Na Watanzania tukagombee Ubunge India, tuone kama ni ndugu wa wakweli, au ni undugu wa rasilimali zetu tu? Wanakuwa Watanzania wanapotaka kula keki tamu ya uchumi wetu tu, katu mhindi si mtanzania?
Kaka hilo la ubunge umefika mbali sana. kama we si muhindi kupata oportunite ya kufanya chochote INDIA is absolutely impossible. Labda ukasafishe vyoo vyao.
Kaka mimi nimesoma INDIA,. Nawajua wahindi in and out. Hii mada imenikuna sana, kwasababu ni hali ambayo nimeishuhudia kwa macho wenyewe na sio kusimuliwa. Binafsi sifichi. Wahindi nawachukia sana kuliko watu wote dunia hii.
Nashangaa kwanini tunawaogopa na kuwapa hesima zote hapa kwetu. Wao ukienda India wanakuchukulia kama mkimbizi. I dont how to put this, but inshort ukikaa India, Huna haki sawa na mhindi. Ata ukipigwa, ukienda polisi kushitaki huwezi kusaidiwa kisa aliyekupiga ni muhundi, na yuko nchini kwao. Jamaa wana mambo mengi ya kibaguzi, naweza kusema kishenzi. ila kwa mtu ambaye hujakaa INDIA huwezi kuelewa.
wahindi wanakuja Africa kutuchora tu, na sisi tunawaachia mali zetu kuzitumbua. Kiasi kikubwa hao ndo wahusika wakuu wa rushwa hapa nchini. Angalia kampuni ya rites, kina rostam, kina mohamedi, abood. hawa wote ukiambiwa historia yao ya nyuma utacheka mpaka kwenye utumbo. walikuwa maskini wa kutupwa. wametajirika Tz kwa kupitia upumbavu na unyonge wa waTZ. leo hii tunawogopa kama wafalme.
Ila ukiwa kwao, na wakigundua wewe ni mwafrika umetajirika kupitia INDIA. WALAHIIII, wanaweza kukumaliza na kuku-ua kabisa