Recent content by Nyoka mwenye makengezaa

  1. Nyoka mwenye makengezaa

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Wakuuu.......Tushabeba mzigo.
  2. Nyoka mwenye makengezaa

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Wakuu tunaohamia Watford tujiandikishe mapema. Man u bila kocha kama Roy Hodgson hatusogei. List ya wanaohamia Watford; 1. Joka lenye makengeza [emoji216] 2.
  3. Nyoka mwenye makengezaa

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Wakuuu.....mchawi wetu ni bruno fernandez. Tumuuze £15m tuongezee hela ifike £75m tumchukue Jonjo Shelvey wa newcastle. Ikiwezekana twende na mabango ya matusi mechi ijayo kama Jonjo haletwi.
  4. Nyoka mwenye makengezaa

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    wakuu......+4567854097 namba ya Ole, msimwambie ni mimi nimewapa. Mhimizeni atafute kiungo kama flamini na amchukue mshambuliaji fundi fabio borini.
  5. Nyoka mwenye makengezaa

    Msaada interview za Jeshi la Magereza

    Hakikisha siku ya written interview unavaa mabuti
  6. Nyoka mwenye makengezaa

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Wakuu..... Kocha pekee anayeweza kutuvusha ni Tony Pulis.
  7. Nyoka mwenye makengezaa

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Wakuu, mwenye namba ya voda ya Tom Cleverly tuwasiliane..... uyu mwamba anatakiwa naye arudi nyumbani kumenoga. Pale kati atacheza na Matic.
  8. Nyoka mwenye makengezaa

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Wakuuuu...... Sosha asipopata kiungo mathew flamini au Dany Drinkwater wa kusaidiana na matic pale katikati tumekwisha. Suala la kumchukua Andy Carol kwa mkopo ni muhimu.
  9. Nyoka mwenye makengezaa

    Sabaya aliwahi nikata makofi wakati sikuwa mkosaji. Nimemsamehe

    Akiachiwa tu andaa mashavu hayo. Yapake mafuta ya mizeituni wakati ukisubiri olomide [emoji3]
  10. Nyoka mwenye makengezaa

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Wakuu tumuuze salah tupate mshambuliaji mwenye njaa kama Dwit Gayle. Tukimpata kombe tunapewa January mapema sana
Back
Top Bottom