Recent content by ntikanushwq

 1. ntikanushwq

  Namna ya kuanzisha game station

  Habari zenu wana jamvi. Ninakuja mbele yenu kuomba ufafanuzi kwa wajuzi juu ya namna ya kuanzisha game station. Je, ninatakiwa niwe na mtaji kiasi gani? Ni sehemu gani ninaweza pata mashine kwa gharama nafuu? Sent using Jamii Forums mobile app
 2. ntikanushwq

  Napinga kibali cha Papa kwa Mapadre

  Mpaka anachagulia kuwa kiongozi mkuu wa Roman Catholic ni hakika isiyo hata na chembe ya shaka kuwa anaelimu ya kutosha. Hivyo atakuwa amejiridhisha kuwa hakuna andiko linalo zuia kuoa au kuolewa. Hivyo basi usipinge kwa mapenzi yako tu na udogo wa elimu yako.
 3. ntikanushwq

  Boyfriend wangu ni mchafu sana

  Hahahahahaaaaaaaaaa umenipa raha kweli kweli
 4. ntikanushwq

  Learn to be nice to people.

  Noted
 5. ntikanushwq

  Nilivyofurahia Bilicanas kuvunjwa

  Si vyema kumuombea mwanadamu mwenzio mabaya
 6. ntikanushwq

  Nazini sana ili nipate UKIMWI ili nianze dozi ili niache POMBE

  Daaah safi sana Sent using Jamii Forums mobile app
 7. ntikanushwq

  Hivi aliyeruhusu wanafunzi wa sekondari kuvaa hijabu alijua madhara yake?

  Daaaah kwa mawazo finyu kama haya nawe unajiita muona mbali. Hakuna muona mbali ambaye anaweze kuandika jambo ambalo hajalifanyia utafiti/tafiti na kupata maarifa ya kina. Acha mawazo mgando mwanamke sharti ajisitili. Na kama haufahamu ungeomba ujuzwe na wataalamu sio kukimbilia kuandika tena...
 8. ntikanushwq

  Snoop Dogg na Mike Tyson waingia ubia kuwekeza kwenye kilimo cha bangi

  Mi simoooooooo[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 9. ntikanushwq

  Si kanifanyia fujo! Sasa naenda kumpa mumewe mambo

  Matagizo isiwe kisingizio cha kuharibu ndoa za wanzio. Hembu mwokope mungu wako. Piga goti tubu dhambi zako na muombe mungu akurejeshee mapenz, upenda na huruma kwa mmeo. Achana na maamuzi yasiyo na tija. Eg. Ukishampa then what next???????
 10. ntikanushwq

  Only for experts

  What are differences between critical thinking and creative thinking?
 11. ntikanushwq

  Aliyekuwa mke wangu sasa ni mchepuko wangu

  [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] daah kweli
Top Bottom