Ettore Bugatti
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 4,123
- 8,253
wapi hii, mwanjelwa au maeneo gani?Mbeya 16,000/=
wapi hii, mwanjelwa au maeneo gani?Mbeya 16,000/=
Sehemu gani?Sure! juzi tuu nimemtumia bmkubwa kachukua gunia mbili kwa 72000/=
Nilimaanisha gunia moja ni hadi 36000/= kwa gunia mbili ni around hiyo hapo 72,000/=..maeneo ya songwe, mbozi nkSehemu gani?
Afu mbona ueleweki mkuu Mara debe 16000/= mara gunia 72000/=
IPI ni sahihi?
Kwa kifupi mbeya hizo bei hazipo kwa sasa kama ulimtumia MTU basi kakupiga,kwa sasa hizo bei ni zipo kanda ya ziwa ambao hawakuvuna mahindi kabisa mkuu
OKNilimaanisha gunia moja ni hadi 36000/= kwa gunia mbili ni around hiyo hapo 72,000/=..maeneo ya songwe, mbozi nk
Naomba kujuzwa bei ya sasa ikoje mikoa mbalimbali. Natafuta soko, nina gunia zaidi ya 200 zipo Iringa.
30,000 - 35,000 Mkuu, hapa kwa Mkulima inakata. Natafuta soko la nje ya mkoa huu kwa bei angalau kuanzia 65,000/-Hapo Bei Gani Leo?
Hapa Tanzania hakuna hiyo bei labda upeleke nchi za nje.30,000 - 35,000 Mkuu, hapa kwa Mkulima inakata. Natafuta soko la nje ya mkoa huu kwa bei angalau kuanzia 65,000/-
Mbaya 5000 mkuuMbeya nasikia yapo chini sana.
Katavi 25000
Ni elfu 5000 kw 6000 Mkuu ukihitaji njoo TDM kiasi chochote unacho hitaji .au piga cm soko la kimataifa lipo MwakaWajumbe tupeane tena updates za bei za mahindi mana kuna watu wanasema bei zimeshashuka mfano Mbeya ndoo ya lita 20 ni 12,000
Mpaka 5000 mkuusongwe(mbeya)6500 hadi8000 mapya
Hapo kama Unafanya Biashara Kuna Arbitrage
Songwe njoo TDM nitafutie ntakupeleka au nenda soko la kimataifa MWAKAwapi?
Kuanzia chalinze hadi DSM kilo ya mahindi inacheza kwenye 400/= - 450/=. Binafsi nasubiria walau bei ya gunia igonge 50,000/=30,000 - 35,000 Mkuu, hapa kwa Mkulima inakata. Natafuta soko la nje ya mkoa huu kwa bei angalau kuanzia 65,000/-