mkute
Member
- Jan 12, 2011
- 80
- 12
bro, hii siyo ulaya, ni africa hapahapa, ni ETHIOPIA nchi ambayo haiko mbali sana na bongo, walikuwa kwenye vita miaka kibao, lakini wanafanya haya, wako serious...ndo maana kagame alisema kama angekuwa rais wa tz angaifanya tz ulaya....wenzetu wangekuwa hapa wangekuwaje sasa....hii ni ethiopia, pale addis ababa...
Mkuu wangu naona unacompare machungwa na maapple.
Nafikili si sahihi kufananisha nchi masikini na tajiri.
Mkuu wangu naona unacompare machungwa na maapple.
Nafikili si sahihi kufananisha nchi masikini na tajiri.
Ama kweli Ethiopia ni nchi tajiri??? Kama huna cha kuchangia si ukae kimya???
acha kutuuza bana..sio vyote vinafanyika Ethiopia..kwa bwawa la umeme naeza kubali lakini hizo barabara unatudanganya.Hivi vitu vinafanyika na nchi ya Ethiopia, vyote hivi viko under construction, sio proposed kama vilivyopo hapa Tanzania.
Bwawa la kwanza litakuwa na megawatts zaidi ya 5,000, lingine ni megawats zaidi ya 1,800, alafu angalia barabara flyovers hizo,....
Hizo nimechukua chache tu, bado barabara kubwa za hela nyingi wanaunganisha na Kenya, na reli mpya inaunganisha na Kenya.
Pia wanachimba gas na kufaidia nayooo..... East Africa na Horn of Africa yote watz peke yetu ndo tunasuasua na kuwa nyuma, wengine wote wanapambana na backwardness kufa mtu.
...tuone aibu, na viongozi wetu waone aibu!
Tuko katika mchakato
hizo za Ethiopia ni pesa za Al-shabab. usikurupuke fanya uchunguzi. hela zimetoka wapi
Watu wengine wanakurupuka sana...Ingekuwa ethiopia ni nchi tajiri kusingekuwa na makundi ya wakimbizi kukimbilia Afrika Kusini. Ethiopia, Eritrea na Somalia ndio nchi zinazoongoza kutoa wakimbizi katika pembe ya Afrika. Pamoja na umasikini wa Tanzania, bado hatujawa na upuuzi wa kukimbia nchi yetu kwenda kubebeshwa mabox na kuzibua mitaro ng'ambo.
Hivi vitu vinafanyika na nchi ya Ethiopia, vyote hivi viko under construction, sio proposed kama vilivyopo hapa Tanzania.