Aliyesoma Elimu ya Masafa(ya Mtandao) kama Open University akikutana na waliosoma UDSM, SAUT na Mzumbe anatakiwa Kuchangia lolote?

Inawezekana vipi 'Wanamume' wameumia Darasani huko UDSM, SAUT na Mzumbe halafu Wewe uliyesoma OUT ( hapo Biafra ) na Kupata Degree ( Shahada ) yako tukikutana Vijiweni uwe na la Kuchangia?

Elimu ya Masafa 'inamheshimisha' Mtu kweli au ndiyo labda 'inamdharaulisha' mbele ya wale Waliohudhuria 'Lecture Sessions' zote kwa miaka Mitatu au Minne na Kupata Bachelors zao walizozihangaikia Darasani huku 'sometimes' wakipata 'Sapu' za Kutosha tu.
Waliozoea spoon feeding hutawasahau !!!!
 
Anaongea vizuri sana, tena anawatoa njeee!! Ukitaka kujua ubora wa elimu ya masafa ya OUT
1. Mitaala ya OUT inasimamiwa na TCU, kuhakikisha ubora unadhingatiwa! Mbona hakifutwi kama ni dhaifu?

2. Wakigraduate mfano LLB wanakwenda Law school na kukimbizana ipasavyo na hao wa conventional!

3. Wahasibu wanaomaliza mafunzo OUT wanapita bodi za uhasibu na kupata CPA na taaluma zinginezo.

4. Interview za serikali au binafsi mnachanganywa wote humo!! Mara nyingi walomaliza OUT hupata kushinda!! Hapo vipi??

5. Unajua kuna wanataaluma nguli wa hivyo vyuo ulivyotaja ambao ni zao la OUT?? Tena wanawafundisha nyie. Au niwataje??

6. OUT ni chuo bora kabisa kwa sasa ni namba moja barani Africa kwa vyuo vinavyotoa elimu masafa miongo mwa mlolongo wa vyuo kutoka mataifa bora kabisa kielimu. Hadi UNISA walikwenda OUT kujifunza??

7. OUT ndiyo taasisi namba moja kwa mwaka 2021 Tanzania kwa matumizi bora ya TEHAMA inayotolewa na tume ya TEHAMA nchini. Hapo UD tupa kule, SUA kanyaga, Mzumbe sogeza vile, tuzo alitoa Mh. Majaliwa huko Arusha.

8. Imepata Recognition certificate kutoka ATU, unawajua hao??

Kwa vigezo hivyo, nakuhakikishia kabisa kuwa wanaume wanaomaliza OUT wanapaswa kuheshimiwa. Akisimama mnapaswa mkae chini kwa heshima!! Wenzenu wanapiga nondo kwa malengo na si michezo yenu ya kufuata wanafunzi wakike vyumbani mwao muwakulena kuwapa alama (refer mhadhiri wa UDOM).
Umemjibu vyema mpumbavu huyo

Sent from my TECNO K9 using JamiiForums mobile app
 
Kwa Tanzania ni cha 103

Kwa Afrika Mashariki ni cha 3,971

Kwa Afrika nzima ni cha 79,200

Kwa dunia nzima ni cha 758,222
Uzuri wa Genta ni muumini wa data na facts Juma1967 mwambie Genta alete source ya info zake mezani tumalize ubishi kisomi!!

Screenshot_20211205-204220_WhatsApp.jpg
 
Inawezekana vipi 'Wanamume' wameumia Darasani huko UDSM, SAUT na Mzumbe halafu Wewe uliyesoma OUT ( hapo Biafra ) na Kupata Degree ( Shahada ) yako tukikutana Vijiweni uwe na la Kuchangia?

Elimu ya Masafa 'inamheshimisha' Mtu kweli au ndiyo labda 'inamdharaulisha' mbele ya wale Waliohudhuria 'Lecture Sessions' zote kwa miaka Mitatu au Minne na Kupata Bachelors zao walizozihangaikia Darasani huku 'sometimes' wakipata 'Sapu' za Kutosha tu.
Vijiweni mnakaa nyie wajinga,mtu mwenye elimu yake na anayejitambua hawezi Kaa kijiweni na kupoteza muda wake,kwa mada zenu za uongo na kuwasema watu
 
Aweke viashiria vya utani kama mada ni ya utani, kama tetesi, maoni binafsi ai tafiti aweke wazi.
JF kuna tabia ya kubeza baadhi ya makundi ya watu kitaaluma,kisiasa, kiuchumi, kikanda, kiutamaduni nk.
Utani unajukwaa lake la Jokes. Asijitetee awaombe radhi waliosoma OUT.
Mi binafsi sijapendezwa na awasilishaji wake japo nilihisi hakuwa siliasi maana hakuweka ushahidi.
Utani mwingine sio mzuri kwa sababu unabeza maisha ya watu.
Unajua mtu humu atatafsiri vipi huo utani, je akiushikilia hawezi athiri maisha ya watu.
Mtu mwingine anaweza asiwaamini kabisa wahitimu wa OUT. Hili ni andiko baya aombe radhi tena JF moderator wamuonye kabisa asirudie tena. Mitandao mikubwa yote duniani inapinga ubguzi wa aina yoyote na lugha za kejeli.
Acha kunipotezea muda wangu Zuzu Wewe.
 
Vijiweni mnakaa nyie wajinga,mtu mwenye elimu yake na anayejitambua hawezi Kaa kijiweni na kupoteza muda wake,kwa mada zenu za uongo na kuwasema watu
Pumbavu aliyekuambia kuwa Vijiweni ni kubaya na hakufai nani? Rais Mstaafu Kikwete kabla na hata sasa alikaa na hukaa Kijiwe chake Kikubwa cha Saigoni. Je, nae ni Muhuni au hana au hakuwa na Kazi au Mambo muhimu ya Kufanya?

Kuna Kazi tena Muhimu na Kubwa katika Jamii na huenda hata kuliko yako huwezi kuifanya na kufanikiwa nayo Kiutendaji kama hukai Vijiwe mbalimbali. Je, Vijiweni ni Kubaya?

Kuna Watu leo hii wana Ajira zao Kubwa huenda kuliko yako na wengine wanapata 'Connections' za Biashara kupitia kukaa Kwao huko Vijiweni unakokudharau. Je, Vijiweni ni kubaya?

Nimekudharau zaidi na hauna Akili pia.
 
Kuna mwanangu mmoja alipiga masters ya OUT fresh tu na gamba juu, ila cha ajabu baadaye yeye mwenyewe anakwambia haiamini hiyo masters yake na ilimbidi afanye tena admission ya MBA SAUT the guy is serious na hivi ndo anaingia final year. Nimeshangaa sana, huwa najiuliza inakuwa vipi hii!
Busy body.... Hana shughili ya kufanya.
 
Kumbe huyu genta ni kilaza wa kutosha! Yaani taasisi inaitwa university ina matawi nje ya nchi na mataifa Mbali2 wanakuja kusoma/wanaenda fundishwa huko kwao. Jamaa anakichukulia poa! Mburura genta.
 
Anaongea vizuri sana, tena anawatoa njeee!! Ukitaka kujua ubora wa elimu ya masafa ya OUT
1. Mitaala ya OUT inasimamiwa na TCU, kuhakikisha ubora unadhingatiwa! Mbona hakifutwi kama ni dhaifu?

2. Wakigraduate mfano LLB wanakwenda Law school na kukimbizana ipasavyo na hao wa conventional!

3. Wahasibu wanaomaliza mafunzo OUT wanapita bodi za uhasibu na kupata CPA na taaluma zinginezo.

4. Interview za serikali au binafsi mnachanganywa wote humo!! Mara nyingi walomaliza OUT hupata kushinda!! Hapo vipi??

5. Unajua kuna wanataaluma nguli wa hivyo vyuo ulivyotaja ambao ni zao la OUT?? Tena wanawafundisha nyie. Au niwataje??

6. OUT ni chuo bora kabisa kwa sasa ni namba moja barani Africa kwa vyuo vinavyotoa elimu masafa miongo mwa mlolongo wa vyuo kutoka mataifa bora kabisa kielimu. Hadi UNISA walikwenda OUT kujifunza??

7. OUT ndiyo taasisi namba moja kwa mwaka 2021 Tanzania kwa matumizi bora ya TEHAMA inayotolewa na tume ya TEHAMA nchini. Hapo UD tupa kule, SUA kanyaga, Mzumbe sogeza vile, tuzo alitoa Mh. Majaliwa huko Arusha.

8. Imepata Recognition certificate kutoka ATU, unawajua hao?? 🤣🤣🤣

Kwa vigezo hivyo, nakuhakikishia kabisa kuwa wanaume wanaomaliza OUT wanapaswa kuheshimiwa. Akisimama mnapaswa mkae chini kwa heshima!! Wenzenu wanapiga nondo kwa malengo na si michezo yenu ya kufuata wanafunzi wakike vyumbani mwao muwakulena kuwapa alama (refer mhadhiri wa UDOM).
Punguza sifa mkuu
 
Hao walosoma UDSM mbona basi wasitatue shida ya maji na umeme ndo tujue kweli vidume walijipinda?mbona wasitatue changamoto za infant and maternal mortality?kama haya wameshindwa then haupaswi kuwanadi kama watu fulani exceptional,
 
Inawezekana vipi 'Wanamume' wameumia Darasani huko UDSM, SAUT na Mzumbe halafu Wewe uliyesoma OUT ( hapo Biafra ) na Kupata Degree ( Shahada ) yako tukikutana Vijiweni uwe na la Kuchangia?

Elimu ya Masafa 'inamheshimisha' Mtu kweli au ndiyo labda 'inamdharaulisha' mbele ya wale Waliohudhuria 'Lecture Sessions' zote kwa miaka Mitatu au Minne na Kupata Bachelors zao walizozihangaikia Darasani huku 'sometimes' wakipata 'Sapu' za Kutosha tu.
Kusoma na maisha ni vitu viwili tofauti unaweza ukawa umesoma sana unavyojua wewe lakini mwisho wa siku unaishia mtaani !!!!!!

Kuna vijana wameishia form four wameajiriwa polisi,jeshini,tiss, uhamiaji n.k wana maisha mazuli wamejenga na wanajitegemea

Wewe mwenzetu unaringia degree yako alafu upo mtaani mwaka wa kumi huna ajira na bado unaishi kwa kaka
 
OUT iko chini ya usimamizi wa TCU pia UDSM sio SAUT, Mzumbe,SUA, au Ardhi au Muhimbili, there is always varitions/diversities hata swala5 hujiona zaidi, Mlokole pia, hata mashule wa special schools wapo, swali lako ni fikirishi sana
 
Kusoma na maisha ni vitu viwili tofauti unaweza ukawa umesoma sana unavyojua wewe lakini mwisho wa siku unaishia mtaani !!!!!!

Kuna vijana wameishia form four wameajiriwa polisi,jeshini,tiss, uhamiaji n.k wana maisha mazuli wamejenga na wanajitegemea

Wewe mwenzetu unaringia degree yako alafu upo mtaani mwaka wa kumi huna ajira na bado unaishi kwa kaka

Kingine hata darasani kwake ufaulu na akili havikufanana, ni hii ni toka aanze shule. God is God of variety in all aspects. Bahati ya Mungu kusoma vyuo vizuri nje ya Tanzania haiwezi nipa upekee wa kujitukuza, ni mipango ya Mungu kila mtu na fungu lake.
 
Anaongea vizuri sana, tena anawatoa njeee!! Ukitaka kujua ubora wa elimu ya masafa ya OUT
1. Mitaala ya OUT inasimamiwa na TCU, kuhakikisha ubora unadhingatiwa! Mbona hakifutwi kama ni dhaifu?

2. Wakigraduate mfano LLB wanakwenda Law school na kukimbizana ipasavyo na hao wa conventional!

3. Wahasibu wanaomaliza mafunzo OUT wanapita bodi za uhasibu na kupata CPA na taaluma zinginezo.

4. Interview za serikali au binafsi mnachanganywa wote humo!! Mara nyingi walomaliza OUT hupata kushinda!! Hapo vipi??

5. Unajua kuna wanataaluma nguli wa hivyo vyuo ulivyotaja ambao ni zao la OUT?? Tena wanawafundisha nyie. Au niwataje??

6. OUT ni chuo bora kabisa kwa sasa ni namba moja barani Africa kwa vyuo vinavyotoa elimu masafa miongo mwa mlolongo wa vyuo kutoka mataifa bora kabisa kielimu. Hadi UNISA walikwenda OUT kujifunza??

7. OUT ndiyo taasisi namba moja kwa mwaka 2021 Tanzania kwa matumizi bora ya TEHAMA inayotolewa na tume ya TEHAMA nchini. Hapo UD tupa kule, SUA kanyaga, Mzumbe sogeza vile, tuzo alitoa Mh. Majaliwa huko Arusha.

8. Imepata Recognition certificate kutoka ATU, unawajua hao?? 🤣🤣🤣

Kwa vigezo hivyo, nakuhakikishia kabisa kuwa wanaume wanaomaliza OUT wanapaswa kuheshimiwa. Akisimama mnapaswa mkae chini kwa heshima!! Wenzenu wanapiga nondo kwa malengo na si michezo yenu ya kufuata wanafunzi wakike vyumbani mwao muwakulena kuwapa alama (refer mhadhiri wa UDOM).
Pumbaaa
 
Back
Top Bottom