your very wackiest person... fake for real... wewe ulienda kupiga picha hapo au unafiki.. wewe si umepiga interview wewe.. unaongea nini hapaa... wewe unamawazo mgandooo zaidi yaoooo na pia ni mnafikiiii sanaaa... unaenda piga pichaaa watuuu jipige wewe kwakuwa ulikuwepo alafu weka hayooo maelezooo yakooo..... FOR THE NIGGAS WHO TALKING SH*T AND HOLD BACK HIS D*CK HE BETTER LAY LOW.... Coward man hide behind the phone and talking shit.. snitching around like man but your fake man.. ulikukwenda kufanya interview au kusnitch...Shame on you Graduates..
Kabla ya kuanza kuilamua Nchi , ivi nyie Graduate kwann bado mna mawazo mgando saana ... huu utitiri wote unasababishwa na vichwa vyenu kujiiandaa kuajiriwa kuliko kujiajiri .
Hii hatari , nauona Uzembe wa Wahitimu ndipo baadae nitaailamu serikali
Huyo mwenye red sandals, kashika pen ni shangazi yangu kabisa na humu JF yumo, akiiona picha ake cjui atajifeel vp.
Tatizo ni hawa maHR wa kibongo.
Aisee kazi kweli kweli. Huyu mleta mada kama kafanikiwa kulikua kuna haja gani kuwapiga picha.
Shame on you Graduates..
Kabla ya kuanza kuilamua Nchi , ivi nyie Graduate kwann bado mna mawazo mgando saana ... huu utitiri wote unasababishwa na vichwa vyenu kujiiandaa kuajiriwa kuliko kujiajiri .
Hii hatari , nauona Uzembe wa Wahitimu ndipo baadae nitaailamu serikali
Mtoa mada anaweza kuwa sahihi au asiwe sahihi,tatizo si walioenda kwenye interview.Tatizo ni kampuni husika unajua wale uliosoma nao wale amabao hawakuwa serious wakishika makampuni haya ndiyo yanatokea.Huwezi ita watu watu 3034 kwa nafasi nne.Maana yake hiyo kazi haikuwa na vigezo?Je wote walikidhi vigezo?Ni uzembe tu watu hawataki kufanya majukumu yao.Labda kama wameita wote ili kuondoa kale kamsemo ambako job seeker wengi wanalalamika "nimeomba kweli hata kuitwa kwenye interview siitwi" kama wamefanya kwa sababu hii ok,otherwise wana matatizo.Ukijiajili utahitaji watu wa kukusaidia kazi inamaana utaajili sasa kama na wao wakigoma kuajiliwa utajiali vipi hii inaonyesha ni jinsi gani mtoa maada alivyokulupuka kutoa kashfa.