Arusha morden school yauzwa bilion 4 kwa kanisa katoliki. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Arusha morden school yauzwa bilion 4 kwa kanisa katoliki.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Apolinary, Jun 17, 2012.

 1. Apolinary

  Apolinary JF-Expert Member

  #1
  Jun 17, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 4,698
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Shule inayofahamika sana mjini arusha kama arusha morden school. iliyoko eneo la kisongo imeuzwa sh bilion 4 katika kanisa katoliki mkoani humo.akizungumza katika ibada ya misa takatifu katika kanisa la roho mt lililoko eneo la ngerenaro padre Ruwaich amesema !Tutanunua shule ya arusha morden kwa gharama ya sh bilion 4 eneo ambalo lina ukubwa wa ekari 25 na mpaka hiv sasa ekari 9 zimeshajengwa!
   
 2. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #2
  Jun 17, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,578
  Likes Received: 12,862
  Trophy Points: 280
  omg whats wrong?
  hawa wahindi walishindwa kuiendeleza?
   
 3. m

  mashambani kwao JF-Expert Member

  #3
  Jun 17, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nipo bize radio imani,sensa,necta,uwiano wa madaraka,KaToLiKi oyeeeeeeeee.
   
 4. m

  mashambani kwao JF-Expert Member

  #4
  Jun 17, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kweli mkuu.
   
 5. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #5
  Jun 17, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  mkuu hii shule ilishauzwa siku nyingi na michango ya kuwalipa walio kuwa wamiliki ilianza mwaka jana hivyo hii siyo tetesi labda bei tulioinunulia sina uhakika na kiasi ulicho weka...tayari baadhi ya wanafunzi walishaanza kupelekwa edmund rice kwa kuwa kuna labs nzuri zaidi kwa wana funzi wa sayansi A level.
   
 6. Apolinary

  Apolinary JF-Expert Member

  #6
  Jun 17, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 4,698
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
   
 7. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #7
  Jun 17, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  M o U !
   
 8. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #8
  Jun 17, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Umekosea, ni chuo cha Waislaam si cha Kiislaam.
   
 9. N

  Nsomba Member

  #9
  Jun 17, 2012
  Joined: May 27, 2012
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Makanisa yamekuwa na shule na hospitali miaka mingi kabla hata ya uhuru achilia mbali hiyo M.O.U (ambayo hata chanzo chake inaelekea hujui).
   
 10. M

  MLERAI JF-Expert Member

  #10
  Jun 17, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 673
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Mbona sio tetesi hizo taarifa zipo wazi na kila anayemwamini mungu anaruhusiwa kuchangia hela kwenye ununuzi huo
   
 11. m

  massai JF-Expert Member

  #11
  Jun 17, 2012
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  kila muumini alichanga alfu ishirini,kanisa katoliki wana hela sana na hela zao sio kwamba zipo bank,hapana wakitaka hela kiasi chochote wanawaambia waumini wao tunataka kununua kitu flani na kila mtu anatakiwa kutoa kiasi flani mpaka watoto ulionao nao watatoa.serekali inahangaika na sensa alakini kanisa linaidadi ya watu wake na sensa ni kila siku,kwani kila akifa mtu wanataarifa na akizaliwa wanataarifa.kanisa lina ndege serekali haina ndege,chezea kanisa wewe,kwa taarifa nikua st joseph,au shule ya secondary ya faza babu inakaribia kua university ndio maana hiyo shule ikanunuliwa ku replace ile ya kwa padri babu.
   
 12. Apolinary

  Apolinary JF-Expert Member

  #12
  Jun 17, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 4,698
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
   
 13. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #13
  Jun 17, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
   
 14. Apolinary

  Apolinary JF-Expert Member

  #14
  Jun 17, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 4,698
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
   
 15. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #15
  Jun 17, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  nalipongeza sana kanisa KATOLIKI kwa kuongeza shule, WAISLAMU wezangu igeni mfano wa wakatoliki
   
 16. Hute

  Hute JF-Expert Member

  #16
  Jun 17, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 6,062
  Likes Received: 3,928
  Trophy Points: 280
  sasa ivi itakuwa chuo kikuu, ekari hizo zinatosha kabisa kuweka branch ya SAU au kujenga university mpyaaa, katoliki wanajitahidi sana, hawana upuuzi wa kuhangaika na kulalamikaa au kulalamika kugomea sensa....akili za mbayuwayu wao hawana..
   
 17. M

  Mmwaminifu JF-Expert Member

  #17
  Jun 17, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 1,097
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Sorry mkuu. Mara nyingi sana in your posts i've being seeing you citing this word MoU. Ni kitu gani hiki. Does it also apply in this scenario where the church have used money from it's followers to buy an asset? Do you think this is a favour to the church. Naomba usije kwa jazba mkuu. HAPA HATUSHINDANISHI JAZBA, TUNAELEWESHANA KWA HOJA
   
 18. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #18
  Jun 17, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Nyie nunueni tu lakini kipengele cha dini lazima kiwepo
   
 19. K

  Kipimbwe JF-Expert Member

  #19
  Jun 17, 2012
  Joined: Jul 27, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Nyie endeleeni tu na uamsho si tunapiga maendeleo nakujichukulia ada zenu
   
 20. M

  Mmwaminifu JF-Expert Member

  #20
  Jun 17, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 1,097
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Mkuu hicho kipengele kiwepo kwenye manunuzi ya shule au?
   
Loading...