Mpaluka Mdude Nyagali abadilishiwa mashtaka ya Uhujumu uchumi, asomewa ya Kusafirisha Dawa za Kulevya

Nilipopata taarifa za huyu bwana kuwa mpiga deki kwenye choo cha stand nilianza kuielewa CHADEMA na wanachama wake.
 
Serekali haijazuia kwa kutangaza, lakini inafanya hivyo kwa matendo, na wakosoaji wanakutana na balaa zote ikiwemo kubambikiwa kesi, kuharibiwa shughuli zao nk. Haya sio mambo ya kificho bali yako wazi. Huyo unayesema alikosoa kwa lugha nzuri, alipewa majibu ya kejeli na wote tulisikia. Sasa kinachofanyika wananchi wanashurutishwa kumkubali Magufuli na ccm yake, katika mazingira ya siasa za kushurutisha, unawezaje kukosoa ukabaki salama? Hivi unadhani hatuna akili ya kujua mambo haya?
Serikali yoyote ambayo imeshindwa kuletea maendeleo wananchi wake kazi kubwa huwa ni kumpambana na raia wake wote wanajitambua ili wasije kuwaamsha mbumbumbu wengine.
 
kungekuwa na uhuru wa mahakama hiyo kesi wangeifukuza,hairuhusiwi kubadilisha mashitaka wakati kesi imeshafunguliwa,kama ni makosa ya mashitaka walitakiwa kuyaona hukohuko kabla ya kufungua kesi,!!
 
Tumuombee kwa kipi sasa, anatakiwa athibitishe mahakamani.

Kwani sisi ndio tulimtuma kumiliki heroine au kutukana viongozi.

Kwanza wewe mzushi unaandika kabambikiwa. Umejuaje? Acha mahakama iamue
Siku akiunga mkono juhudi yote haya yatakwisha! Sijui kwa nini? Kesi ya Wema Sepenga iliishia wapi?
 
Akili za bangi hizo

Siku akijua anajipotezea muda wa kuanzisha famila atakua hana uwezo wa kujaza mimba mwanamke

Endeleeni kumjaza ujinga muda hausubiri wajinga km hao
Bora yake inampa ufahamu....unayovuta ww imekufanyw uwe kibwengu zoba
 
Back
Top Bottom