Dar Free Market (DFM): Mmoja aliyedaiwa kuwa Jambazi auawa na Polisi kwa risasi

Yalikuwepo chief sema hayakuwa reported kama yanavyofanywa sasa!

Yani online medias ndio habari zao hizi, groups za Facebook ndo habari ingine, JF ndio nyuzi 10 per day! Twitter ni kiharusi...
yalikwepo wapi mzee hebu sema, ama unaongelea vibaka!?
 
Tumchukie mwendazake kwa makosa yake ila kwa hili tuseme ukweli alifanikiwa 150%.
Saa hizi hadi udokozi wa kijinga umerudi huku kitaa.
Mtaani kwetu tushaokota maiti na watu washakakabwa mapema kama hakuna serikali.
Hivi Lissu alipigwa shaba kipindi gani?
 
Acha ushabiki majambazi alianza kuyathibiti kikwete mwendazake alichofanikiwa ni kuvifumba midomo vyombo vya habari
Haya ni maoni yako.
Sisi tymeona kwa macho matukio wakati wa Kikwete ambayo hatukuona wakati wa JPM.
Mtaani kwetu ilikuwa haipiti miezi 3 bila kuvamia majambazi na silaha.
Watu wamekufa zaidi ya 3 enzi hizo.
 
Hao Majambazi wa Simu walikuwa na Bunduki ?

Nadhani ifike wakati tuongeze bei za risasi na tozo kwenye hizi mambo, hata mwizi wa simu aone kutumia risasi zake sio value for money
 
Nasisitiza, Tanzania hakuna majambazi raia bali kuna majambazi polisi wanaoua raia bila hatia kisa deal zimebuma au wanataka kuficha siri za deal!
Polisi yeyote Tanzania ni ntu wa deal!!
 
eti 'kibaka akatoa bastola na kuanza kumimina risasi juu'!!…………………..hii ni ngumu kumesaa!
 
Back
Top Bottom