Nilikwambia hujui maana ya Padre, so umethibitisha kwa vitendo ignorance yako. Hutaki kujifunza, and that is idiocy. Go on with your chosen idiocy, I can't stoop so low to argue with an old fool!
Ni kweli kuwa CHADEMA ni hatari sana kwa wale wasiotaka mabadiliko (yaani ccm iendelee kutawala). Hapo kwenye RED: Hata kabla ya Kipindi CUF kuwa chama kikuu cha upinzani migomo ilikuwapo (FFU waliua wakata miwa Morogoro wakidai haki zao zitokanazo na mishahara wakati Mwinyi akiwa Rais, waalimu...
Ngoso,
Hoja si uchaguzi huru na wa haki na kipindi ulipofanyika (kama kweli ulishawahi kufanyika - hili linategemea mtazamo wa mtu maana kuna mtu anaweza kukwambia kuwa chaguzi zote hazikuwa huru wala za haki na mwingine akakwambia zote zilikuwa huru na haki). Hoja hapa ni Wazanzibari...
Barubaru (na wengine wote wenye mawazo kama yako kwenye RED);
Hebu niambieni, kama Watanganyika wanalazimisha muungano Wanzazibari wanalazimika kukubaliana na huko kulazimishwa muungano wasioutaka? Kama ulivyosema, kwenye muungano Zanzibar ime-retain identity yake, ina baraza lake la kutunga...
Alichoandika ni bora alichosema Mnyika, maana angalau Mnyika alitumia lugha nyepesi. Huyu mwandishi katwanga kavu kavu, ila kwa wenye akili kama za mtu wa Bagamoyo anaweza asiupate ujumbe uliokusudiwa.
Nilifundishwa DS na Professor Suleiman Ngware UDSM, alikuwa analalamikia hata tangazo la biashara la Sabuni Protex kwa kuwa lilitumika jina Omari (Omari alikuwa anajikuna "ngwara ngwara ngwara" kutokana na ngozi kuwashwa na hivyo kushauriwa kuogea Protection). Madai yake ni kuwa huko ni...
Aliekwambia hapa kuwa Ethiopia ni nchi tajiri ni nani zuzu wee? Hata kama umeshikiwa akili ndio ushindwe kutumia hizo kidogo unazoweza kuwa ulipewa na aliekuumba?
Kwa hiyo wewe ambae "hujakurupuka" unataka kusema nini? Kwamba Al-Shabab wanatoa pesa Somalia ili kujenga barabara Ethiopia (wakati hata zuzu wa mwisho anajua kuwa Al-Shabab na Ethiopia hawapikiki chungu kimoja wakaiva)?
Una akili wewe kweli? Si bora ukajinyamazia tu kama hujui?
Hivi Bakwata wakihitaji kujua idadi ya waislamu kupitia misikitini hawatapata idadi inayotakiwa? Kwa akili ya kawaida kabisa mtu ungefikiri kuwa kuhesabu waumini eneo la ibada ndio njia sahihi ya kupata idadi ya waumini halisi kuliko kwenda mitaani ambako uwezekano wa kukutana na waumini jina ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.