Namna ya kutambua mawasiliano kwa njia ya simu 1 kwenda nyingine

Usipende kumfuatilia mkeo kama bado unampenda, ila kama unatafuta visa vya kuachana naye sawa.
 
Mi mke wangu niliwah pia kumfanyia hvyo hvyo kwenye call record mwisho wa cku ikawa ugomvi mana nilijua kila hatua yake mjomba acha inauna sana ni bora kama anakuheshim hafany mbele yako shukuru mungu.

Mana inauma yani kitu unakijua unamuuliza alf anakudanganya na bonge la tabasam kama hauna uvumilivu unaweza hata ukamuwekea sumu afe mana haina haja ya kulala na kuamka na mnafki adui wa kimya kimya ama kwel kikukacho kinguon mwako inauma sana.Wanawake hawachungiki ka kunguru

aaghhh aaghhh he he he
1.kiongozi kama una wazo la kumchunguza mkeo kupitia simu yke,nakushauri futa hilo wazo,kwani unaweza ukafa na pressure mwenzako sasa ndio akabak huru kufanya yake
2.Utakosa amani na dunia itakuchungu sana kwako
3.kama una mashaka nae kwa nini unashindwa kuzngumza nae wakati ni mkeo?
4Huto jenga bali utaharibu ht kama azma yako itafanikiwa
5.kumbuka mwanamke hachungwi kama mbuzi


Mwaka juzi2013 nilikuwa namiliki mchepuko kwa kuwa ulikuwa umenishika sana sikutaka kuamini kwamba atakuwa na boya wa kushare shmo moja na mimi,hivyo nlihakikisha namtmizia mambo yake yote na kuhusu mgegedo nilihakkisha hadi anaomba maji.Kuna vitu alikuwa ananionyesha kama mwanaume nilijua hapa napendwa na nili enjoy sana fukwe zote mahotel znz na bagamoyo ilikuwa hatukosekani,Kweli alinipa ile roho inapenda.Siku moja nikiwa ofisi likanijia wazo la kipuuzi kama hilo,nikakaa na jamaa zangu ambao wao wanaufaham na kucheza na software nikawaomba wanisaidie kuudukuwa mchepuko wangu, walikatasana mwsho wakakubali......eeeehhhhhh

Kiongozi mtoto alivyokuwa namuona na mambo aliyokuwa anayafanya hafananii nayo kabsa.kwanza ametupanga kama watatu hivi,mmmh mwanamke yupo kazini.Ila wote wawili waliobaki mimi nadhan nilikuwa ndio Incharge naona coz ndio nilikuwa na ruhusa ya kwenda kwake muda wwte na kutoka nae saa yyte,hao wasaidiz wangu walipigwa marufuku kufika hom siju walikuwa wanakutania wap? Kibaya zaidi line ya sim aliyokuwa anatumia kwangu tu na usiku anaweka nyingine ya kuwasiliana na maboya wengine................aisee sitaki kukumbuka
Baada ya kuyajua yote anayofanya siku moja,tupo maaeneo nikamuuliza Flani unamjua? akajibu huku amekaza macho ah ah wala simjui,nikamuuliza mwngne vp kuhusu flani,akakakaza akajibu simfaham.....dear kwni uniamini,eti ananiuliza nami nikajikaza nakuamn sn mpenz wangu nikamjibu hivyo...Kilichofuata nikaenda kupima damu kubwa,Mungu alinisitiri niko poa nikarudisha majeshi home.
1.Nilichojifunza ni kwamba hakuna mkamilifu,2.Bata ukimchunguza sana huto kula nyama yakeee

3.Kama unahitaji kudum na mwenza wako kuwa huru kuzungumza nae swala lolote....ila kama unaana nyingine kazi kwako
 
Kwaniaba ya walio comment wote: Nawashukuru sana kwa kunifungua macho nami nitawasilisha kwa muhusika kama mitazamo na uzoefu wa watu mbalimbali ulivyo wakutia na maamuzi walivyoyachukua. Mwenye namba niliyoweka huko juu ndio mhusika mkuu, nilijaribu kumuweka wazi nikaona hanielewi so nikaamua kuweka post mbele yake ili ajionee mawazo zaidi kuhusu suala hilo. Thank you pia kwa wale walioelekeza "Automatic call record" na Nokia pc suite kwa kutumia open blutooth na ile njia ya kawaida ya kurecord mazungumzo. Pia km atakuwepo mwngne mwenye wazo tofauti please go ahead nami nitasoma majibu kwa faida yangu binafsi maana Bado sijafanya maamuzi ya kuingia kwenye ndoa. Thanks, asanteni sana intellectuals!!!
 
Nahitaji kujua mawasilano ya mke wangu yanayofanyika kwenye simu yake ya mkononi, yaani akitumiwa message kwenye simu yake iingie na kwenye simu yangu, pia akipigiwa simu na mtu mwngne simu iweze kuita na kwangu ila nisiweze kuipokea na atakapoipokea akianza mazungumzo na aliyempigia simu nami niwe naweza kusikiliza maongezi yao kupitia simu yangu.
Ombi langu ni kuelekezwa namna ya kuunganisha hizi laini mbili ya mke wangu na ya kwangu pasipo kumjulisha mke wangu kwamba naunganisha simu ziwe zinatoa taarifa, kama kuna mtu yeyote anaejua anielekeze au tuwasiliane kupitia namba yangu ya simu. Nitashukuru sana kwa kupatiwa ufumbuzi maana nimejaribu mda mrefu hili zoezi lakini nimeshindwa kufanikiwa. Msaada waweza ku comment au msaada mzuri waweza kunistua kupitia namba 0756831508. Asanteni!

Kwa ushauri wangu achana nayo kabisa hiyo plan yako , unaham hata kuweka no ya cm haraka hivi hujui kama mkeo nae yumo humu.ndan????
 
download sms tracker gplay ila hii ni ya sms na smstrack pro hii unaweza kupata feature nyingi ila unalipia downl ktk simu ya patn wako kisha fuata maelkzo then tembelea webst ya sms tracker na upate log za sms zake lkn spy si kitu kizur caz nilijarb nikaona haina issue.
 
Unajua lakini akigundua akakushtaki garama yake.mi nakushauri punguza wivu au na we we tafuta viburudisho.
 
da! hi ni hatari sana. nimemfanyia hvyo my sweet heart wangu kwa week moja sasa kwa kutega autorec, na kufanikiwa kuskiliza baadhi ya maongezi ucku akilala sijanasa baya lolote but roho iliniuma alipokua akiregeza sauti kwa mshikaji flan hv fundi (sio kwa ubaya) kwa bahati mbaya juz amestukia mchezo we "KIMENUKA" Ugomvi wa hatari hadi nikamuomba msamaha tuache hayo mambo so ushauri ni kueishimiana na kupendana baasi,
 
Back
Top Bottom