Recent content by Northern empire

  1. Northern empire

    JamiiForums Tanzania Msaada nimesahau password ya account yangu ya kuomba ajira

    Habari zenu ndugu, Naomba msaada kwa anaefaham, nilikuwa mwaka Jana nikiomba ajira za ualim sikubahatika . Sasa ajira hizi zilizotagazwa nimejarib kuomba ila wanahitaji account ile ile Sasa password nimeisahau na kila nikijarib inakataa. Nikienda kwenye forgot password najaza taarifa lakin...
  2. Northern empire

    JamiiForums Tanzania Onyo kwa Wadada: Usifikiri kumpa mpenzi wako kinyume na maumbile ndio atazidi kukupenda au kuzidisha upendo

    We Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
  3. Northern empire

    JamiiForums Tanzania MSAADA/ USHAURI mdomo kunuka

    Piga mswaki na kitunguu thaum hutojutia ushauri wanguu Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
  4. Northern empire

    JamiiForums Tanzania JF special thread kwaajili ya Facts

    Duuh Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
  5. Northern empire

    JamiiForums Tanzania Pasaka: Asili, umuhimu wake na tamaduni zetu

    Haya wafia dini njoon huku Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
  6. Northern empire

    JamiiForums Tanzania Msaada wa chuo cha gharama nafuu cha afya

    Habari za mchana ndugu zangu. Naomba MSAADA wa yeyote anaefahamu chuo kinachotoa certificate ya medical lab chenye GHARAMA nafuu ili niweze kumpeleka ndugu yangu. Kwa mwenye kufahamu anitajie ila akiwa na mawasiliano aniwekee ili niweze kufahamu vizuri Zaidi. Kama kipo ambacho ada yake haizidi...
  7. Northern empire

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kunyaka kwa mche wakat wa matunda

    Shukran ndugu
  8. Northern empire

    JamiiForums Tanzania Miaka 10 baada ya kumaliza chuo bado sina kazi

    Ahaa sawa bac nitakuchek pm tuyajenge
  9. Northern empire

    JamiiForums Tanzania Wachina wanaojenga mto Ng'ombe wamekimbia site baada ya kutolipwa pesa za mradi

    Mitano tenaa!! Tutembee kifua mberee nchi hii tajiri
  10. Northern empire

    JamiiForums Tanzania Miaka 10 baada ya kumaliza chuo bado sina kazi

    Ungeoa Kwanza labda ungepata kazi
  11. Northern empire

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kunyaka kwa mche wakat wa matunda

    Habari za usiku ndugu zangu . Niende kwenye mada moja kwa moja , kunatatizo linamsumbua mno hasa maeneo ya pwani sijui kama maeneo mengine lipo kiasi hichi .tatizo la kunyauka kwa Miche wakat wa matunda (nmyauko) . Ombi langu ni kuwa kwa yeyote ambae anafaham utatuzi wa hili janga naomba...
  12. Northern empire

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri juu ya mbegu bora ya mahindi ya kuchoma

    Sawa naomba unitumie ndugu yangu utakuwa umenisaidiaa
  13. Northern empire

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri juu ya mbegu bora ya mahindi ya kuchoma

    Ahaa sawa inauzwa kwa Bei gan?
  14. Northern empire

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri juu ya mbegu bora ya mahindi ya kuchoma

    Habari zenu ndugu zangu Mimi ni mkulima kwa Sasa nipo dar nahitaji kufaham mbegu nzuri ya mahindi ya kuchoma na maeneo yanapopatikana kwa hapa Dar. Ni hayo tuu ndugu zangu
  15. Northern empire

    JamiiForums Tanzania Twende na Membe, super sub dakika ya 89

    Lisu ndo angemuachia membe kwani Hana nguvu kama membe Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom