Recent content by ntiluhungwa

  1. N

    Naomba kujua kama kuna mtu anajua vizuri hii njia ya 'fractination' wakati wa kumtongoza mtu?

    Naomba kujua kama kuna mtu anajua vizuri hii njia ya fractination wakati wa kumtongoza mtu, inasemekana ni njia bora zaidi ambayo ukiitumia kwa mtu yeyote unampata ndani ya dakika15. Pia wengine huita hii njia (MIND HACK), inasemekana ukiitumia kwa mwanamke hata kama awali alikuwa anakukataa...
  2. N

    Je ni chuo gani kina logo nzuri?

    Muhimbilim University.
  3. N

    Nitapata wapi huduma ya Massage Moshi?

    Jamani kwa wale wenyeji wa Moshi naomba msaada wa wapi naweza kupata huduma ya massage ya full body kwa bei ambayo ni reasonable yaani kati ya 30,000 -40,000. I am on my way to Moshi nitafika nimechoka sana. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. N

    Hiki ndicho cheti changu cha form four

    Huu kwangu mimi nauita utoto,it seems ur not matured anymore.
  5. N

    Kisumu vs Mwanza

    Linganisheni kisumu na Arusha
  6. N

    Naomba msaada wa tatizo hili katika gari yangu aina ya Gx110

    Gari yangu aina ya gx110 ukiwasha inajipiga lesi yenyewe na taa ya check engine inawaka. Naombeni msaada Namba yangu ni 0625998457
  7. N

    Msaada wa kuagiza gari

    Napenda kuuliza kuwa Gari ambayo kwa japani inauzwa $3467 na CIF mpaka dar ni $5281,je itagharimu kiasi gani mpaka kuingia barabarani ?,na tax yake pale bandarini itakuwa kiasi gani?
  8. N

    Dalili kumi kuwa unaweza kufa kesho

    Ulichokiandika na mimi nilichokiandika vipo sawa,soma vizuri nilichokiandika.
  9. N

    Dalili kumi kuwa unaweza kufa kesho

    USHAURI: Usiwazie kifo subiri kikifika uondoke.Kuna madhara ya kuwazia kifo ila nitazungumzia moja tu nalo ni Ugonjwa wa moyo unasababishwa na kitu kinachoitwa anxiety(feeling disorder)...hasa pale mtu anapo develope PANIC DISORDER.Hii kitu inaweza kumsababishia mtu kifo mapema.
  10. N

    Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

    Nahitaji camshaft ya gx110 1G vvti
  11. N

    Tulioingia kwenye kilimo tukaangukia pua tukutane hapa

    Mimi nilishapigwa na kilimo kwasasa sina ham nacho kabisa,ninachokifanya nachukua mazao kwa mkulima then nayaweka store bei ikipanda nauza.
  12. N

    Dunia kuwa na Serikali moja?

    Hii kitu ya serikali moja haiji kwa vita inakuja kwa diplomasia ya ajabu sana(peace&love)
  13. N

    Nataka kupeleka barua kwa Askofu Ruwa’ichi aifikishe kwa Papa ili tulegezewe masharti ya ndoa

    Tofautisha mwanafunzi wa Yesu kiroho na mwanafunzi wa Yesu physically,wewe ni mwanafunzi wa Yesu kiroho. Sauli ambaye ndio Paulo wakati anaitwa kwenye utumishi alikuwa anaelekea DAMASIKASI kuwakamata hao wanafunzi wa Yesu na kisha awalejeshe Yerusalam,kwahiyo wakati Paulo anageuzwa kuwa mtumishi...
Back
Top Bottom