TFF inaitaji mapinduzi ya kumwaga damu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TFF inaitaji mapinduzi ya kumwaga damu

Discussion in 'Sports' started by Bwana Mapesa, Aug 12, 2012.

 1. Bwana Mapesa

  Bwana Mapesa JF-Expert Member

  #1
  Aug 12, 2012
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 1,926
  Likes Received: 661
  Trophy Points: 280
  Ukiangalia jinsi TFF ya Tenga na wenzake inavyoendeshwa utakubaliana na kichwa cha thread hii.kwa takriban wiki 2 zilizopita kumekuwa na matukio ya kusikitisha ambayo yanalichimbia kabur soka letu. juzI wametangaza kuongeza usajili..lakin imegundulika wamefanya hvyo sababu Yanga hawajamaliza vurugu zao...

  Yanga wamekwenda mbali zaidi mpaka kumshawish mchezaj aliyekuwa tayar amesajiliwa na simba na imeshatangazwa.kana kwamba hyo haitoshi kuna habar ambazo sio sir hapa mjin kwamba kuna viongoz wa Yanga wamemfuata okwi na Ngassa kuwashawish kuikacha simba na kuamia Yanga kitendo ambacho hakikubalik kwenye mchezo wa soka.

  TENGA UPO WAPI?au bado unavaa boxer ya rangi ya njano?sasa hili ni wazo tuu.kama mmelala muamke mjue fika kwamba hizi timu za Simba na Yanga zinawatu ambao wanaweza kufanya chochote hata kupoteza uhai wa mtu linapokuja suala la timu zao..mnakumbuka ni juz tuu Nchunga aliikimbia famili,mke akawa anaishi kama digidigi.TENGA NA WENZAKO MNAYATAFTA YA NCHUNGA..stay Warned!
   
 2. M

  MASIKITIKO JF-Expert Member

  #2
  Aug 12, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 842
  Likes Received: 203
  Trophy Points: 60
  ;(Tenga uongozi umemshinda anaongeza muda wa usajili kwa ajili yya maslahi ya Yanga.
   
 3. Bwana Mapesa

  Bwana Mapesa JF-Expert Member

  #3
  Aug 12, 2012
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 1,926
  Likes Received: 661
  Trophy Points: 280
  sio yanga ni maslah ya tumbo mzee kuna pesa zetu zilizochukuliwa Kwa njia chafu ndo zinazotumika kutuharibia na maeneo mengine..aibu ni kwamba Tanzania onez family(JK'S FAMILY) is leading this SHIT!dia tz unakwenda wapi?
   
 4. adakiss23

  adakiss23 JF-Expert Member

  #4
  Aug 12, 2012
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 3,346
  Likes Received: 655
  Trophy Points: 280
  Si Simba wamekubali kurudishiwa pesa sasa tuone kama huyo mchezaji atacheza Tanzania hii..

  Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
   
 5. d

  dandabo JF-Expert Member

  #5
  Aug 12, 2012
  Joined: Feb 18, 2012
  Messages: 303
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 45
  Naanza kumchukia Tenga.
   
 6. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #6
  Aug 12, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Dah, kumbe tatizo ni YANGA!, basi mwaka huu kazi mnayo watani zetu.
   
 7. Ntaramuka

  Ntaramuka Senior Member

  #7
  Aug 12, 2012
  Joined: May 2, 2008
  Messages: 169
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wapenzi wa Simba wenzangu, mimi nina mawazo tofauti; UONGOZI WA SIMBA UNATUTANIA, haiingii akilini mchezaji AMESAINI MKATABA SIMBA, KABLA MKATABA HAUJAISHA ANASAINI TIMU NYINGINE na anarudisha hela, uongozi wa simba as if hawajui sheria za mikataba wanachukua hizo bila kufuata utaratibu maalum wa kuvunja mkataba! Kuna matatizo Simba
   
 8. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #8
  Aug 12, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,280
  Trophy Points: 280
  Simba inaongozwa na Msomali unategemea nini? toeni kwanza Mamluki kama Rage ndio muongelee maendeleo, wajinga watupu nyinyi.
   
 9. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #9
  Aug 12, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Manji ni mtu hatari sana katika nchi hii..mwizi jambazi na tspeli plus mzulumati..
   
 10. Anselm

  Anselm JF-Expert Member

  #10
  Aug 12, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 1,705
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Hakika this is what is so called "THINKING OUT OF THE BOX"..ni ajabu sana,Wana Simba wenye uwezo wa kufikiri kwa kiwango chako ni WACHACHE sana kama si hakuna kabisa ukitoa wewe.
  Watu wanafikia stage ya kuhamasishana kumwaga damu TFF as if TFF ndo iliyompumbaza MahaRage wenu akashindwa kujua ashughulike na nani(mmiliki halali) katika suala la Twite.
  Kwa mtazamo huo wako,pamoja na ile original "LIKE" niliyokugongea pale,chukua na hizi:-
  LIKE
  LIKE
  LIKE
  LIKE
  LIKE
  LIKE
  LIKE
  LIKE
  Simba inaweza kujengwa na watu kama wewe na Si Ma'boya kama huyu mleta hii thread, unahamasisha umwagaji wa damu kwa makosa ya Mwenyekiti wako wee ni Ms***e sana.
   
 11. Anselm

  Anselm JF-Expert Member

  #11
  Aug 12, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 1,705
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Umeiona tofauti yetu sisi na nyinyi Maboya (wana Simba)?
  Moja ya sababu zilizomfanya Nchunga akimbie familia yake Mke na watoto kama ulivyobainisha mwenyewe hapo ni uzembe mbalimbali uliosababisha Yanga kupata hasara mbalimbali ikiwemo kufungiwa wachezaji wake na TFF na kufanya vibaya kwenye msimu wa Ligi uliokwisha.
  Tungekuwa sisi tuna akili kama zako basi tungeshahamasishana kwenda kufanya mapinduzi ya kumwaga damu pale TFF...eenh si walifungia wachezaji wetu mpaka wale ambao ushahidi ulionyesha hawakuhusika...
  Laikini weledi sisi tuliamua kushughulika na Uongozi wetu,akili zetu zilitusaidia kujua kuwa tatizo lilikuwa ni Viongozi wetu na si TFF,nyie endeleeni kuhamasishana kumwaga damu tu.
   
 12. Anselm

  Anselm JF-Expert Member

  #12
  Aug 12, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 1,705
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Rage ni mtu mkarimu sana katika hii nchi,(sitaki kuingiza issue za rambirambi na stahiki nyingine za Marehemu Mafisango R.I.P)
   
 13. j

  jackson kanene Member

  #13
  Aug 12, 2012
  Joined: Jan 7, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Maskini mafisango' jana familia yake imetolewa vyombo nje' na hata hivyo hii ni laana ya Msigwa juzi alimtukana bungeni' na bado rage atakoma.
   
 14. Bwana Mapesa

  Bwana Mapesa JF-Expert Member

  #14
  Aug 12, 2012
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 1,926
  Likes Received: 661
  Trophy Points: 280
  we ulitaka Rage afanye nin zaidi ya kumsainisha mkataba na kumpatia pesa yake mambo mengine yaendelee?acha ya twite kuhusu okwi?usiwe vuvuzela wewe i knw wats goin on..mjinga wewe...leo wenyewe wamekir kuwa wamepokea dola 30 elfu..kwa nini wamembadilisha jina?kwa nin wamebadilisha na kurudi kwenye uraia wa asili?sasa kwa taarifa yako sijamhamasisha mtu..ila nimeonyesha results which r likely to occur kutokana na hiv vitu.WE UNAONGEA ONGEA TU UTADHANI UNAONGELEA MASABURI..AU UMETUMWA?
   
 15. Bwana Mapesa

  Bwana Mapesa JF-Expert Member

  #15
  Aug 12, 2012
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 1,926
  Likes Received: 661
  Trophy Points: 280
  we ni Maiti unataka kufananisha milion kumi za rambirambi na Umasikini anaotutia manji Tz?
   
 16. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #16
  Aug 12, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  hakika alicho kifanya riz1, manji na TFF hakikubaliki kisoka..
   
 17. Anselm

  Anselm JF-Expert Member

  #17
  Aug 12, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 1,705
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Kama Rage aliamini kumpa pesa na kumsainisha yale makaratasi aliyoyatoa photocopy kwenye stationery 1 ya kulekule Kigali ndo alimaliza kazi akarudi mbio Tz kuja kutoa maneno ya kashfa kwa Mpiganaji Binkleb basi mlipaswa kuhamishia hasira zenu kwake,tofauti na hapo ndo itakuwa kufikiria na ku'act kwa kutumia Masaburi.
   
 18. The Magnificent

  The Magnificent JF-Expert Member

  #18
  Aug 12, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 2,669
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160

  Kaka,
  huwa naangalia na kupitia post zako nyingi sana humu jamnvini na hususan za michezo....
  Haina shaka wewe ni shabiki wa yanga damu kama ilivyo kwa mimi shabiki wa simba DAMU...
  Ni wazi unamchukia sana mwenyekiti wetu,na sijui ni kwa nini...wakati hakuhusu kwa namna yeyote ile,klabu yako ina mwenyekiti pia,MANJI...
  Sisi wapenzi wa simba tunaiheshimu katiba yetu,hatuwezi kumwondoa kiongozi madarakani kihuni kama mlivyofanya nyie..huo sio ustaarabu,Rage ana mapungufu yake mengi tu kama binadamu na kama kiongozi yeyote yule anavyoweza kuw nayo,sioni sababu ya kumshambulia kiasi hicho,kama haturidhishwi na utendaji wake,hatutomchagua next time kwenye uchaguzi wa klabu ...
  Narudia tena,sisi simba tuna desturi ya kuiheshimu katiba yetu,
  INGEKUWA KILA KIONGOZI ANAYEBORONGA ANAFANYIWA UHUNI KAMA ALIOFANYIWA NCHUNGA,SIDHANI KAMA LEO HII JK ANGEKUWA BADO NDIYE RAIS WA TZ MAANA NDIO KIONGOZI ANAYEONGOZA KWA KUFANYA MADUDU HAPA BONGO KWA SASA,Tunamvumilia tu,na kuheshimu utaratibu uliopo!!
  The Magnificient
  11 Aug 2012
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. Anselm

  Anselm JF-Expert Member

  #19
  Aug 12, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 1,705
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  1. Hapo uliposema mimi ni Yanga hujakosea,tena si Mshabiki tu ni Mwanachama kabisaa...
  2. Simchukii Rage,nachukia namna anavyowadanganya (kwenye mambo mengi tu) watu wa Simba pasipo watu wa Simba wenyewe kugundua au kushtuka, ushahidi uko wazi kabisa.
  3. Ni kweli unaweza kutafsiri mabadiliko tuliyoyafanya Wanachama wa Yanga kuwa yalikuwa yakihuni,sawa naweza kukubaliana na wewe ingawaje hata kwenye lile tukio letu katiba pia ilifuatwa,inawezekana pia wengi wenu mnaona njia ile tuliyotumia sisi siyo sahihi,nyie hamuwezi kuitumia badala yake mtamvumilia ifike mwisho wa kipindi chake ndo muangalie kama mtamchagua tena au la,sawa kabisa lkn ombi langu wakati mnavumilia hayo muache basi kulaumu watu wengine kwa Madudu anayofanya Mwenyekiti wenu muone kama nitamlalamikia Rage,sasa watu wanahamasishana wakaharibu TFF kwa uzembe wa MahaRage unataka mimi nikae kimya,kweli Rafiki?
   
 20. Ntaramuka

  Ntaramuka Senior Member

  #20
  Aug 12, 2012
  Joined: May 2, 2008
  Messages: 169
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Sasa ndugu kwa hili unalalamikia nini TFF? Kama kweli Simba tumewasajili Ngassa na Okwi, kihalali, sisi tunaweweseka na nini? Acha yanga waongee na hao wachezaji, siku ya siku watakuja kuongea na uongozi wa Simba ili wawasajili. Simba tutaamua au kukubali ama kukataa, wachezaji wakilazimisha kuondoka sawa na watalazimika kuvunja mkataba na taratibu za kuvunja mkataba ziko wazi. Mimi nina wasiwasi na viongozi wa Simba, huenda wanafanya mikataba hii kienyejienyeji tu hali inayofanya isiwe LEGALLY BINDING. Kwa hali hii tutawalaumu bure TFF, kama ishu ya Twite, inasikitisha sana
   
Loading...