Wahindi na wabaguzi na ma opputunist, wako Tanzania zaidi ya generation tatu lakini bado kwa sehemu kubwa uhusiano wao na waafrika na Master na servant.
Wahindi wana sifa nzuri na mbaya zinazowafanya wafanikiwe, they are hard working, they have discipline, they are opputinists, racist and they are also corrupt, sehemu ambazo corruption ni ngumu hawazipendi.
A curriculum vitae is a typically a "living document" which will reflect the developments in a a professional's career, and thus should be updated frequently.
Hapa naona issue ya kujadili ni conflict of interest kati ya bishara yake na kampuni yao, otherwise kama ni utendaji kama waziri it wont be fair kusema hafai wakati ndio kwanza ameteuliwa. To me Infosys ni kampuni ya kibongo yenye mafanikio
Imagine of a woman past forty hajaolewa na ana kazi yake na heshima yake nzuri mtaani, her likely option ni MBA kwani kuhang na bachelor wa age yake most likely atakuwa hajatulia nae hataki kuonekana mhuni, mtu wa ku hang nae ni MBA ambae nae ana respect ya kupresenve
Wanawake wengine wanapenda freedom na wakiwa na MBA's hawawabani kwani wana family commitment zao, bachelor wako free kupita kiasi and some women dont like that
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.