Mrembo aikosoa Serikali ya Awamu ya Tano

Mrembo aikosoa Serikali ya Awamu ya Tano

Inategemea na akili ya model husika, kama demand yake ni kubwa anatengeneza pesa ndefu sana na sina sababu ya kuja kukudanganya humu. Kuna mbongo mwana mitindo mbongo kwa mama na baba. December 2016 kwa show ya nusu saa tu ya Victoria Secrets alilipwa $500,000. Na huyu ana soko kubwa sana katika hiyo industry na pia magazeti mbali mbali duniani. Sasa tufanye huyu kwa mwaka anaingiza $3,000,000 tu najua huyu anaingiza zaidi ya hiyo. Unataka kuniambia hii kwa Tanzania si pesa ndefu? Anaweza kufanya mambo mangapi Tanzania huyu. Kwa taarifa yako huyo model kishawajengea Wazazi wake nyumba ya kufa mtu na yeye mwenyewe kanunua apartment New York huku akiendelea kukusanya hela ndefu nchi mbali mbali duniani. Hao models unaowasema wewe ni wale uchwara ambao demand yao si kubwa kihivyo.

Model kama huyu kama ana kili ya kushikiwa hawezi kufanya la maana.
How much money do Victoria's Secret models earn?

With a mega-expensive Fantasy Bra and an even more costly show, it's fair to assume the lingerie giant isn't doing too bad for itself.

However, as report by Page Six, it appears models such as Alessandra Ambrosio and Kendall Jenner aren't getting paid as much as they used to.

According to the paper, with reports from 2015, the Angels are paid $100,000 each for the show.

Now, while that seems a lot, it's nothing in comparison to the millions they used to be paid when the show originally started.

A source said: "The money isn’t what it used to be… Older contracts like Alessandra Ambrosio were in the millions, now they’re like $100,000."
But don't worry about them too much as it seems the models earn quite a lot on the side of their Victoria's Secret contract too.

Source: OK magazine.

The angel:
main-qimg-da935da225ae67ad79b5c97e9447adc9-c

Angel ni wale walioko kwenye permanent contract.
Sasa kama wale ambao wapo kwenye permanent contract wanalipwa $100,000, je wale ambao wamechukuliwa kusaidia show moja tu watakuwa wanalipwa kwenye kiasi gani?!

Siwezi jibu hoja za changudoa Mbowe kazaa na changudoa joyce mukya aliyempa ubunge viti maalumu na huyo tausi atakuwa viongozi wa chadema wameshamnanihii at a fee sina Muda wa kupoteza kuwajibu machangudua wa chadema
Akili yako ni finyu mnooo nenda katafute profile ya Tausi ndo uje na huu upupu!jibu hoja kwa hoja hajaonvelea chadema embi soma kwa mara nyingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usiubadilishe huu uzi na kuupeleka usikostahili. Alichozungumzia huyu ni hali iliyopo nchini kwetu hivi sasa kutokana na huyu dikteta uchwara na mimi ndicho kilichonifanya nianzishe huu uzi hapa jamvini.

Unataka kujadili mambo ya models fungua uzi wako wa kuhusu models huko utaandika chochote ukitakacho.

How much money do Victoria's Secret models earn?

With a mega-expensive Fantasy Bra and an even more costly show, it's fair to assume the lingerie giant isn't doing too bad for itself.

However, as report by Page Six, it appears models such as Alessandra Ambrosio and Kendall Jenner aren't getting paid as much as they used to.

According to the paper, with reports from 2015, the Angels are paid $100,000 each for the show.

Now, while that seems a lot, it's nothing in comparison to the millions they used to be paid when the show originally started.

A source said: "The money isn’t what it used to be… Older contracts like Alessandra Ambrosio were in the millions, now they’re like $100,000."
But don't worry about them too much as it seems the models earn quite a lot on the side of their Victoria's Secret contract too.

Source: OK magazine.

The angel:
main-qimg-da935da225ae67ad79b5c97e9447adc9-c

Angel ni wale walioko kwenye permanent contract.
Sasa kama wale ambao wapo kwenye permanent contract wanalipwa $100,000, je wale ambao wamechukuliwa kusaidia show moja tu watakuwa wanalipwa kwenye kiasi gani?!

Sijaona hoja. uhuru gani wa habari. Kuna mahali Watz wanatukana Kama Tz. Kuna mahali Watu wanahara kama Tz. Uhuru ni nini. Matusi. Kashfa kudharauliana. Watoto wanatukanwa. Wakubwa. UHuru Gani. Dada. Afu Tz mbona waandishi hamuulizi Watu maswali magumu. Lini mlioji viongozi wetu wa vyama na Serikali dondoo Zikiwa matamshi. Yao. Ahadi zao. Malengo nk. Mnareport Tu.
 
Nani anamjua Tausi Likololo Tz au na yeye ndio anatafuta kiki ?
kaskilize wimbo wa mwana falsafa unaitwa "mimi na ma binti damdam"

Words of wisdom!!!

Madem ni kama mahindi choma,
Una toa lines zako mbili upatie mwingine.
atakayebaki na gunzi shauri yake
 
Huyu ana pesa yake ndefu wewe, hahitaji kuhongwa na yoyote yule wala kukodishiwa gari. KAMWE usimfananishe na Warembo uchwara.
Ha ha ha! Kumbe 'uchwara' ipo mpaka kwenye urembo?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Usiubadilishe huu uzi na kuupeleka usikostahili. Alichozungumzia huyu ni hali iliyopo nchini kwetu hivi sasa kutokana na huyu dikteta uchwara na mimi ndicho kilichonifanya nianzishe huu hapa jamvini.

Unataka kujadili mambo ya models fungua uzi wako wa kuhusu models huko utaandika chochote ukitakacho.
Mkuu,
Wewe ndio uliyeleta haya modelling hapa.
Wewe ndio aliyeleta clips za Milard Ayo hapa za huyo model.
Wewe ndiye uliyeleta ya kipato chao hapa!

Mimi nilichofanya hapa ni kuweka ukweli kuhusu modelling mambo huko sio hunky dory!
 
Huo ni mfano tu, Tausi mpaka kutumia pesa yake na muda wake kufanya charity kuwasaidia Watanzania wenzake ujue ana pesa kubwa vinginevyo muda wake wote angekuwa busy kufukuzana na pesa.
Afadhali hata charity za Mange Kimambi tulikuwa tunaziona!!
 
Serikali haijazuia uhuru wa mtu kujieleza (freedom of expression). Ndiyo maana Tanzania ina utitiri wa vyombo vya habari kuliko nchi yo yote nyingine hapa duniani. Serikali inachotaka uhuru huo wa kujieleza usivuke mipaka ya sheria, kanuni na taratibu zinazotoa uhuru huo. Uhuru wa mtu unaishia pale pua ya mwenzake inaanzia.

Serikali inachotakataza ni lugha isiyo na staha isiyozingatia maadili na inayoweza kusababisha uvunjifu amani na inayokiuka utamaduni wa mtanzania, katika kuhoji au kukosoa serikali au mtu mwingine ye yote. Kwa mfano utakuta mtu anamkosoa spika wa bunge mwenye umri sawa na baba yake akisema, 'Wewe fala, kwa nini unazuia wanafunzi wa kike wenye mimba wasiende shule wakiwa na mimba zao? Kama si ufala ni nini? Haujui kuwa huko ni kukiuka haki za watoto?'

Au utakuta mtu anamkosoa mkuu wa nchi kwa kuanza kwa kumkejeli na kumwita uchwara na majina mengine ya ajabu ajabu. Mtu unakuta anaenda msikitini na kuwahamasisha waislamu waifanyie vurugu serikali iliyowekwa madarakani kwa njia za kidemokrasia.

Hivyo serikali ya awamu ya tano pia inawanyoosha hawa wote wanaotumia vibaya uhuru wao huo wa kujieleza. Lazima sheria, kanuni na taratibu za kujieleza zizingatiwe.

Hata huko ndani ya bunge ambako wabunge wanakuwa na uhuru mpana zaidi wa kujieleza (express themselves) bado hauko unlimited, unamipaka yake iliyowekwa na kanuni za bunge. Huku mitaani uhuru huo ni finyu zaidi ukiulinganisha na ule walionao wabunge wakiwa ndani ya bunge. Hata huko Marekani ambako wewe mrembo wetu uko, uhuru huo wa kujieleza una mipaka yake, tena ni finyu kuliko ya kwetu. Wewe jaribu kuitisha vijivyombo vya habari vyenye kiwango kama cha Ayo TV halafu umuambia Trump kwamba ni fala, lofa, uchwara, mshenzi na kuwataka waislamu wamshughulikie kwani anawabagua; lazima cha moto utakipata immediately.

Wanachotupita Wamerekanam ni kuwa wao wanaijua mipaka yao ya freedom of expression kwa mjibu wa sheria zao na wanaizingatia, hivyo ni mara chake kujikuta ndani ya mikono ya sheria. Tatizo la nchi letu bado tuna mimbulula wengi wasiojua mipaka ya uhuru wao wa kujieleza. Wanafikiri hauna mipaka na hivyo kujiropokea tu. Na wanasiasa wa upinzani ndiyo wanaongoza kwenye kundi hili na wanawafundisha wafuasi wao. Hawa ndiyo wanaonyooshwa kwani bila kufanya hivyo amani ya nchi yetu itapotea ndani ya muda mfupi. Lazima watanyooka.
 
Wewe ni nani mpaka uione charity anayoifanya Tausi? [emoji15][emoji15][emoji15]

Ya ngoswe mwachie ngoswe. Jadili habari husika otherwise mind your business.

Afadhali hata charity za Mange Kimambi tulikuwa tunaziona!!
 
Pascal amekuwa akifungua threads hapa za kuikosoa serikali kila kukicha na hakuna anaye msumbua!!
 
Wewe ni nani mpaka uione charity anayoifanya Tausi? [emoji15][emoji15][emoji15]

Ya ngoswe mwachie ngoswe. Jadili habari husika otherwise mind your business.
Wewe mbona topics unazozianzisha watu waki question unakuwa mkali!
 
Back
Top Bottom