupu!jibu hoja kwa hoja hajaonvelea chadema embi soma kwa mara nyingine.
Sent using Jamii Forums mobile app
Me nimejoin and i am getting paid each week ikifa nshapata pesa yangu nlowekesha.. if you want to join make sure your awere that your taking risk anything might happen
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.