Recent content by nzovwe

  1. N

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko katika maeneo ya usaili kwa sekretarieti ya ajira tanzania.

    kweli kabisa nakuunga mkono, npo njiani natokea kagera-bukoba naenda dom kwa private car. kweli bukoba to dar ni mbali sana aisee, yaan unatumia 2 days ndio unafika dar, hebu idara ya utumishi wa umma walitizame hili kwa fikra mpya. wawe wanafanya kama jeshi la police, mtu afanye usaili kutokana...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Nitumie hela... Hii kali!

    Ha ha haa!, its more useful to me
  3. N

    JamiiForums Tanzania Waambie wanikumbuke

    Inamaana wewe husikilizi vyombo vya habari!?, Dar hakuna Mjomba wala Shangazi bali kuna Ma-Baby tu!. Mjomba na Shangazi kawatafute mikoa mingine
  4. N

    JamiiForums Tanzania Jua kazi inayokufaa kulingana na tarehe yako ya kuzaliwa

    31 mule mule!
  5. N

    JamiiForums Tanzania Ustaarabu wa Bongo

  6. N

    JamiiForums Tanzania Hii hatari: Watu 3034 nafasi 4, interview ya LAPF

    Baadhi ya Ma HR wa hapa Tanzania hawana akili timamu wanafikiri wanatenda haki kumbe wanaharibu rasilimali za taifa. HR department nyingi zina utindio wa ubongo alafu utawakuta wapo madirishani wanachungulia na vicheko vya kejeli
  7. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unaikumbuka sababu ya kuachana na mpenzi wako?

    Sitosahau ewe kiumbe, tuliachana kisa nmekuambia naimba kwaya mda wa usiku. Saa mbili mpaka saa nne, niliporomoshewa matusi ambayo sitaki hata kuyakumbuka maana!. Wanaume tuna kazi sana! all the best popote ulipo
  8. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bosi anataka kunifukuza kazi chanzo ni mkewe, mniombee

    Kweli Warangi ni wazuri, lakini sijui umeangalia kigezo gani?. Kumbe warangi ni wazuri! Nenda Dom km kigez chako ni weupe na uzuri basi utaoa wengi, pole sana ndg yangu!
  9. N

    JamiiForums Tanzania MWANAFUNZI: Fahamu shule uliyopangiwa 2015

    Wale waliochaguliwa Ulayasi-Ludewa kama hupajui na unahitaji kujua zaidi please ni PM nikudodose mijimamboz. Pia Mungu kamuona mdogo wangu maana nae kachaguliwa kwenda hapohapo CBG.
  10. N

    JamiiForums Tanzania Mpango wa wabunge kufisadi nchi kupitia posho na kiinua mgongo huu hapa

    Wabunge ndio wanaoangamiza nchi: Inakuaje kila M-bunge anatarajia kulipwa Mil "238" kama kiinua mgongo ndani ya miaka mitano aliyotumikia bunge. hawa wabunge takribani "365" wakilipwa hizo pesa kwa kila mmoja, hii inchi itatulia kweli?. Hii inchi yetu inahitaji Mungu atoke mbinguni moja kwa moja...
  11. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukiniacha nakuroga hadi kuku

    Hilo neno "BIKRA" wanawake wengi wanalitumia tofauti na ipasavyo. Kuwa makini ndugu yangu: mm nmewahi kuambiwa hivyo na watu km wawili lakini baada ya tukio nikaja gundua kuwa nmeuziwa mbuzi kwenye gunia. Wadada wa mjini ni wajanja sana, kama hawajazaa huwa wanadai kuwa wao ni BIKRA. Yaani...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Ajira Utumishi - Recruitment portal

    utaniambiaje mm ambae nimeandikiwa neno First interview kwenye nafasi ya Planning officer (IRDP) pamoja na Marketing Officer lakini sijaitwa kwenye written interview. Jina langu halipo na hawa watu wanaenda kufanya interview huko. Kumbuka nmekuambia nmeandikiwa first interview lakini wenzangu...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Namna ya kutambua mawasiliano kwa njia ya simu 1 kwenda nyingine

    Kwaniaba ya walio comment wote: Nawashukuru sana kwa kunifungua macho nami nitawasilisha kwa muhusika kama mitazamo na uzoefu wa watu mbalimbali ulivyo wakutia na maamuzi walivyoyachukua. Mwenye namba niliyoweka huko juu ndio mhusika mkuu, nilijaribu kumuweka wazi nikaona hanielewi so nikaamua...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Namna ya kutambua mawasiliano kwa njia ya simu 1 kwenda nyingine

    Nahitaji kujua mawasilano ya mke wangu yanayofanyika kwenye simu yake ya mkononi, yaani akitumiwa message kwenye simu yake iingie na kwenye simu yangu, pia akipigiwa simu na mtu mwngne simu iweze kuita na kwangu ila nisiweze kuipokea na atakapoipokea akianza mazungumzo na aliyempigia simu nami...
Back
Top Bottom