Recent content by notoriousic

  1. notoriousic

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    3E7A4BA Tulisongeshe hakuna kurudi nyuma. Treni hilo hapo boresha ukiweza tia unachomudu, tulia zako. Shukrani hupewa Mungu tu jamani[emoji2][emoji2]
  2. notoriousic

    Hii gari itanifilisi na hawa mafundi wapiga ramli

    Wapi wanakonunua magari mabovu nami nikauze langu? Kuuza tu...
  3. notoriousic

    Kampuni gani bora za mabasi Dar kwenda Mwanza?

    Nielekee nae Simiyu[emoji28][emoji28] Sent using Jamii Forums mobile app
  4. notoriousic

    Ushauri wenu ndugu zangu, kwenye mkasa huu ulio mbele yangu

    Umenyeshewa na manyunyu hali wingu bado lipo zito. Ukiendelea na hiyo safari jiandae kukumbana na mafuriko joh Sent using Jamii Forums mobile app
  5. notoriousic

    Simu inauzwa

    Ukizingua anicheki PM 65k
  6. notoriousic

    Pongezi kwa TPB na Vodacom Tanzania kwa huduma ya M-Koba

    System yao ya mtandao inasumbua mpaka inakera. Sijui kama wameboresha
  7. notoriousic

    Msaada: Kupaka mafuta ya dread

    Hiyo drade ni ya kichwa ama kwingineko? Tuanzie hapo kwanzs
  8. notoriousic

    Mpaluka Mdude Nyagali abadilishiwa mashtaka ya Uhujumu uchumi, asomewa ya Kusafirisha Dawa za Kulevya

    Tanzania ni nchi ambayo ni heri ukaishi bila kujua unavyoishi maana utakuwa na raha zaidi kuliko ukijua unavyoishi. Kujua sana matokeo ndo kama hayo yanayomkuta bwana mdogo Sent using Jamii Forums mobile app
  9. notoriousic

    Mpaluka Mdude Nyagali abadilishiwa mashtaka ya Uhujumu uchumi, asomewa ya Kusafirisha Dawa za Kulevya

    Sijawahi kujua kuwa kumbe tanzania kuna watu hawapo huru[emoji23][emoji23][emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  10. notoriousic

    It has been a while

    Hiyo avatar imesababisha niungue chai Sent using Jamii Forums mobile app
  11. notoriousic

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Vipi kuhusu ile limit yao ya kukupangia et kwa kutwa utumie mb 500 kama mtoto imeisha? Sent using Jamii Forums mobile app
  12. notoriousic

    Ulitumia njia gani ulipogonganisha wapenzi wako?

    Basi ungefanya ukawapishanisha mlangoni tu ukasikia hata sonyo mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  13. notoriousic

    Ulitumia njia gani ulipogonganisha wapenzi wako?

    Kuwaacha waumane pia kuna raha yake, Mkuu hapo kuna burudani uliikosa, au wewe hupendi burudani? Sent using Jamii Forums mobile app
  14. notoriousic

    Mpenzi wangu alinidanganya kuwa yule ni ‘Bestfriend’ kumbe ni zaidi

    Kwani unaishi Pemba eeh? [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] Sent using Jamii Forums mobile app
  15. notoriousic

    Hii itakuwaje baadaye?

    Subirisubiri mvua zikwishe kwanza Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom