Namna ya kuanzisha game station

ntikanushwq

Member
Nov 8, 2017
38
10
Habari zenu wana jamvi.

Ninakuja mbele yenu kuomba ufafanuzi kwa wajuzi juu ya namna ya kuanzisha game station.

Je, ninatakiwa niwe na mtaji kiasi gani?

Ni sehemu gani ninaweza pata mashine kwa gharama nafuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
...Game Station ama Play Station? Nafikiri kwanza upate mahali pazuri pa kuweka frame yako ya Playstation.
Nadhani ukiwa na Desk Computer Nne zenye Flat Screen ni idadi nzuri ya kuanzia wakati ukijifunza na kuangalia traffic ya Wateja wako...
Kwa kuanzia...
 
Back
Top Bottom