Lordrank
JF-Expert Member
- Apr 16, 2020
- 453
- 247
Happy nation iko mswano Sana hii bus.Tungi's
Happy nation
Happy nation iko mswano Sana hii bus.Tungi's
Happy nation
Mwanza zinafka sangap mkuuMwanza gari ni tatu 2 nazo ni Tungis,ally star, na happynation kwengine matatizo 2
Vp mbona unacheka tena mkuu inaboa nini[emoji3][emoji3]Kama veep utapanda NAJIMUNISA, what a bus[emoji28][emoji28][emoji28].
Nielekee nae Simiyu[emoji28][emoji28]Kama veep utapanda NAJIMUNISA, what a bus[emoji28][emoji28][emoji28].
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama veep utapanda NAJIMUNISA, what a bus[emoji28][emoji28][emoji28].
Usipande KISBO kama unahistoria ya kutapika maana utatapika mpaka utumbo
Abood Wana madereva wabovu Sanausijichanganye kwa ABOOD, UTAJUTA
Utakua mtu wa safari kinoma, kila bus una ushuhuda nalo[emoji16]Abood Wana madereva wabovu Sana
Wanachoka kizembe nakumbuka safari moja tumefika bagamoyo wakaanza kubishana Nani aendeshe
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Kusafiri ni hobby yanguUtakua mtu wa safari kinoma, kila bus una ushuhuda nalo[emoji16]
Abood Wana madereva wabovu Sana
Wanachoka kizembe nakumbuka safari moja tumefika bagamoyo wakaanza kubishana Nani aendeshe
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
a
kwa uzoefu wangu wa kusafiri dar-mwanza nashauri tu mtu ahakikishe anapanda gari ambalo ni jipya
ukipanda gari ambalo limeshapiga safari miaka mitatu njia hiyo hata kama ni kampuni yenye jina jiandae tu kwa lolote mara injini imeisha maji
mara tairi😎😎😎😎😎
I meant chalinzeWewe...kwenda mwanza gari inapita bagamoyo kweli?Hujachanganya mafile?
a
Dunia ya leo ni yakuuliza mtu?Wakuu naombeni mawazo yenu