Mmh! huyo si yuko kwenye orodha ya 'manabii wa uongo' aka manabii wapigaji?sorry BG Malisa
Habarini za jioni?
Naulizia ni kanisa gani zuri kwa maombezi Mwanza? nina mdogo wangu anasumbuliwa na mapepo nahitaji huduma ya maombezi. Natanguliza shukurani.
Asante sanaKwa kuwa umeomba ushauri tutakupa. Pale mlango mmoja mlimani lipo KanIsa la FPCT Mjini Kati ulizia hapo utapata huduma. Ama TAG Kirumba utapata huduma, ama FPCT Kitangiri utapata huduma, ama FPCT Nyakato, utapata huduma. Nenda St Paul Bible College, Makongoro utapata huduma, ama TAG Nyegezi utapata huduma. Ubarikiwe!
Ukiachilia mbali kanisa anza kwanza na utayari wa moyo wako baada ya hapo mtumishi wa mungu yeyote hata wewe mwenyewe unaweza kufanya maombi bila kujali kanisa na utapokea hitaji la moyo wako.Habarini za jioni?
Naulizia ni kanisa gani zuri kwa maombezi Mwanza? nina mdogo wangu anasumbuliwa na mapepo nahitaji huduma ya maombezi. Natanguliza shukurani.
Unata ulipwe? jibu kiujumla na wengine tuponenee hapo.Usipokuwa makini utakuwa mtu wa kutangatanga tu. Kuna makanisa ambayo yapo kibiashara na mengine yanatafuta wafuasi kwa nguvu tena kwa kutukana na kunenea uongo makanisa mengine, angalia usiangukie huko usije ukahangaika maisha yako yote. Shika sana ulichonacho asije mwovu akakunyang'anya.
Unasali kanisa gani kwa sasa? Nitafute PM nikuelekeze
Mteja Huyu. Aisee nichek pm ntakushughulikia mwenyewe. Kwan unahitaji maombezi ya sh ngapi?Habarini za jioni?
Naulizia ni kanisa gani zuri kwa maombezi Mwanza? nina mdogo wangu anasumbuliwa na mapepo nahitaji huduma ya maombezi. Natanguliza shukurani.