Napinga kibali cha Papa kwa Mapadre

Habari za kushinda.
Hapa majuzi nimesika Habari iliyonifanya kushtuka sana kimawazo juu ya huko tunakoelekea. Habari yenyewe ilikuwa ni juu ya papa wa roma kutoa kibali kwa mapadre wa jamii moja huko amerika kusini kuoa na kuzaa watoto. Ni habari inashtusha sana endapo itaendelea kutokea katika maeneo mbalimbali.

Kwa sababu gani nasema inashtusha, ni kwa sababu maparde wa roma catholic ni kama beacon ya ubinadamu, ni alama ya kututofautisha sisi na viumbe wengine.

Moja ya sifa moja ya binadamu ni kwamba yupo conscious of his living ( kujitambua) na kwa mawazo yake mwenyewe anaweza kuchagua mambo ya kufanya bila kuhangaishwa na mambo ya kimwili.

Wanyama hawawezi kamwe kujizuia kwa matendo yao ya kimwili, eehe jogoo akiona tetea lazima afukuzie sio kwamba anapenda bali ndo hivyo hawezi jizuia, Na symbol kubwa ya kuonyesha kwamba binadamu anauwezo mkumbwa sana ni kuweza kustaili maisha pasipo kupata raha za kujamiina.

Kwa mimi naona kujamiiana ni moja ya alama kuu za unyama, embu angalia pilika za viumbe wengine wanazofanya ili tu wajamiane, kama chura yaani eti ambaye atakoroma sauti nzito ndo atapa gemu, embu cheki ndege mpaka acheze stepu za ajabu ndo apate, cheki mbuzi anavyonyaua pua yake ili tu ajue jike lipi anaweza lipanda. Na sasa embu angalia binadamu anavyo hangaika na kiuno chake sasa ili amwage ni unyama jamani ukiangalia kwa undani.

Turudi kwa mapadre na masister hawa wanaishi kwa idea ya usafi kutunza tunu hii ni idea ambayo ipo nje ya unyama ambao binadamu anao Lakini kwa kuishi tuu kuifuata ni ushindi mkubwa sana katika ulimwengu huu wa vionekanavyo na vitamanishavyo, watu wanapaswa wajue maisha huwa hayajali kama baba na mama wanaishi kwa kuraha au karaha inachojali ni kwamba yamefanikisha hivyi viumbe viwili kukutana na kufyatua kingine ili kuendeleza uwepo wa maisha.
Sasa katika haya maisha sio kwamba siku zote wanadamu tunaelekea kwenye maendeleo, kwamba huko mbeleni binadamu watakuwa watu wa technologia sana la hasha bali pia kuna uwezekano wa kurudi nyuma kwa baadhi ya mambo, binadamu wana weza huko mbeleni wasijali tena utu alionao binadamu na kuamua kutokuendelea tena na utafiti wa kisayansi kubaki katika maisha ya kusurvive tuu.

Ndo maana nilishtuka kwamba wameanza kuruhusu makasisi kuoa huwenda ndo ukawa mwanzo wa kupiga chini idea zote kubwa ambazo binadamu peke yake tu anaweza zifikiria.
Mpaka anachagulia kuwa kiongozi mkuu wa Roman Catholic ni hakika isiyo hata na chembe ya shaka kuwa anaelimu ya kutosha. Hivyo atakuwa amejiridhisha kuwa hakuna andiko linalo zuia kuoa au kuolewa. Hivyo basi usipinge kwa mapenzi yako tu na udogo wa elimu yako.
 
Muumba mwenyewe alipomaliza kuumba akavibariki alivyoviumba na kuviona vyema na Akasema, Enendeni Mkaijaze Dunia. Mtaijaza kwa kutiana vidole!?

Acheni kujifanya wajuaji
 
Mtume Paulo aliishi kiseja, siyo hawa wa kulazimishwa na sheria za kanisa..kama huna quality za kujizuia na mambo ya kimwili unakuwa huna tofauti na wanyama, akihisi harufu ya jike tu lazima afuate
Paulo alisema hayo ni maoni yake sio sheria

Btw nyege ni kama usingizi kuzuia haiwezekani labda usiwe mzima
 
Mbona mapadri karibu wote wana mademu na watoto kipi unatetea hasa, waruhusiwe kugonga au waachwe kinafiki wajigongee vichochoroni kimya kimya
 
Kweli
Namuunga mkono Papa katika hili. Nimewahi kuishi jengo moja na Mapadre, na pia nimeishi jirani na Watawa (wa kike na kiume). Ukweli ni baadhi yao tu ndiyo hujitahidi kuishi maisha ya useja.

Walio wengi, uvumilivu umewashinda. Labda kama kuna uwezekano, Papa angetoa option! Anayetaka kuoa/kuolewa aoe/aolewe! ili haki itendeke kwa wote.
Bora waruhusiwe tu
 
Hakuna aliyeruhusu
Acha ujuaji
Habari za kushinda.
Hapa majuzi nimesika Habari iliyonifanya kushtuka sana kimawazo juu ya huko tunakoelekea. Habari yenyewe ilikuwa ni juu ya papa wa roma kutoa kibali kwa mapadre wa jamii moja huko amerika kusini kuoa na kuzaa watoto. Ni habari inashtusha sana endapo itaendelea kutokea katika maeneo mbalimbali.

Kwa sababu gani nasema inashtusha, ni kwa sababu maparde wa roma catholic ni kama beacon ya ubinadamu, ni alama ya kututofautisha sisi na viumbe wengine.

Moja ya sifa moja ya binadamu ni kwamba yupo conscious of his living ( kujitambua) na kwa mawazo yake mwenyewe anaweza kuchagua mambo ya kufanya bila kuhangaishwa na mambo ya kimwili.

Wanyama hawawezi kamwe kujizuia kwa matendo yao ya kimwili, eehe jogoo akiona tetea lazima afukuzie sio kwamba anapenda bali ndo hivyo hawezi jizuia, Na symbol kubwa ya kuonyesha kwamba binadamu anauwezo mkumbwa sana ni kuweza kustaili maisha pasipo kupata raha za kujamiina.

Kwa mimi naona kujamiiana ni moja ya alama kuu za unyama, embu angalia pilika za viumbe wengine wanazofanya ili tu wajamiane, kama chura yaani eti ambaye atakoroma sauti nzito ndo atapa gemu, embu cheki ndege mpaka acheze stepu za ajabu ndo apate, cheki mbuzi anavyonyaua pua yake ili tu ajue jike lipi anaweza lipanda. Na sasa embu angalia binadamu anavyo hangaika na kiuno chake sasa ili amwage ni unyama jamani ukiangalia kwa undani.

Turudi kwa mapadre na masister hawa wanaishi kwa idea ya usafi kutunza tunu hii ni idea ambayo ipo nje ya unyama ambao binadamu anao Lakini kwa kuishi tuu kuifuata ni ushindi mkubwa sana katika ulimwengu huu wa vionekanavyo na vitamanishavyo, watu wanapaswa wajue maisha huwa hayajali kama baba na mama wanaishi kwa kuraha au karaha inachojali ni kwamba yamefanikisha hivyi viumbe viwili kukutana na kufyatua kingine ili kuendeleza uwepo wa maisha.
Sasa katika haya maisha sio kwamba siku zote wanadamu tunaelekea kwenye maendeleo, kwamba huko mbeleni binadamu watakuwa watu wa technologia sana la hasha bali pia kuna uwezekano wa kurudi nyuma kwa baadhi ya mambo, binadamu wana weza huko mbeleni wasijali tena utu alionao binadamu na kuamua kutokuendelea tena na utafiti wa kisayansi kubaki katika maisha ya kusurvive tuu.

Ndo maana nilishtuka kwamba wameanza kuruhusu makasisi kuoa huwenda ndo ukawa mwanzo wa kupiga chini idea zote kubwa ambazo binadamu peke yake tu anaweza zifikiria.
 
Kwa mtazamo wako yeye Paulo hakuwa mzima? usipokula papuchi hizo nyege zitakuua..
si huwa mnasema kuna mengi kweny bible hayajaandikwa na kusimuliwa?
kuna unawezekano hakuwa mzima

usipotomba lazma udate mkuu labda "kama sio mzima"
 
Back
Top Bottom