Naomba kujua kama kuna mtu anajua vizuri hii njia ya 'fractination' wakati wa kumtongoza mtu?

ntiluhungwa

Member
Apr 10, 2015
79
59
Naomba kujua kama kuna mtu anajua vizuri hii njia ya fractination wakati wa kumtongoza mtu, inasemekana ni njia bora zaidi ambayo ukiitumia kwa mtu yeyote unampata ndani ya dakika15. Pia wengine huita hii njia (MIND HACK), inasemekana ukiitumia kwa mwanamke hata kama awali alikuwa anakukataa basi siku hiyohiyo utampata.

Fractination inatumia mbinu za kisaikolojia na humfanya yule mtu anaetongozwa kumpata maumivu/uchungu ya/wa huruma juu ya mtu yule anaemweleza. Fractination hutumia Postive (+), Negative (-) theory, kwa kutumia hii mbinu unaweza kumpata mwanamke yeyote unaemtaka cha msingi yeye akubali tu kukusikiliza, njia pekee ambayo mwanamke anaweza kukwepa Fractination ni yeye kutokubali kukusikiliza.

N.B Fractination haitumiki kwa wanawake tu inatumika hata kufanyia utapeli, kuomba msaada kwa mtu asiekujua na pia hutumiwa na mwanamke akihitaji kumpata mwanaume. Mimi nilisoma tu theory ila sikuilewa vizuri sana japo nina idea nayo na niliitumia kwa dada mmoja niliekuwa nafanya nae kazi, ilifanya kazi vizuri sana. Nahitaji aneijua vizuri anisaidie ili niweze kuimudu vizuri hii njia.
 
tuma hio article ulioisoma mkuu
 
Hii mbinu mtu akii-master vizuri inafanya sana kazi. Kwa ambao wako interested nayo ingia tu google kisha search 'fractionation seduction', zitakuja articles kibao zinazoelezea hiyo kitu
 
Ndo nipo nakemea hapa nisijifunze lakini kwa ndani nasikia hiyo mbinu inaniambia "we nungunungu acha ujinga"
Sijui nitatoka kweli..
jifunze upunguze machungu!
Hilo jina la nungunungu linanichekesha sana..
 
Naenda kuzindikwa kwa bro Mshana tuone huo ulozi utaishia wapi...

Japo sijui kosa lkn naomba unisamehe..
Unaenda kuzindikwa nilipokurogea nenda ili kazi iwe nyepesi zaidi.

Kosa unalijua yani umeniuzi acha tu..
 
Back
Top Bottom