Habarini za jioni?
Naulizia ni kanisa gani zuri kwa maombezi Mwanza? nina mdogo wangu anasumbuliwa na mapepo nahitaji huduma ya maombezi. Natanguliza shukurani.
Hilo tatizo lipo sana ila nilikuja kugundua wenye tatizo ni vodacom maana ukifanya muamala kwenda mitandao mingine unafanyika ndani ya sekunde 30. Nimejaribu mara nyingi unakuta wanakuambia kuna tatizo kati ya m-pesa other ila muda ule ule ukijaribu tigo pesa au airtel money inakubali
Duh, utakuwa kikongwe then unasingizia hujui kutumia jf. Kwani birth date kwenye jf inaulizwa kirumi? Au miaka 23 unataka urelate kwamba huna experience ya mapenzi?
Kuna microsoft certified engineer MCSE, ukifaulu mitihani yake unakuwa expert katika windows server platform unaetambulika duniani.
Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
Duh, kuna vitu vingi vinagusa hisia zangu, kuwahi namba, kushindana kuwa wa kwanza class, mkipewa majibu ya mtihani mnajumlisha kabla ya matokeo na mnakuwa mnajua nani wa kwanza, kuchungulia mademu wakati wanakojoa au kuweka kioo chini ili uone demu kavaa chupi gani, kuna jamaa mmoja alikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.