Leo 9/9/2012, radio imaan, kama ilivyo kawaida yake, inaendesha mjadala ambao kwa ujumla wake unaeleza kuwa serikali ya Tanzania kila kitu kinaendeshwa kikristo kwamba waislam wanateswa, tengwa na kunyanyaswa.
Pia, wachangia mada,ambao ni mashekh, wanawahamasisha waislam wapigane kudai haki...