Siku ya kwanza chuo au shule

Siku ya kwanza chuo au shule

Form one 2010 siku ya kwanza shuleni niliibiwa tranka na form 4 maana lilikuwa na rangi pendea ya blue ......ila baada ya siku mbili kulitafuta likaletwa na waliolichukua walikuwa form 4 kuanzia hapo hao form 4 walikuwa marafiki zangu mpaka wanaondoka waliniachia vitu vingi mnooo hadi sasa wengine nimekutana nao huku chuoni.

Siku ya kwanza form 5 2014 SAME boys high school asubui nilipo amka sikunawa maana shida ya maji hapi shuleni nikaenda hivyo hivyo ofisini na matongo tongo mwalimu wa zamu akaniita akanambia niendw kwake nikanawe ndipo nirudi oficini nkaenda nikanawa nikarudi.

Siku yakwanza chuoni nilikaribishwa na mdada yeye alikiuwa mwaka wa pili....urafiki ukaendelea ila mda nkaona bora huyu anitoe BIKIRA YANGU hakukataa akanipa papuchi sasa yupo mwaka wa 3 mm naingia wa 2 tupo kama friends lakini ku sex ni kawaida tuuuuu

Nao nafurahia penzi lake.
 
Mimi nakumbuka siku ya kwanza chuo kwanza nilihenya kutafuta venue ninayotakiwa kuingia nikaipata nikakaa kama robo saa kipindi kikaisha lecturer akatuaga nikaona watu wanatoka na mimi nikatoka nikaenda kulala hostel ikawa siku ndio imetoka.....sasa nikawa kila siku naingia humohumo kwenye hiyo venue sasa nikawa nashangaa maana najikuta leo mara nimesoma economics mara kesho sheria mara siku inayofatia sociology mara procurement nikaendelea hivohivo.....yaani hadi kuja kujua kuwa vipindi vinakuwa katika venue tofauti ni karibia mwezi ushaisha kumbe mimi nilikuwa naingia na kozi zingine tofauti hata sijui

U

Umetishaaaa dah!!!
 
Wakuu...
Nakumbuka siku ya kwanza naanza form one sikulala na nilivaa nguo za shule usiku huo huo??

Siku ya kwanza advance nakumbuka nilitoka bwenini na kwenda darasani nikiwa na begi na madaftari 11 calculator bs,chand,nelkon vyote kwa siku ya kwanza kabisa??

Chuo sasa nakumbuka nilichukua ratiba ya semester nzima hivyo nikaanza kuingia kila kipindi hata nje ya course yangu
Aisee.
 
Mimi nakumbuka siku ya kwanza chuo kwanza nilihenya kutafuta venue ninayotakiwa kuingia nikaipata nikakaa kama robo saa kipindi kikaisha lecturer akatuaga nikaona watu wanatoka na mimi nikatoka nikaenda kulala hostel ikawa siku ndio imetoka.....sasa nikawa kila siku naingia humohumo kwenye hiyo venue sasa nikawa nashangaa maana najikuta leo mara nimesoma economics mara kesho sheria mara siku inayofatia sociology mara procurement nikaendelea hivohivo.....yaani hadi kuja kujua kuwa vipindi vinakuwa katika venue tofauti ni karibia mwezi ushaisha kumbe mimi nilikuwa naingia na kozi zingine tofauti hata sijui
Ha ha ha ,noma sana.
 
ulikuwa huna rafiki au?
 
Back
Top Bottom