- Thread starter
- #101
Kwahiyo niforce tu mkuu?Ukitaka kwenda chooni ww ingia tu...ukipiga hodi utaambiwa kuna mtuView attachment 602172
Kwahiyo niforce tu mkuu?Ukitaka kwenda chooni ww ingia tu...ukipiga hodi utaambiwa kuna mtuView attachment 602172
uwezekano ni mkubwa sana bossKwahiyo kuna uwezekano kuwa hawana watu kama wanavonambia?
Jaribu kumfanya haone wewe nibora kuliko yule aliyenaye..... binafsi cjawai pata mwanamke aliye single nisha date nawanawake watatu nawote nilipola japo sio kitu kizurKwahiyo niforce tu mkuu?
Amspoilije wakati mamlaka hana?Wewe mspoil mwanamke hadi aamue mwenyewe kama yuko single au laah!!
Akimspoil ndio atajua kama ana mamlaka au laa!Amspoilije wakati mamlaka hana?
Inatakiwa uwe na muonekano wa hela wakati wa kutongozaSasa ndugu utatoa pesa wakati wa kutongoza?
HA! HA! HA!Wenye IQ kubwa tunaelewa zaidi ya maandishi yako yanavyosema ngoja nidadavue ,umezungumzia Kwenda church hiyo ni market strategy kuwa we ni mcha Mungu,ukazungumzia unaofanya nao kazi hii ina manisha we una ajira ambayo ni urimbo kwa wanawake wa siku hizi haswa enzi hizi za jpm so nakutakia kilala heri kwenye tangazo lako.
Zilipendwaaa.....by dimond platnum[emoji2] [emoji2] [emoji115]Suluhisho kwa tatizo lako, ukikutana na girl piga sound hili mkuu, linafanya kazi 96%
Anza hivi:-
"Mambo murembo?? ..nmekupenda, nimekupenda sana....Sijui hata ni kwa nini yaani kila nikinywa maji nakuona yuleee kwenye glass (tabasamu) Ila unajua ni nini? (Kuwa siriazi kidgo) wala huwa sishituki....(kula pozi sekunde 5, kisha tabasamu) sababu nakupenda na napenda uwe karibu yangu.(cheka kidgo)
Baada ya hapo mshike mkono nenda nae kokote unapotaka, kazi kwisha ni mwendo wa Old school plus Swagga [emoji3][emoji3]
Gudi laki!!!..
Hiyo inaitwa "time roller coaster" ...pia tumia future projection....these are hotly super seduction techniques......just deal with unconscious mind. ...the answer ALWAYS WILL BE YESJenga urafiki na mwanamke, baada ya muda flani unakua unakumbushia lengo lako, usiwe na haraka.
Axanteee fundiiiiMi hata hapa mtaani nimetongoza wawili wamesema wana watu wao.
Hey boy ...u mean unamjua Ross feffries....darake rake...??na super seduction patterns....?? Nlijua kumi hatufki apa tzusimforce kama unataka awe wako kilazima ss, kuna technique za kumfanya mwanamke akupende hata kama ana mtu wake, japo sio vizuri kuendelea kumfatilia kama amekwambia anamtu wake.
kubali kuwa mjinga mwanzoni uku ukiendelea kumsoma msimamo wake....kuna point ukiweza kuifikia utatulia tu na yeye ndio ataanza kukusumbua,
NB: wakati mwingine ni kawaida yao kusema wako na mtu ili kukuPush-away...just read her mind well and u'll get her.