Full Text: Hotuba ya Rais ya mwisho wa mwezi Agosti 2012

Sijasikiliza hotuba lakini sidhani kama JK alimaanisha Tanzania haina uwezo wa kupigana na Malawi.
 
HUJAMUELEWA Raiswetu. Hakika katika hotuba bora kabisa za Mzee Kikwete ni hii ya leo. Ilikuwa crystally clear na aliposema Tz hatuna ubavu wenye akili tumemuelewa!

Ehee! Wewe mwenye akili tueleze ulichoelewa ndo nini?
 
Vita ni janga la uchumi, vita ni janga la njaa, vita ni uharibifu wa miundo mbinu, usitishwaji wa shughuli za kilimo n.k. Vita hivi itakuwa ni janga kwa CCM na tiketi ya moja kwa moja tena ya VIP kwa CCM kuondolewa madarakani 2015. Ndio maana zaidi ya rhetoric za hapa na pale, serikali ya CCM haiwezi afford vita hivi!
 
HUJAMUELEWA Raiswetu. Hakika katika hotuba bora kabisa za Mzee Kikwete ni hii ya leo. Ilikuwa crystally clear na aliposema Tz hatuna ubavu wenye akili tumemuelewa!

Ehee! Wewe mwenye akili tueleze ulichoelewa?
 
tusiwe tunalaumu kwa kila jambo ile hotuba kikwete kaandaliwa na amezungumza kwa hekima sana na busara na nikwel akuna sababu ya kuingia kwenye vita saizi na kwa kawaida mwanaume awezi pambana na mwanamke hata kidogo siku zote mwanamke ni dhaifu akizidi kuleta uchokozi atapelekewa mama anna kilango akajibishane naye au mama migiro.
 
mimi nilipo muona yule mama pale magogo huku jmk akichekacheka nikajua tumeliwa..
 
Alichosema JK nikuwa wako ktk meza ya duara kupata muafaka pia wananchi wa pembezoni ziwa wasihofu. Kuhusu masuala ya vita nchi bado hajafikia uamuzi huo na mpaka wa Tz na Malawi lazima uwe katikati ya ziwa na si vinginevyo.Mkuu mleta thready kdg umekoleza mambo:spy::spy::spy::spy::spy::shetani::shetani:
 
Huyu ndiye chifu wa wasukuma,mangi wa wachaga,mtemi wa wanyamwezi,laiboni wa wamasai,rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania na amir jeshi mkuu mheshimiwa dk jakaya mrisho kikwete.
 
hivi jamani,....watanzania tutazijua kila siri za nchi?kweli uchumi uko pabaya sikatai na Malawi anaweza akawa na nguvu au la!ila mambo ya ndani ya nchi mtu huwezi kuyajua yote na hotuba ya raisi inabidi ipitiwe vizuri kabla hajaitoa hivyo hata ile ilipitiwa vizuri tu na aliongea vile kwa maksudi kwasababu kwa njia yoyote ile vita haiwezi kutokea kwa sasa since nchi bado ziko kwenye makubaliano na wala hakuna aliyechochea vita Malawi,.....pindi makubaliano yatakavyoshindikana na Malawi akatumia nguvu hotuba ya raisi kwa wakati huo lazima itabadilika hatasema siasa kama za leo,.....na pia hata Nyerere alikuwa anayataja mataifa ya magharibi kwamba ni yananguvu na hawezi kupigana nayo hivyo kwenye harakati za uhuru aliwaambia watanganyika kwamba wazungu waambiwe ukweli tu,je nyerere naye alikuwa mdhaifu kusema hivyo?mwaka 1961 raisi kennedy wa Marekani alimwambia raisi Krushev wa Urusi kwamba wakiingia kwenye vita vya kinyuklia dunia itaharibiwa na anawapenda sana wamarekani hataki taifa hilo life kwa vita,je Kennedy alikuwa mjinga?....tusilaumu sana hizo ni siasa tu na hakuna siasa takatifu dunia hii wala serikali takatifu.
 
hata kama kasema hivyo,sidhan km alikuwa anamaanisha hatuwezi kupigana na malw,isipokuwa swala hilo halipo ktk mipango ya serikali kwa sasa.yapo mambo ambayo yakitokea kwa hakika lzm uingie vitani kwa hali yyote.nadhani njia ya mazungumzo bado ni njema ktk swala hili la malw.
 
jamani, naomba kama kuna wafanyakazi wa itv hapa waje, au kama kuna watu walioona na kusikia ile hotuba waje wathibitishe, pale kabla hajasema Mungu ibariki tz Mungu ibariki africa, alisema wazi kabisa kuwa sisi hatujajiandaa kuingia vita kwasababu kuingia vitani tunaweza kusababisha mgogoro kuwa mkubwa zaidi...vilevile, vita inachukua muda mrefu na sisi hatuna ubavu kama hao wengine wanaokaa muda mrefu kupigana vita....alisema hivyo kabisa.....
 
umenichekesha mno hadi nimeumia koo
nitumie pesa za matibabu kwa MPesa

Mmmh! Siamini kama kasema hivyo. Kweli katamkia ulimwengu hivyo!? May be ni strategy mpaya yakijesh kumuonyesha adui yako kuwa humwez ili akiweka mkono unakata naamua kuamin hivyo vinginevyo ni aibu!
 
Kuhusu tz na rahisi wao ni pigo na hili ni pigo zaidi ya kifo cha Mwalimu J. K. Nyerere
 
Back
Top Bottom