Hii itakuwaje baadaye?

Decision

Member
May 6, 2020
36
125
Nina mahusiano na mwanaume ambaye tupo shule moja, anaonesha kunipenda sana ila mimi nipo naye kwaajili ya kupunguza stress zangu tu ila nawaza siku akiomba mzigo sijui itskuwaje

Shule zikifungiliwa kama stress zitakuwa zimeisha nitamwacha ila saizi tunatumia masaa mengi kuongea na simu

Shida ni kwamba mimi sina hisia nae za kimapenzi kutokana na sababu mbalimbali ila ana show sana love kwangu.
 
lliedie

JF-Expert Member
Apr 29, 2020
786
1,000
Jitahidi kufatilia masomo online unawahi Sana utakuja kuhadithia 🤔
 
KIBEBA BEBEA

JF-Expert Member
Nov 8, 2016
209
250
Nina mahusiano na mwanaume ambaye tupo shule moja, anaonesha kunipenda sana ila mimi nipo naye kwaajili ya kupunguza stress zangu tu ila nawaza siku akiomba mzigo sijui itskuwaje

Shule zikifungiliwa kama stress zitakuwa zimeisha nitamwacha ila saizi tunatumia masaa mengi kuongea na simu

Shida ni kwamba mimi sina hisia nae za kimapenzi kutokana na sababu mbalimbali ila ana show sana love kwangu.
Mpe tuu mwenzio anaogopa kukuomba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nguvu

JF-Expert Member
Jun 13, 2013
8,013
2,000
Nina mahusiano na mwanaume ambaye tupo shule moja, anaonesha kunipenda sana ila mimi nipo naye kwaajili ya kupunguza stress zangu tu ila nawaza siku akiomba mzigo sijui itskuwaje

Shule zikifungiliwa kama stress zitakuwa zimeisha nitamwacha ila saizi tunatumia masaa mengi kuongea na simu

Shida ni kwamba mimi sina hisia nae za kimapenzi kutokana na sababu mbalimbali ila ana show sana love kwangu.
Huu mwaka gani....? 2020, kama korona haitatuchukua 2024 utaweka tangazo la kutafuta mume humu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom