Si kanifanyia fujo! Sasa naenda kumpa mumewe mambo

Magari ya kwao,na wewe unaaona lift ni haki yako inaonyesha unapenda mtelezo,nyumba za kwao na mme wa wakwake lakini unaona unahaki nae unapepo,uombewe. Kibri chako na tabia yako inayumbisha ndoa yako.
 
Ila wanawake tunaakili ndogo jmn sijui ni nani alituloga....yaan mtu anafkiria kbs kutoa papa kwa mume wa mtu ni kumkomesha mkewe na si km anatumika.....

Mtoa post kavurugwa, wallah hayupo sawa atakua amepata kichaa cha ndoa kutokana na mgogoro alionao

Yaani tena akili zetu zinazidi kuwa ndogo pale tunapokuwa na matatizo na tukashindwa kuyatatua hivyo tukaona solution ni kuongezea wenzetu matatizo ili tupate kufanana nao.

Tena kavurugwa sana aisee. Hahaaa. Nimecheka hapo eti ana kichaa cha ndoa lol. Ila kitakuwa ndio chenyewe hicho sio bure.
 
Naomba niulize jamani... "Kati ya kinu na mchi.. kipi kinaisha haraka kikiwa kinatumika mara kwa mara, bila mpangilio.."
 
Bora ukampe..maana akisha kugegeda mara mbili atakuta haina tofauti na mkewe.. bila shaka atarudi kwa mkewe na ugomvi utaisha...
 
Pole sana Kivuruge. Ila nikwambie tu unaweza ona unamkomoa huyo mama kumbe unajikomoa. Kwa hayo uliyoyaandika kuhusu hiyo familia wewe ndio unaonekana hujielewi na ndio sababu unataka vuruga ndoa za watu. lol

Ila nikwambie tu muda unaoutumia kuvuruga ndoa za watu ungeutumia kutafakari namna ya kumaliza mgogoro na mumeo.
Well said
 
Matagizo isiwe kisingizio cha kuharibu ndoa za wanzio. Hembu mwokope mungu wako. Piga goti tubu dhambi zako na muombe mungu akurejeshee mapenz, upenda na huruma kwa mmeo. Achana na maamuzi yasiyo na tija. Eg. Ukishampa then what next???????
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom