Turbo ya Suzuki Jimny haifanyi Kazi

Hello Team Magari naombeni kuuliza Suzuki Jimny yangu Turbo yake haifanyi Kazi .Niko Arusha
Mjini msaada please
,
Pole sanaaa kaka japo turbo mpka kufa completely kuna signs lazima uzione je uliweza kuona iko kitu ? Cz gari kuosha nguvu ndio n sign ya turbo kutokuwa proper ila je umejarbu kuangalia even pipes zake ka ziko fit switched if una uhakika imekufa naweza kuelekeza mtu wa kukusaidia me niko dar
 
Back
Top Bottom