Ukiniacha nakuroga hadi kuku

Ukiniacha nakuroga hadi kuku

Unamshauri atende uovu...ama hakika akirogwa uchawi utakufuata na wewe.

Akili zenu nyote sawa...hivi mtu akisema KUNA WATU WANAVICHWA UKUBWA WA BESENI LAKINI AKILI NI TONE anakosea??

Hahaha! Inategemea! Kwa hiyo hukuona kuwa Preta alikuwa anamchuuza jamaa? Hukuona kuwa Nimehoji kauli yake?
 
Dah Enzi zile nimeenda Sumbawanga...kule Lyambalyamfipa nikafanya yangu ..mtoto wa kifipa mgumu hatare nikaona hapa kilainishi ni kutangaza ndoa si akaingia kwenye 18 nikafumua. Halafu huyo mbio....weee niulize kilichonitokea ...panya wakaondoka na dushe mchana kweupe acha nimkimbize kaingia kwenye kichuguu.

Nikasaka jembe acha nichimbue kichuguu masaa sita ndio namfikia ile nataka kumshika katoka tena mbio na dushe naziona kabisa. Nikaanza mbio tena..si ndo nakutana na muungwana akaniambi we acha ujinga …zinduka kuna mtu ulimdanganya ndo kakufanyia mambo bora ukamwombe msamaha... Akili kurudi ikabidiniende tena Ufipani nikamdondokea mtoto huku chozi zito na uso wa huruma.

Baada ya majadiliano na familia yake wakanidai mbuzi..nikawaambia hata ng'ombe ishirini ntatoa ilimradi dushe iludi….mbuzi akafuatwa.
Mara ukaletwa ungo umejaa.. mwanzo nilidhani sausage za kienyeji.. kumbe dushe za kutosha nikaambiwa nichague yangu. Aya maisha aya basi tu.
 
Tatizo ashajua mpaka ofisini kwako hachelewi kuja kukuharibia kazi huyo, mie kuna demu moja la kichaga lilinikomalia nkaliambia naenda kusoma china likasema nikifika nimfanyie mpango aje huko nkamwambia poa......nilibadili line tu hajanipata mpaka leo, kwetu hapajui, marafiki zangu hawajui, huu mwaka wa nne na nshaoa zangu

Utamkwepa mwanadamu sio Mungu, utavuna tu ulichopanda siku moja. Kama si wewe uzao wako
 
Usidanganywe na muonekano bro hawa viumbe wanajua kuigza hyo bikra atakuwa n artificial cku ya kugegeda angalia damu itakayotoka mana artificial znajurkana asije kukuingza mkenge

Kwani ametoa mahali au nini astahili kupewa orijino? Hana hata hadhi ya kupewa fake
 
Kama hauna mpango nae kwa maana na future its better ukwambia kabisa (wanaume wakweli hua tunasema mapema, so kama na ww ni mwanaume wakwel mwambie).
Alaf she deserve to know the truth kua uko kwenye relationship na status ipoje iwe kazi kwake kuamua... Hakikisha anakua aware na kila kitu kabla haujashiriki nae tendo
 
Asante kwa ushauri wako mzuri, nitaufanyia kazi.
 
Dah Enzi zile nimeenda Sumbawanga...kule Lyambalyamfipa nikafanya yangu ..mtoto wa kifipa mgumu hatare nikaona hapa kilainishi ni kutangaza ndoa si akaingia kwenye 18 nikafumua. Halafu huyo mbio....weee niulize kilichonitokea ...panya wakaondoka na dushe mchana kweupe acha nimkimbize kaingia kwenye kichuguu.

Nikasaka jembe acha nichimbue kichuguu masaa sita ndio namfikia ile nataka kumshika katoka tena mbio na dushe naziona kabisa. Nikaanza mbio tena..si ndo nakutana na muungwana akaniambi we acha ujinga …zinduka kuna mtu ulimdanganya ndo kakufanyia mambo bora ukamwombe msamaha... Akili kurudi ikabidiniende tena Ufipani nikamdondokea mtoto huku chozi zito na uso wa huruma.

Baada ya majadiliano na familia yake wakanidai mbuzi..nikawaambia hata ng’ombe ishirini ntatoa ilimradi dushe iludi….mbuzi akafuatwa.
Mara ukaletwa ungo umejaa.. mwanzo nilidhani sausage za kienyeji.. kumbe dushe za kutosha nikaambiwa nichague yangu. Aya maisha aya basi tu.

Aisee pole mkuu kwa masaibu, ulimuoa au mbuzi tu alisolve tatizo.
 
Hilo neno "BIKRA" wanawake wengi wanalitumia tofauti na ipasavyo. Kuwa makini ndugu yangu: mm nmewahi kuambiwa hivyo na watu km wawili lakini baada ya tukio nikaja gundua kuwa nmeuziwa mbuzi kwenye gunia. Wadada wa mjini ni wajanja sana, kama hawajazaa huwa wanadai kuwa wao ni BIKRA. Yaani wakizaa ndpo wanasema sio Bikra, anway inawezekana huyo wa kwako ni bra kweli. Kama mda wa kuoa umefika basi nakushauri uoe tu! maana ukianza kuchagua utazeeka bila kupata unaemtaka. Fumba macho weka kitu ndani, matatizo kila mtu anayo. Ndoa nyingi siku hizi zinayumba balaa ila yako haitayumba. Muoe huyo binti wala usiende kulala nae maana unaweza ukaghairi kabisa kuoa
 
Dah Enzi zile nimeenda Sumbawanga...kule Lyambalyamfipa nikafanya yangu ..mtoto wa kifipa mgumu hatare nikaona hapa kilainishi ni kutangaza ndoa si akaingia kwenye 18 nikafumua. Halafu huyo mbio....weee niulize kilichonitokea ...panya wakaondoka na dushe mchana kweupe acha nimkimbize kaingia kwenye kichuguu.

Nikasaka jembe acha nichimbue kichuguu masaa sita ndio namfikia ile nataka kumshika katoka tena mbio na dushe naziona kabisa. Nikaanza mbio tena..si ndo nakutana na muungwana akaniambi we acha ujinga …zinduka kuna mtu ulimdanganya ndo kakufanyia mambo bora ukamwombe msamaha... Akili kurudi ikabidiniende tena Ufipani nikamdondokea mtoto huku chozi zito na uso wa huruma.

Baada ya majadiliano na familia yake wakanidai mbuzi..nikawaambia hata ng’ombe ishirini ntatoa ilimradi dushe iludi….mbuzi akafuatwa.
Mara ukaletwa ungo umejaa.. mwanzo nilidhani sausage za kienyeji.. kumbe dushe za kutosha nikaambiwa nichague yangu. Aya maisha aya basi tu.

Mkuu iyo story sio yako acha kudanganya watu
 
Leave her alone km nia yako ni kumtumia tu na kumuacha. Usimsababishie maumivu, na usitake kujaribu km n kwel bado bkra au la!! maana itakucost kwel utapokuta n bikra kwl na alishakueleza maneno yale mapema.. Usipende kujarbu mambo kwa kuhic n uongo ulioambiwa.
 
Kuloga nako inabdi uwe vizuri....mkwara huo.

Ashaona mdhamini upo vizuri ana kutia beat tu.
 
Ungemuuliza ana bikra ipi? labda anayo bikra ya mdomo na siyo hiyo unayodhani wewe. Uzuri wote huo uliousifia unadhani wengine hawakumuona kabla yako? daruga muhimu usije ukaathirika.
 
Kama hauna mpango nae kwa maana na future its better ukwambia kabisa (wanaume wakweli hua tunasema mapema, so kama na ww ni mwanaume wakwel mwambie).
Alaf she deserve to know the truth kua uko kwenye relationship na status ipoje iwe kazi kwake kuamua... Hakikisha anakua aware na kila kitu kabla haujashiriki nae tendo

ushaur huu hapa ushindwe mwenyewe tu.
 
Kama hauko serious waachie watakaokuwa serious. Endelea na nung'aembe lako linalokusumbua. Pesa na cheo chako zisikufanye ufanye uovu Mkuu namna hiyo. Bikra ni agano hivyo usiingie ktk agano ambalo huwezi kulisimamia la sivyo wewe ni mfu na utakufa tu nakwambia wala hutapata amani siku zote za maisha yako ya ubatili duniani.
Aiseeeee!!umeongea point sana mkuu
 
Back
Top Bottom