Jamani tusiwaamini wakenya kamwe nikama mambwamwitu wanaotuvizia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani tusiwaamini wakenya kamwe nikama mambwamwitu wanaotuvizia

Discussion in 'International Forum' started by MAKOSHNELI, Jun 7, 2011.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. MAKOSHNELI

  MAKOSHNELI JF-Expert Member

  #1
  Jun 7, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 464
  Likes Received: 451
  Trophy Points: 80
  Wiki hii nilikuwa miongoni wma abiria ndani ya ndege ya kenya airways kutokea usa to nairobi moja ya jambo lililonikera ni vijarida wanavyogawa ktk ndege zao na ktk vituo vyao vya utalii huko usa vingine vimeandikwa eti mlima kilimanjaro upo kenya! Na hivi vya ndani ya ndege vinadai eti upo tanzania lakini unaonekana vizuri ukiwa upande wa kenya infact sikutaka kujua kama ni kweli kilichonikera nikwamba wanajitahidi kila kukicha kujikosha,kujiambatanisha na sifa za mlima kilimanjaro hata ktk vijarida vyao huwa hawataji kuwa huo mlima upo tz wao hutaja ni mlima mkubwa africa na unaonekana vizuri ukiwa mbuga ya kwao ya amboseli!
  Infact hii sio mara yakwanza kwa wakenya kudanganya kuhusu mlima kilimanjaro ipo hivi kwa sisi watu tulio jirani na system nikwamba miaka ya sitini na sabini chini ya uongozi wa jomo kenyatta kenya waliunda tume ya kuudai mlima kilimanjaro urudi kwao(kupanuliwa mpaka) kama ilivyo awali enzi za mkoloni wakasahau kuwa kilomita 15 za pwani yote ya east africa kutokea kingo za bahari kwanzia mtwara hadi somalia ni mali ya sultani wa zanzibari kitu ambacho kinameza mombasa yote na miji yao mikubwa ya pwani kuwa ardhi ya zanzibar! So babu mchonga meno akawaambia fine tutawarudishia mlima wenu kilimanjaro nanyie warudishieni zanzibar kilomita zao 15 za pwani yenu! After jibu hilo tume hiyo iliahidi kurejea tena dar kwa mazungumzo zaidi na haijarejea hadi leo! So wakaanza kuishawishi zanzibar ijitenge na tz imean muungano uvunjike then zanzibar leter on ijiunge na kenya ili ramani ya mkoloni ijirudie wkt znz ikiwa kwao wakawahonga na kuwashawishi wanasiasa wajinga flani na zanzibar wakaanzisha chokochoko za kujitenga mwaka wa 2000 baada ya uchaguzi lakini kwa ushupavu wa fisadi mkapa akapeleka vikosi vya makomandoo zanzibar usiku then wkt wa maandamano ya cuf wao waliwaagiza polisi wasizuie waandamanaji ili wao wakiwa miongoni mwao wawajue na kuwamaliza kikomandoo zaidi lakini polisi sijui hawakufuata au walisahau hayoo maagizo kitu ambacho ikapelekea polisi wengi kuuwawa na makomandoo wa jwtz kimakosa na rai kibao nao kuuwawa infact hadi boti ya vijana waliokuwa wanakimbilia mombasa ilizamishwa na helcopta ya polisi so kenya wakashindwa!
  Siku za hivi karibuni baada ya kuingia weak prezdaa huku tz wakenya wamesoma alama za nyakati na wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa kuwatia ujinga wazanzibar kutaka kuuvunja muungano na kuwa na taifa lao thats y wanadai kimkoa chao kila kukicha infact hakuna aliyewahi kuuona muungano ila watu wachache kama pinda ambaye alisema kimsingi zanzibar ni mkoa kitu ambacho huwezi kumbishia kwakuwa hatujui karume alisainishwa nini na nyerere pale ikulu infact pinda anajua!
  Infact wakenya wamefanikiwa sana kubomoa uchumi wa tz kwakuchapisha noti feki za shilingi ya tanzania! Wakati ukabila kwao unawatafuna wanataka na sisi tutafunane kwa udini wamejitahidi kuwatumia mashekh wachache wakiislam kuaanza kupandikiza mbegu ya udini kutaka kuonyesha eti waislam wanatengwa na kubaguliwa tz!
  Mimi ni muislam sijawahi kubaguliwa popote kwa dini yangu humu tanzania,kwao hakuna ardhi ya kulima wala kufuga ardhi yote kwao inamilikiwa kikabila
  infact wabongo kuweni makini na hawa wandugu wao kuuana na kubaguana kikabila maofisini ni kawaida wote tuliona baada ya uchaguzi wao miaka michache iliyopita

  mungu ibariki tanzania na bariki muungano uendelee kudumu daima milele
   
 2. Chuma Chakavu

  Chuma Chakavu JF-Expert Member

  #2
  Jun 7, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 1,524
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Kama ni ukweli basi inabidi tuwe macho na makini na serikali kuchukua hatua zinazazostahili
   
 3. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #3
  Jun 7, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  kwani hawa wapumbavu wetu wanaotakiwa kwenda kutangaza mlima wako wapi????ovyo sana,,yamekalia vikao vya kila siku,,au hawana idea kama hizo!!!!
   
 4. F

  Fenento JF-Expert Member

  #4
  Jun 7, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 320
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mkuu umesema ukweli mtupu. Hawa wakenya wananufaika sana na udhaifu wa serikali yetu ya Tanzania. Umenikumbusha yale yale ya tanzanite, viwanda vya samaki ziwa Victoria na sasa ujenzi wa uwanja wa ndege. Mungu ibariki tanzania
   
 5. n

  nywi Member

  #5
  Jun 7, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 19
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kweli wa Kenya ni wasanii lakini wananufaika na uzembe wetu, sis ndio inge bidi tuwe wakwanza kujitangaza
   
 6. N

  Nanu JF-Expert Member

  #6
  Jun 7, 2011
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 1,224
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  sisi sote east africa. hao watalii wakija watajua ukweli lakini corner stone ni kwamba wamefika east africa. wakifika hapa nasi tufanye juhudi kuwaeleza kuwa ipo kwetu!!!!
  kama sisi hatuwezi marketing wao wacha wafanye na sisi tutapata hiyo sehemu ndogo ya keki kuliko kutopata kabisa kwa sababu ya kulala kwetu au kutembea mwendo wa kobe wakati wenzetu wanakimbia mwendo wa duma!!!
   
 7. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #7
  Jun 7, 2011
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0

  [​IMG]

  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa amepanda katika pikpiki aliyokabidhiwa na balozi wa China nchini Tanzania Bwana Liu Xingshen kama seshemu ya msaada wa China kwa sekta mbalimbali za maendeleo nchini.Hafla hiyo ilifanyika ikulu jijini Dar es Salaam jana asubuhi.Misaada mingine iliyokabidhiwa katika hafkla hiyo ni pamoja na baiskeli, chupa za maji na mashine za kushonea nguo.

  Balozi wa China Nchini Tanzania Bwana Liu Xinsheng akimkabidhi Rais Jakaya Mrisho Kikwete mipira soka na vifaa vingine ikiwemo baiskeli,pikipiki, chupa za maji na mshine za kushonea nguo kama mchango wake kwa sekta mbalimbali za maendeleo nchini.Wakati wa hafla hiyo fupi iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam.Rais Kikwete alitangaza kuwa misaada hiyo itapelekwa kwa waathirika wa mafuriko Kilosa mkoani Morogoro​

  [​IMG]
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiangalia yebo yebo vilivyotolewa msaada na balozi wa China nchini Tanzania B .​

  [​IMG]
  Rais Jakaya Kikwete akiagalia msaada wa baiskeli zilizotolewa na nchi ya China ikiwa ni sehemu ya msaada
   
 8. Mkaa Mweupe

  Mkaa Mweupe JF-Expert Member

  #8
  Jun 7, 2011
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 654
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Inaonekana wewe sio Mtanzania.
   
 9. Madikizela

  Madikizela JF-Expert Member

  #9
  Jun 7, 2011
  Joined: Jul 4, 2009
  Messages: 319
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  Ni Manyang'au wakubwa uliza Staff wa Mwananchi communications wanavyobaguliwa
   
 10. N

  Nanu JF-Expert Member

  #10
  Jun 7, 2011
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 1,224
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Kaka mimi Mtanzania kabisa kwa kuzaliwa na ninaishi Tanzania. Hoja yangu ni kuwa kwa Wakenya kutangaza natural resources zetu kuwa zipo kwao, ultimately, wageni wakifika EA watajua kuwa basically ziko Tanzania. Na tukitumia mwanya huo kuwaeleza ukweli, watakuwa mabalozi wetu au marketers wetu wazuri huko kwao. Si hivyo hata kama fedha nyingi wataacha Kenya kwa sababu hoteli n.k. bado wakifika huku kwetu watalipa fee ya kuingia kwenye park. Hiyo fee tusingeipata kama huyo mtalii hakufika Kenya na kama Kenya haijamleta huyo mtalii EA. Hili swala ni mtambuka ijapokuwa tunaweza kufanya vizuri zaidi kwa kuhakikisha kuwa wageni wanafikia kwetu na ndipo waende kwenye mbuga za wanyama au Kilimanjaro. Hili ndilo zuri zaidi kwetu lakini sasa halitokei kama tupendavyo hivyo hata hiyo kidogo tunayopata bila kuwekeza vya kutosha bado ni chochote na hiyo yenyewe ni marketing ya vivutio vyetu.
  Ni wakati muafaka wa kuuza vivutio vya nchi yetu kusini na magharibi mwa Tanzania pia. Inabidi tuimarishe miundo mbinu, tuwe na hoteli nyingi karibu na katika hifadhi zetu, barabara zipitike, usafiri uwe mzuri kuwepo air strip za kutosha, kuwepo na baloons safaris za kutosha, tuimarishe huduma kwa wateja hasa kwa wafanyakazi wetu wa ngazi zote kuanzia migration, polisi, hoteli, nk. Uzuri ni kwamba Tanzania bado tuna untapped natural resources na inabidi tuanze kufanyia kazi kabla utalii wa kutembelea mbuga na milima haujaanza kushuka thamani!!!
  Nakubali kabisa kuwa Wakenya ni aggressive lakini kwa aggresiveness yao nasi twapata japo kidogo badala ya kutopata kabisa kwa ajili ya kutopata kwetu. Watumishi wetu wa maliasili mara nyingi wanajiangalia wao peke yao kuwa watanufaika vipi na hivyo kutoipa kipaumbele vitu venye effect kubwa ya mapato kwa jamii kubwa zaidi kama vile utalii.
  Lakini kwa sasa pole pole tunanyanyuka na kama mimi ningekuwa JK, ningetaka kila Balozi aniambie kuwa yeye ameuza nini kwa ajili ya Watazania huko anakotuakilisha kwa ajili ya kunyanyua maisha na uchumi wa Tanzania. Hii ripoti ingekuwa ya kila mwaka na yule ambaye anaonekana yeye mtalii kule alipo basi aachie ngazi. Kwa approach hii hata mchicha tutauza London!!!
   
 11. wilbald

  wilbald JF-Expert Member

  #11
  Jun 7, 2011
  Joined: Dec 17, 2007
  Messages: 1,239
  Likes Received: 626
  Trophy Points: 280
  Mimi nawashangaa sana watu wanaohusika na uthibi wa nyara za serekali ukiwemo mlima kilimanjaro kwamba ni kwa nini wasiwashitaki wakenya kwa kutuibia trade name ya mlima wetu na kuitumia kama yakwao.

  Eti hata mimi nashangaa sana jinsi tv za kenya hasa CITIZEN TV kuna wakati wanauonyesha mlima kama sehemu ya vivutio vya utalii vilivyo nchini kwao.
  wewe tazama tu citizen tv uone wanavyojua kuutangaza utalii wao tena bureee!
  nashangaa tv za hapa bongo kuliko watangaze vivutio vyeti watakuwekea music.
   
 12. s

  shosti JF-Expert Member

  #12
  Jun 7, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  umeanza vizuri ila huko mwisho mhhh
   
 13. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #13
  Jun 7, 2011
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  arifu ulisoma hii? https://www.jamiiforums.com/tanzania-2010-2015/78669-sikia-kioja-hiki-cha-tbc.html
   
 14. Kimilidzo

  Kimilidzo JF-Expert Member

  #14
  Jun 7, 2011
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 1,346
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 135
  Mtaishia kulalamika tu badala ya kuchukua hatua. kama wao wanatangaza kimataifa kuwa uko Kenya, na wewe Tangaza kimataifa kuwa uko Tz ikibidi onyesha na ramani. Vinginevyo wenzetu wataendelea kukamua. Biashara ya utalii ina hela nyingi na inabidi uwe aggressive na sio kulialia kuwa mlima uko Tanzania lakini hamuutangazi. Kwanza umaarufu wa mlima kilimanjaro unatokana na juhudi za wakenya kuutangaza kimataifa. Tz tunakula tu hela la utalii lakini haturudishi kuwekeza. Pumbavu sana wanaolalamika na hongera waKenya kwa kuendelea kutushikisha adabu hadi tuwe na akili.
   
 15. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #15
  Jun 7, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Tatizo siyo kenya ni sisi wenyewe,Kenya wameona weekness zetu.
  Miaka kama mitano iliyo pita kuna jamaa anaitwa pin.. alilipwa hela
  nyingi na serikali yetu atangaze maliasili ya tz,uk.
  Alicho fanya ni tangazo moja airport na moja kwenye london bus,
  Hapo tunategemea nini?
   
 16. popiexo

  popiexo JF-Expert Member

  #16
  Jun 7, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 743
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Duh! Kazi imeanza, Yeboyebo, chupa za maji kama seshemu ya msaada wa China kwa sekta mbalimbali za maendeleo nchini!!???!!!??
   
 17. S

  Sometimes JF-Expert Member

  #17
  Jun 7, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 4,567
  Likes Received: 360
  Trophy Points: 180
  Hivi sasa hata tiba ya babu kule loliondo wanaitangaza wao!
   
 18. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #18
  Jun 7, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Hapo ndo tofauti kati yetu na wakenya inapoanzia, na asilani hata tufanye nini hatutowakaribia... rais unaletewa yeboyebo ikulu, what a shame??:confused2:
   
 19. L

  Losemo Senior Member

  #19
  Jun 7, 2011
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 183
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bila shaka huyu ni mkenya, Hata kaiswahili yake utaona tu
   
 20. Smatta

  Smatta JF-Expert Member

  #20
  Jun 7, 2011
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 2,343
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Right now we should be thinking about a united East Africa, obsessing on this borders is what has led all our countries into poverty and over exploitation by the west and now the Asian and Arab worlds. Africa needs unity, not blokes who peddle lies and half truths to incite the mass into hating other people. Kenya as a country will definitely root for itself when advertising on tourism in a competitive industry, it will seek its own interest and not its neighbor whom they share almost the same tourist attractions. Its disheartening to see people rant for ages about something and their government doesn't take any initiative or move in to try and stop or tackle the problem that is being discussed, Tanzanians have complained for far too long on the Kenyan government insistence of Mt. Kilimanjaro being in Kenya, but there is nothing being done. Is there something they are not telling us?
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...