Ajira Utumishi - Recruitment portal

Ajira Utumishi - Recruitment portal

mambo zenu naomba kwa anaejua ule mfumo wa ajiraportal eti cheti cha kuzaliwa tuna attach sehemu gani
 
Kwanza napendeza kuipa hongera kwenda ajira.go.tz kwa jitihada utumishi wanazozifanya katika kusogeza huduma karibu kwa wateja. Je wewe ni mmoja kati ya watu ambao wameshawahi kufanya maombi ya kazi online kwa kutumia Recruitment portal ?Bila shaka jibu lako ni ndio.

Nataka nikufundishe kidogo utawezaje kujua kama utaitwa kwenye inteview kabla hata majina hayajatoka. Je una kiu hiyo ya kutaka kujua ?Ingia kwenye akaunti yako, click My applications.Zitakuja positions ambazo umesha-apply tayari.Angalia kuna mahala pameandikwa Application Status -Kama umebahatika,utakutana na neno First Interview

HONGERA SANA:

Nyongeza plus~updated 08 May 2015. Napenda kushare na nyie kitu kidogo ambacho kitasave pesa zetu kuhusiana na barua za maombi za kuattach kwenye job application.Je unapoteza pesa nyingi kwenye ku-scan ?Usiende kuscan barua yako hakuna hiyo haja. Type vizuri barua yako ya kazi kwenye Microsoft word then isave.

smallpdf.com/word-to-pdf ina uwezo wa kubadilisha document yako iliyo kwenye word to pdf.

Huna haja ya kuscan barua zako za kazi.

utaniambiaje mm ambae nimeandikiwa neno First interview kwenye nafasi ya Planning officer (IRDP) pamoja na Marketing Officer lakini sijaitwa kwenye written interview. Jina langu halipo na hawa watu wanaenda kufanya interview huko. Kumbuka nmekuambia nmeandikiwa first interview lakini wenzangu wameisha itwa mm sijaitwa, kwenye application status bado nmeandikiwa first interview mpaka sasa hawajaibadilisha?. Hiyo First interview wanayoisema mm sijaielewa wana maana gani? nadhani hata ww itakuwa hujaielewa labda unifafanulie tena nikuelewe
 
msaada wakuu ukitaka kutuma maombi zaid ya moja unafanyaje..?!!
msaada kwenye tuta
 
Kwa mfano ukituma economist pale kwenye barua unaandika hyo economist ukishatuma rudi tena kwenye barua futa ile ya mwanzo attach nyingine itakayohusu hiyo post nyingine then send
 
Wakuu msaada me nilifungua acc mda mrefu na nishawahi itwa kwenye interview cha ajabu leo nime log in kwenye acc yangu pale kwenye sehemu inapotakiwa ikae passport yangu nimekuta passport ya mtu mwingine kabisa wakati mimi sijawahi weka passport yangu toka nifungue acc ya utumishi...so imewekana vipi kuwekwa picha nyingine wakati acc yang na hakuna mwingine anaejua username wala password zang?
 
Ndugu Danny hata mimi limenikuta hilo..... Nimenijiuliza maswali nikakosa majibu.
Alaf chakushabgaza sasa kila nikitaka ku apload my photo ina load mda mrefu alaf ina logout yellowed..... Asa cjui system imeingiliwa na hackers au ni vp
 
Ni utata hapo ndugu inabidi kuwasiliana na wahusika....maana kama mtu ana uwezo wa kuaccess acc yako anaweza akafanya anachotaka
 
Ngoja tusubir majibu yao..... Nimetoka kuwatumia malalamiko yangu mda c mrefu.... Nimewaeleza wazi kila kitu.
 
Kwanza napendeza kuipa hongera kwenda ajira.go.tz kwa jitihada utumishi wanazozifanya katika kusogeza huduma karibu kwa wateja. Je wewe ni mmoja kati ya watu ambao wameshawahi kufanya maombi ya kazi online kwa kutumia Recruitment portal ?Bila shaka jibu lako ni ndio.

Nataka nikufundishe kidogo utawezaje kujua kama utaitwa kwenye inteview kabla hata majina hayajatoka. Je una kiu hiyo ya kutaka kujua ?Ingia kwenye akaunti yako, click My applications.Zitakuja positions ambazo umesha-apply tayari.Angalia kuna mahala pameandikwa Application Status -Kama umebahatika, utakutana na neno First Interview

HONGERA SANA:

Nyongeza plus~updated 08 May 2015. Napenda kushare na nyie kitu kidogo ambacho kitasave pesa zetu kuhusiana na barua za maombi za kuattach kwenye job application.Je unapoteza pesa nyingi kwenye ku-scan ?Usiende kuscan barua yako hakuna hiyo haja. Type vizuri barua yako ya kazi kwenye Microsoft word then isave.

smallpdf.com/word-to-pdf ina uwezo wa kubadilisha document yako iliyo kwenye word to pdf.

Huna haja ya kuscan barua zako za kazi.

Akhsante Kwa Kututoa UPOPOMA Kwani Hata Mimi Nili POPOMIKA Ila Sasa Baada Tu Ya Haya Maelezo Yako Nimekuwa Bonge La Mjanja.
 
Huu uzi ulitakiwa uwekwe pale juu sijui ndo wanaita STICKY.......
 
Kwa mfano ukituma economist pale kwenye barua unaandika hyo economist ukishatuma rudi tena kwenye barua futa ile ya mwanzo attach nyingine itakayohusu hiyo post nyingine then send

Thnxs mkuu ngoja nifanye hivo..
 
Hivi jamani pasport size tuna attach wapi kwenye zile categories
 
Mambo? Nielekeze jinsi ya kujiunga recruitment portal cjui hata pa kuanzia yan.
 
Muongozo mzuri, sasa kwa mfano vyeti na cv vyote umeviunganisha pamoja kwenye mfumo wa pdf utawezaje kutenganisha kila kimoja ukatuma peke yake mfano vyeti vya shule, chuo na hata cha kuzaliwa au watuma hivyo hivyo kila mahali wanapotaka uwattach
 
Wakuu msaada me nilifungua acc mda mrefu na nishawahi itwa kwenye interview cha ajabu leo nime log in kwenye acc yangu pale kwenye sehemu inapotakiwa ikae passport yangu nimekuta passport ya mtu mwingine kabisa wakati mimi sijawahi weka passport yangu toka nifungue acc ya utumishi...so imewekana vipi kuwekwa picha nyingine wakati acc yang na hakuna mwingine anaejua username wala password zang?

Ndugu Danny hata mimi limenikuta hilo..... Nimenijiuliza maswali nikakosa majibu.
Alaf chakushabgaza sasa kila nikitaka ku apload my photo ina load mda mrefu alaf ina logout yellowed..... Asa cjui system imeingiliwa na hackers au ni vp

Nimeikuta hii kitu ila nilipo upload picha yangu nyingine ikakubali
 
Back
Top Bottom