UDOM inaniandikia application pending, natakiwa kulipia tena?

wapigie mbona mimi nilituma hiyo 30 wakakata10 tu nyingine chenchi ikarudi
 
Pamoja na kuwa nimelipa bado niki log in inaonyesha kuwa sijalipa. Nifanyeje . Msaada please kama kuna mtu mwenye tatizo kama hili. UDOM please, application fee

Application is pending for confirmation
If you have not paid please pay

Application Status
Pending for Confirmation: If you have not paid please pay.
Hilo nmewahi kukutana nalo.. nilisubiri kama wiki moja then hela ililudishwa kwenye number ya tigo niliyotumia kulipia nkalipa ikarespond.
 
Nimelipa CRDB mpaka leo inaonyesha sijalipa. Mwombeki nifanyeje? Nilikuwa naomba diploma. ingaa wanasema kuwa diploma kutoka form 4 hawapokei. ni kweli?
 
wapigie cm watakuuliza ID number ya malipo then wata confirm wao..
 
Pamoja na kuwa nimelipa bado niki log in inaonyesha kuwa sijalipa. Nifanyeje . Msaada please kama kuna mtu mwenye tatizo kama hili. UDOM please, application fee

Application is pending for confirmation
If you have not paid please pay

Application Status
Pending for Confirmation: If you have not paid please pay.
Mimi Leo nimewapigia wakasema wenye tatizo Kama hili tusilipe tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hiyo imenikuta na mimi tena nililipa 30,000 "BONGO BAHATI MBAYA"
Pamoja na kuwa nimelipa bado niki log in inaonyesha kuwa sijalipa. Nifanyeje . Msaada please kama kuna mtu mwenye tatizo kama hili. UDOM please, application fee

Application is pending for confirmation
If you have not paid please pay

Application Status
Pending for Confirmation: If you have not paid please pay.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom